FUTURE YA INTERNET UKWELI ELON MUSK ATAKI UUJUE! 😭😭😭😭😂😂😂 Okay kwenye episode hii nataka tuizungumzie internet kwa lugha rahisi zaidi
Kwa maneno rahisi internet ni ule mfumo wa kompyuta moja kuwasiliana na kompyuta nyingine. Na ninavyosema kompyuta unaweza ukachukulia ni hizi kompyuta zenye sura kama hizi komputa nyingine lakini kompyuta kuna zenye sura tofauti. Kuna baadhi ya sehemu ukienda ukiona kompyuta huwezi kudhani hata hii ni komputa kwa hiyo ukisikia kompyuta usichukulie kwamba ni ni hiki kifaa ambacho unakiona. Ichukulie kama ni mfumo wa utendaji kazi ambao ndio huu tunaitwa komputa. Right? So kwa lugha rahisi internet ni ule
mfumo unaowezesha kompyuta moja kuwasiliana na kompyuta nyingine ili muweze kufanya kazi moja. Kwa mfano ndani ya ofisi moja ama ndani ya nyumba yako kama una kompyuta tano ukitengeneza namna yoyote iwe ni kwa cable au kwa wireless ukaweza kuunganisha komputa hizo tano zikafanya kazi moja yaani zikawasiliana na kufanya kazi yoyote ile hiyo tayari ni internet. Kwa hiyo ni kwenye mfumo huo huo kuna mtu alitengeneza mfumo ambao kompyuta zote za dunia zinaweza kuwasiliana. kwa maana ya kuwasiliana ni kuconnect
ninavyozungumzia kwamba kompyuta hii na hii yaani kunakuwa kuna eneo moja ambapo ukiingia unakutana na kompyuta zote za kuanzia majumbani maofisini na popote duniani na ndio hiki tunachokiita wwwake huyu jamaa ni alitengeneza platform ambayo yenyewe kompyuta yoyote ikijiunga hapo kwenye hiyo platform inakuwa imejiunga na dunia nzima. Kwa hiyo ukiingia inayo hilo moja unaweza ukasearch kompyuta zote. Kwa hiyo hizo kompyuta wakati zinawasiliana sasa zinakuwa zinafanya kazi tofauti tofauti. Imagine mtu ametengeneza soko.
Internet ni kama soko umekuta kijiji kiko sehemu ukatengeneza soko ambalo hili soko wananchi wote huwa wanakuja kukutana pale. Kwa hiyo tunavyozungumzia social media ni kama sasa mtu uje utengeneze biashara yako ya kahawa pale ndio social media kwamba ni ndani ya internet. Kwa hiyo watu wote wanaokuja lile eneo wanajua kuna biashara yako ya kahawa. Hiyo ndio internet. najaribu kuelezea kwa urahisi iwezekanavyo. Sasa baada ya kuielewa internet ni nini, huo mfumo sasa wa komputa kuwasiliana unafanyikaje?
Ndio tunapoingia sasa kwenye jinsi ambavyo kompyuta zinafanya kazi. Elezawa hivi lugha ya kompyuta ni 0 1 suf na moja. Kwa hiyo kwa lugha nyingine ni kwamba kompyuta inachohitaji ni kitu chochote chenye vitu viwili juu chini au washa zima kusiwe na moja mbili tatu ahah iwe ni moja mbili mo m ambayo ndio 0 1 0 1 sasa kuna njia mbili zenye hii sifa njia ya kwanza ni mwanga ambayo inazima washa on off kwa hiyo kama inahisi sifa mbili ya on off ambayo ni umeme maanake tunaweza tukaitumia hii njia kuwasiliana na kompyuta. Njia ya
