Taratibu zingine ziliendelea huku ndugu wa kutoka maeneo mbali mbali wali wasili akiwemo shangazi mkubwa kutoka Mtwara muda huo nae alikuwa anawasili msibani
Shangazi mkubwa huwa nampenda sana na huwa anajali sana kiufupi roho yake nzuri mcheshi sana nilimpokea na kumkumbatia ndipo uchungu ulimjaa na kuanza kulia kwa sauti kubwa nikajikuta na mimi namsapoti kulia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ulipita muda kidogo na hapo watu walikuwa wamejaa sana nnje sauti za dua na vilio vilitawala ,😭 Msiba ulijaza watu wengi sana wakutoka Mtakanini,Rumecha,Hanga,Mawa,Mliyayoyo,na vijiji vyote vya jilani na Msindo
Hatimae saa saba mchana ilifika na muda wa kuswalia maiti ulifika Sheikh alitangaza anae taka kuswalia maiti akatie udhu na swala ikaanza
Tulikuwa tumekaa chumba cha wafiwa ni jirani kabisa na uwanja ambako ibada iliendelea baada ya kumaliza ibada ya kuswalia maiti taratibu zingine zilifuata kwa dakika chache na hapo ndipo tulipo anza tena kulia kwani muda huo jeneza lililobeba mwili likainuliwa na kuanza kuondoka 😭😭😭😭😭😭 mama mama mama ,shangazi shangazi,wifi wifiiii ahaaaa haaaaaà haaaaaa mmmmmh vilio vilitawala sana kila mtu alitaja jina la marehemu vile anavyo mwita ,Inamana umetuacha kweli inamana hauta rudi tena kwa nini lakini hivi sisi tulikosea nini mbona hukutuaga , Maneno yalikuwa mengi sana ya uchungu mkubwa huku sauti za dua zikiwa tayali zinapotelea kwa mbali hadi zikawa hazisikiki tena ,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭
😭😭😭😭
"Baada ya kufika makaburi taratibu ziliendelea na muda huo huo vijana wakaanza kufukia haikupita muda kazi ya kufukia kaburi ilimalizika Sheikh alisoma dua ya kumalizia kwamba sisi ni wa mungu na kwake tutarejea Amin,
Kitendo cha kumaliza tu kusoma dua ziliibuka nyuki kusiko julikana na kuanza kushambulia watu kila mtu aliokoa nafsi yake wengine walikimbilia kwenye makaburi ya wakristo na kupalamia misaraba na kuvunja vunja bila ya wao kujua
"
Sauti kali zilianza kusikika kutokea mbali nyuki nyuki nyukiiii
haukupita muda mlefu watu wakiwa wanakimbia walianza kuja na kupitiliza ndani bila hodi milango yote ikawa inabamizwa kubaaa baaaaaah .
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments