Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
184 views
VYOTE NDANI GONGA94
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 4
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Basi safari iliendelea huku nikiwa na mawazo mengi kumbukumbu nyingi sana niki mkumbuka mamdogo enzi za uhai wake
kwenye gari kulikuwa na dereva pamoja na watoto wawili nyuma ya siti yangu upande wa dereva kulikuwa na mbaba mmoja ambae alikuwa busy sana na simu
tulifika Njombe dereva akasimamisha gari na kusema dada tupate chakula kidogo nika mjibu mi sijisikii kula kabisa yule mubaba akasema dada pole kwa matatizo ila kifo ni ibada inakupaswa kushukuru na kumuombea marehemu aende salama aliongea maneno mengi sana ya kunifaliji hadi nika jiisi niko poa kidogo nikashuka nao
tuliingia hotelini pale njombe ni hoteli kubwa sana kipindi na hangaika pa kukaa yule mubaba akanishika mkono na kuniambia kaa hapa nakuja muda si mrefu akaja muhudumu mmoja na kuniuliza habari dada nika mjibu salama pole na safari unatumia chakula gani?
πππ naomba supu ya kuku ya moto "ok dada naleta " muhudumu aliniletea supu ya kuku ya moto yule mubaba nae akaja pembeni yetu meza ya mbele walikaa wale mabinti wawili wanaongea sana ngeri pia nao walikuwa tayari wameagiziwa chakula na huyu mubaba
Mbona unakunywa supu peke yake dada , nataka nipunguze kidogo baridi , akaita muhudumu leta wali kuku moja na leta kitafunwa kizuri kwa ajiri ya dada yangu hapa ,
muhudumu"nikuletee nini dada yangu" ,
naomba chapati 2 za moto huyu mubaba akamuliza muhudumu zile kwenye kabati nini zile
" muhudumu hagechop"
sawa mletee mbili nazo basi tulikula pale na kuingia ndani ya gari ilisafari ianze nashukuru mungu huyu mubaba alilipa pesa yote kumbe ni mtu wa masihara sana yani kiufupi nilimzoea gafla sana anautani mwingi sana daaah hadi nikajikuta hali ya hudhuni kwangu imeondoka kabisa
part 5 "gafla siti ya nyuma kulitokea bonge la joka" ππππππ
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sik...
*PENZI LA OCTOBER (29)* *SEHEMU YA 01----03* Mpyaaaaaaπ₯π₯ ******* Nadhani hakuna mtu asiyekumbuka siku hii kubwa na ya muhimu sana ambayo kumbukumbu
zake hazitokaa zifutike kwenye akili za watu, kulikuwa na Uchaguzi mkuu kwa wengine na wengine ilikuwa ni siku iliyopan...
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 4
Basi safari iliendelea huku nikiwa na mawazo mengi kumbukumbu nyingi sana niki mkumbuka mamdogo enzi za uhai wake
kwenye gari kulikuwa na dereva pamoja na watoto wawili nyuma ya siti yangu upande wa dereva kulikuwa na mbaba mmoja ambae alikuwa busy sana na simu
tulifika Njombe dereva akasimamisha gari na kusema dada tupate chakula kidogo nika mjibu mi sijisikii kula kabisa yule mubaba akasema dada pole kwa matatizo ila kifo ni ibada inakupaswa kushukuru na kumuombea marehemu aende salama aliongea maneno mengi sana ya kunifaliji hadi nika jiisi niko poa kidogo nikashuka nao
tuliingia hotelini pale njombe ni hoteli kubwa sana kipindi...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/haku-huko-mi-siwezi-part-4
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi haku-huko-mi-siwezi-part
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 8
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 5
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 9 (hali mbaya kijini leo nyukiii)πππππ
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 2
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 6
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 3
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 7
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 10 (Moshi mkubwa juu ya anga) wananchi wenzangu hali hii ni ngeni hapa kijiji kwetu toka kuzaliwa kwangu hadi umri huu sijawahi shuhudia...
Maoni