pili ni wav maana ya mawimbi. Kwa sababu mawimbi yanapanda shuka. Panda shuka. Yaani hayanapanda shuka. Panda shuka sijui na ah panda shuka. Panda shuka. Kwa hiyo hii njia pia inawezekana kusafirisha hizi data zetu. Inachanganya lakini kwa mtu ambaye amesoma coding ndicho ambacho anajifunza kwamba ili uweze kuiagiza kompyuta ifanye chochote inabidi uweze kuzipanga hizi 0101 mpaka zitengeneze ah sentensi ama lugha ambayo kompyuta itaelewa na kufanya hicho kitendo unachokifanya. Kwa mfano ukiona unaweza kucopy na kupaste
ujue kuna mtu alitengeneza huo mfumo kwamba kompyuta ukiona mtu kafanya hivi kaite click mlete option hapa inaitwa kucopy then kupaste. Yaani kile kitendo unachokifanya kwenye kompyuta unaona kama unafanya kitu kirahisi sana lakini kuna watu walitengeneza hiyo huo mfumo ufanye kazi automatic. Sasa hao watu ndio wanaitwa wazee wa coding ndio wataalam wa komputa. Kwa hiyo ukisikia mtu anasomea coding ndio anasomea hii lugha ya kompyuta ambayo ni 0 one. Kwa hiyo ukiona picha imetumwa internet na chochote tunachofanya kwenye internet
hata hii video ambayo unaiona hapa nakuletea ujue ni 01 zimepangwa. Yaani 01 nyingi mabilioni ya 01 ndio zinafanya wewe unaniona hapa. Kwa hiyo hizo pixels wamezigawa kwenye 0101 kwa sababu ndio lugha ya kompyuta inavyofanya kazi. Kama imekuwa gumu bado hujaelewa usiogope kwa sababu wanaosoma coding ndio wanaelewa hii lugha. Lengo la kukupa hiyo basic knowledge ya 0101 ni ili sasa tuingie kwenye sehemu inayofuata ambayo itakusaidia kuelewa hiki ninachojaribu kukutengenezea. Sasa umeshaelewa kwamba
internet ni namna ya kompyuta kuwasiliana kompyuta moja na nyingine. Na hizi kompyuta zinawasiliana kwa lugha ya 01. Iwe unatuma ujumbe iwe unatuma picha ste still iwe unatuma video iwe unatuma maandishi iwe unafanya chochote ni 0101 lakini zinapangwa kwenye mfumo fulani maalum ambao watu wa coding wanaujua ambayo inatengeneza kompyuta kufanya hivi vitu unavyovifanya. Sasa sehemu ambayo unatamani uelewe ili sasa kuelekea kwenye pointi yangu ni jinsi ambavyo hizi 0101 au huu mfumo ambao umesukwa na hawa watu unawaitwa internet
unavyosafirishwa. yaani kwamba tutoe sasa ili kompyuta za dunia zote ziweze kuungana lazima kuwe na mfumo ambao unaziunganisha hizi komputa moja na nyingine. Kwa hiyo wakati hizi komputa zinawasiliana kuna data ambazo zinatuma kila saa kila sekunde. Mimi hapa unaangalia hii video kuna mabilioni ya watu wanatuma taarifa wanatumia internet yaani wanatumia hili soko kwa vitu vingi sana. Kwa hiyo kuna fakta moja ambayo ni muhimu sana linapokuja issue ya watu kuwasiliana speed. Kwa sababu kasi ndio ambayo
itawezesha sisi kufanya vitu vingi zaidi ndani ya saa 24. Kwa sababu imagine tunatumiana picha, tunatumiana emails, tunatumiana message, tunafanya vitu vingi sana na kompyuta duniani. Sasa na masaa tunayo 24 tu. Sasa hizo data ili ziweze kupita inabidi ziwe na kasi. kubwa. Na hapa ndipo sasa tunaingia issue ya speed. Kwenye speed kuna aina mbili ya speed. Kuna speed ya mwanga yaani light speed alafu kuna speedi ya sauti. Na hizi spedi zote zina tofautiana. Kama unakumbuka shuleni tuliambiwa spidi
