Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
21 Sep 2025
17 views
VYOTE NDANI GONGA94
Inasemekana kabla ya mechi ya jana Kocha Fadlu Davies aliwaambia Viongozi ili aketi kwenye benchi wakubaliane kwa maandishi kuwa hatopaswa kulipa mishahara ya miezi mitatu ili avunje mkataba wake, kitu ambacho bado hakijapata majibu kama waliingia makubal
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.
Ila taarifa iliyopo mpaka sasa ni kuwa Kocha amekacha hayupo na timu huku nao Simba wakiwa tu kimya, mtego uliopo hapo ni kuwa Simba wakitangaza kuvunja mkataba watapaswa kumlipa fidia na endapo yeye akitangaza kuondoka atapaswa kulipa mishahara ya miezi mitatu.
Huku ripoti zikidai Kocha Fadlu anapokea mshahara unaokadiriwa kuwa karibu na Billion mbili za Kitanzania kwa mwaka.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehr...
Bila ya msimamo ule leo watu wangeshasahau kama Afcon ilichezwa Morocco, bila ya huyu Mwanaume muda huu Morocco wangekuwa wanashangilia Kombe la dhulma.
Bila ya jamaa kutoa vijana wake leo Mutsepe angekiri kuwa Senegal walionewa lakini isingesaidia kitu tayari Morocco Bin...
Inasemekana kabla ya mechi ya jana Kocha Fadlu Davies aliwaambia Viongozi ili aketi kwenye benchi wakubaliane kwa maandishi kuwa hatopaswa kulipa mishahara ya miezi mitatu ili avunje mkataba wake, kitu ambacho bado hakijapata majibu kama waliingia makubal
.
Ila taarifa iliyopo mpaka sasa ni kuwa Kocha amekacha hayupo na timu huku nao Simba wakiwa tu kimya, mtego uliopo hapo ni kuwa Simba wakitangaza kuvunja mkataba watapaswa kumlipa fidia na endapo yeye akitangaza kuondoka atapaswa kulipa mishahara ya miezi mitatu.
Huku ripoti zikidai Kocha Fadlu anapokea mshahara unaokadiriwa kuwa karibu na Billion mbili za Kitanzania kwa mwaka.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/inasemekana-kabla-ya-mechi-ya-jana-kocha-fadlu-davies-aliwaambia-viongozi-ili-aketi-kwenye-benchi-wa
Maoni