ya mwanga ndio spidi kubwa zaidi kuliko spedi ya sauti. Kwa hiyo sasa hizi ndio spedi tulizoazo ama njia za usafiri tunazotaka kutuma zile 0101 nimekuambia kompyuta inaelewa 01. Kwa hiyo tuna njia mbili. Njia ya kwanza ni njia ya mwanga. I mean ni spidi ya light ndio kubwa zaidi. Sasa kwenye mwanga kama taa unavyoona maanake tunazungumzia kuwasha na kuzima sindio? Yes. Yaani ukizima ndio kompyuta inaelewa ni zero. Ukiwasha inaelewa ni moja. Kwa hiyo ukitaka kutuma zile data yaani kutaka kuunganisha hizi komputa
kwa kutumia lugha yake ya 01 inabidi na kwa hii kasi ya mwanga maanake inahusisha kuwasha na kuzima, kuwasha na kuzima kuwasha na kuzima. Lakini sasa kwenye kasi kubwa ya mwanga ambayo kwa macho huwezi kuona. Kwa hiyo ni kama inaenda faster faster sana. Yaani kuwasha na kuzima, kuwasha na kuzima. ile process ndio mawasiliano kumpita unayopokea. Njia ya sauti inatumia mawimbi. Sijui unanielewa yaani ndio maana unaangalia hata kwenye sauti ukitaka kurekodi maanake ni kwamba nikiongea hapa kwenye adobe yangu hapa naiona
sauti inapanda. nikinyamaza sauti inakuwa zero. Kwa hiyo ukitaka kutuma mawimbi ya internet ama zile 0101 maanake ni kwamba unayatuma kupitia wave. Kwa hiyo wave ikipanda mpaka juu hapa juu ndio inasoma kama one ikishuka chini ni zero. Kwa hiyo kadri ya wavu zinavyopanda na kushuka na kushuka na kushuka ndivyo ambavyo kompyuta zina inaelewa ni 0101. Kwa hiyo ukipitisha data kwenye huu mfumo yaani maanake huu mfumo unaruhusu kupitisha data one inakuwa hapa juu kwenye kwenye hii wevu ya juu na zero
inakuwa huku chini. Kwa hiyo kwa mfumo huo pia unaweza ukatuma ah hizi ah nini? Hizi komputa unaweza ukatuma ujumbe yaani komputa zikawasiliana kupitia hiyo. Kwa hiyo umeelewa sasa 01 ya kwenye mwanga inahusisha on kwenye mawimbi au wave inahusisha kupanda na kushuka. Shika hayo maneno mawili. Kuna kuwaka na kuzima versus kupanda na kushuka. Sijui umenielewa? Sasa ndipo tunapoingia sasa kwenye namna ya kuzisafirisha. Ukitaka kutumia njia ya mwanga ambayo inahusisha kuwasha na kuzima, lazima utumie waya za kopa. Ndio
hizi nyaya ambazo zinapita baharini. Na ndio maana internet ambayo inasafirishwa kwa nyaya maanake ina kasi ya mwanga. Kwa hiyo ndio maana kuna maelfu ya nyaya ambazo zinatandazwa baharini na ndizo kwa asilimia kubwa zinatupa internet iliyopo duniani kwa sasa. Sehemu kubwa ya internet inasafiri kwa njia ya nyaya baharini. Na kuna makampuni yanahusika na haya mambo kwa sababu hiyo kwamba kasi kubwa zaidi ni kasi ya mwanga. Sasa ukitaka kusafirisha internet kwa kasi ya sauti maanake natumia wav ndio hii sasa unatumia
kwenda angani. Sasa kuna tabia ya mwanga na kuna tabia ya sauti. Sauti ina tabia moja. kadri unavyokuwa inasafiri umbali mrefu inazidi kupungua nguvu kwamba kama kitu kinasafiri kwa njia ya nyaya ni kiasi kidogo sana kinapotea. Watu wa Tanesco ama watu wanaojua umeme watakubaliana na mimi kwamba hata Tanesco wanapotengeneza umeme kwenye chanzo mitambo wanavyosafirisha kunakumbuka kuna zile units kadhaa ambazo zinapotelea njiani huwa inatokea kwenye hii process upande wa umeme lakini sio kwa kiasi kikubwa kama sauti.
So ili sasa kuweza kutatua hilo tatizo la sauti inabidi zile wave ziwe karibu karibu zaidi. Kwa hiyo Elon Musk atahitaji kuwa na satellites maelfu kama sio mamilioni kuweza kutoa huduma ya internet dunia nzima na kwa kasi inayotakikana. Na ndio maana sasa hivi anachofanya Elon Musk anatoa huduma kwenye yale maeneo ambayo internet ni ngumu kufika. Kwa hiyo internet ya Elon Musk haijaja kwa sababu ya dunia nzima ikimaanisha kwamba sio uwekezaji ambao ni rahisi kwa hiyo sio ficha ya dunia. Bado makampuni
wanaotandaza nyaya baharini itaendelea kuwa ni sehemu kubwa ya mawasiliano yetu kwa sababu kwanza kuna discussion kubwa kuhusu ozon layer ya kwetu. The size of space junk upes there are couple different ways to think about that. Kwamba kuna vyombo vingi satellites nyingi ambazo zikishawekwa kwenye anga za juu. Unajua satellite huaga zinapigwa mabomu zinasambaratika. Lakini sasa kiuhalisia ni kwamba zile chenga huwa zinabaki kwenye orbit. Na kuna documentaries nyingi ukifuatilia za watu wakiwa wanaelezea kwa nini ni
hatari sana. Kila siku binadamu anapandisha anaweka vitu kwenye ozon layer kule. Unaweza ukashangaa mbeleni ikawa unatembea tu natoka kitu huku kinabomoa nyumba kimeanguka kwa kasi ya juu lakini wanasema kwa sababu kule haziwezi kuja humu ila zikijaa kule wanasema zitaathiri sana huku tunapoelekea. So moja ya hatari ni kwamba huu uchafu siku moja unaweza ukagongana na satellite labda ya inayotusaidia kuona Google Map au satellite za kijeshi za nchi au satellite zinazotusaidia kusoma hali za hewa. Unajua kuna satellite
nyingi angani na moja ya argument ndio hiyo kwamba tupunguze uchafu kwenye anga za juu. Kwa hiyo Elon Musk anakabiliwa na hiyo changamoto pia. Lakini kubwa ni hiyo ya kiteknolojia kwamba ni ngumu kumpa mtu kila mtu I mean ni ngumu kumpa kila mtu internet ya uhakika kwa kutumia njia ya satellite kwa sababu kwanza ya kasi kwa maana ya kasi ya sauti ni ndogo kuliko ya mwanga. Lakini pili ndio hiyo kwamba ili kuweza kuiboresha inahitaji uwekezaji mkubwa na unahari hiyo ya kim mazingira. Sasa sijui hivi angaza juu ni
mazingira or something. Lakini umeelewa sasa kwa hiyo internet na usafiri baharini itazidi kuwa ni sehemu ya interneti yetu ya kutegemewa muda mrefu. Kwa hiyo hata kama umepita mitaani sasa hivi utagundua kuna makampuni kwa mfano Tanzania Dar es Salaam kuna makampuni yanasambaza internet na wengi wanatumia njia za nyaya. Na zile za wireless ni zile ambazo zimeletwa hapa kwa njia za nyaya. Kwa hiyo kwa sababu hiyo ndio inasababisha internet inabaki kuwa ya nyaya. Ndio internet ya kutegemewa. Sijui kama nimeweza kukuelewesha vizuri
ukaelewa kuhusiana na internet lakini nilikuwa najaribu kukurahisia iwezekanavyo na I hope imekupa some ABCs. Niambie kama hizi episode zinakusaidia kwa namna moja ama nyingine na lengo ni kukupa yale masomo madogo madogo ambayo labda huelewangi kama kuna vitu ambavyo pia unahitaji kuelewa vya geopolitics na vitu kama hivi karibu sana sana. Kiukweli nichukue tena nafasi hii kukushukuru wewe ambaye umesubscribe. Naona kila siku namba zinazidi kupanda za subscribers. Mnanifanya nisichoke kuja hapa kuwapa hizi updates. Tukutane
East Africa Radio wanakutana na nyinyi kwa siku mara moja zaidi tunakutana East Africa Radio jumamosi tu mara moja saa 9a la siri hadi saa 10 kwenye madini.com. na mle sasa ndio kuna segment zote nne kwa maana ya live na G ambayo huwa mnaiona hapa hapa kuna picha linaanza mnaipenda sana lakini pia tuna caption ambayo huwa hamuioni YouTube ila iko kule tuna nyingine pia inakuja hivi karibuni tuna 22 ambayo pia ilikuwepo madini.com kwa hiyo ukitaka kuipata show nzima utatusikiliza kwenye radio hapa
unakuwa unapata updates na good news ni kwamba hiki unachokiona hapa huwa hakiruki radio kwa hiyo inakuwa ni exclusive kwa upande wa YouTube na yote hayo ni kwa sababu umesubscribe. Kama hujafanya hivyo please naomba ufanye hivyo kwa sababu ni namna nzuri ya kuweza kutusupport na naitwa Grayson Gideon. Niambie kama nimekuongezea kitu ili niendelee kuwapa nyingine nyingi zijazo. Thank you so much. >> Hii ni gonga94
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi