Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu
Gonga94 · Stories

JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

Walifika hotelini na kupelekwa kwenye chumba chako ambacho kilikuwa kimeandaliwa rasmi kwajili yao maharusi wapya. Kitandani kumwagwa mauwa na kuandikwa herufi za mwanzo za majina yao.

"Hii inavutia sana na kuamsha hisia na upendo. Aliongea Leyna huku akiwa anamuangalia Abisai usoni.

"Hiki ndio maana ya Fungate.

Leyna alikuwa hayupo sawa lakini hali ya chumba ilimfanya atulize moyo wake hisia za mahaba zilijaa.

Alimsogelea Abisai na kuushika tai yake huku macho yao yakiwa yanasngaliana.

Mume wangu naomba usiviruge akili yangu kwa wivu nipe nafasi tuziachie nafsi zetu ufurahie..... Kabla hajamaliza kuongea midomo ya Abisai uligusa midomo ya Leyna na kuanza kukiss. Baada ya hapo Abisai alimbeba mke wake na kumlaza kitandani.

Siku hiyo kweli ilikuwa rasmi kwa uzinduzi wa penzi lao, japokuwa waliwahi kukutana huko nyuma lakini ilikuwa kama ndio kwanza wamekutana siku hiyo.

Wakifurahia usiku wa kwanza wa ndoa yao huku wakiongea kuhusu maisha yao mapya ya ndoa, kila mmoja alimuahidu mwenzake mambo mazuri.

Mke wangu Leyna, nafahamu unaniona mimi kama kikwazo kwenye maisha yako lakini kiukweli ni kwamba nakupenda sana na nakulinda kutokana na watu wenye tamaa.

nilikuwa nahodha sana kunyang'anywa na watu wasiothamini mapenzi ya watu.

"Sasa ondoa shaka mume wangu nimeshakuwa mke wako, tumekuwa ya mini hakuna wa kunichukua kwako.

"Asante mke wangu.

Usiku huo waliongea sana mpaka kukaribia kukucha wakapitiwa na usingizi.

Kesho yake kwenye majira ya wanne asubuhi waliondoka na kwenda kupanda boti kwaajili ya kwenda kisiwani kumalizia Fungate yao.

Walifika kisiwani walipokelewa na hali ya hewa safi yenye kupendeza na kuvutia mwanana ukiwauliza. upepo

Mume wangu hii ni sehemu nzuri sana, sikutegemea kama tungekuwa Fungate kwenye Mashali ya kuvutia kama haya.

"Umependa? "Yani ni zaidi ya kupenda.

Najua viti anavyopenda mke wangu ndio maana nikachagua Fungate yetu iwe hapa.

"Jamani mume wangu, asante. "Basi twende chumba kwanza

. Walishikana mikono kwa mahaba wakawa

wanaelekea kwenye chumba chao cha fungate huku muhudumu akiwa amewabeba mabegi yao Walipofika kwenye chumba chao leyna alibaki

mdomo wazi jinsi chumba lilivyokuwa kizuri. "Waoooo! Abisai ndio umeamua kumshangaza hivi?

Abisai aliachia tabasamu akamsogelea na kupitisha mkono wake wa kushoto kwenye kiuno cha Leyna.

"Ukiiniita mume wangu nitafurahi zaidi.

"Sawa mume wangu.

Alisema Leyna na abusal amtunukia busu kwenye paji la uso.

Abusai alipiga hatua kusogea mbele

akafuvutacpazia moja kubwa na kubakia mlango mkubwa wa kioo ambao ulikuwa unaonyesha nje. Ilionekana bahari na watu waliokuwa wakiongelea baharini. Alifungua mlango wakatoka nje ya kibaraza kulikuwa na meza ndogo pamoja na viti viwili, upepo mwanana ulikuwa ukiwapuliza.

Hapa ndipo tutakuwa tukikaa na kupunga upepo.

Baada ya hapo walienda bafuni kuoga walipotoka wakiagiza chakula, walikula kwa mahaba mazito Leyna alianza kuifurahia ndoa ambayo alihisi itakuwa ni kifungo.

Fungate yao ilienda vizuri huku wakipeana mahaba moto moto Abisai hakuwa yule wa zamani wa kumbana Leyna Kila alipokuwa

layna na Abisai alikuwepo.

Siku moja usiku wakiwa kitandani Leyna akiwa kajilaza kifuani kwa mume wake mara simu ya Leyna iliita.

"Baby ni nani anapiga simu saizi? Sijui. Alijibu Leyna kisha akanyanyuka

kuchukua simu. Kabla hajapokea Abisai alichukua na kuangalia akakuta ni namba haina jina.aliamua kupokea na kukutana na sauti ya

mwanaume.

"Hallow.

Abisai alitulia kidogo huku akimuangalia Leyna usoni.

* Wewe ni nani unapiga simu muda huu, kwani hujui unaempigia ni mke wa mtu na saizi Kalala na mume wake?

Naitwa Erick nilikuwa nataka kuongea na Leyna.

"Wewe ni nani kwake? "Rafiki ya...... Kabla hata hajamaliza kuongea

Abisai alimkazia.

"Sikiliza wewe mtu unaejiita Erick, Leyna sasa ni mke wa mtu haitaji marafiki zaidi ya mimi mume wake. Kina kupiga tena hii namba.....

"Leyna aliposikia jina la Erick alikuwa na shauku ya kutaka kuongea nae, alijaribu kuomba simu lakini Abisai alikataa alichofanya ni kukata ile.

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu

.

Walifika hotelini na kupelekwa kwenye chumba chako ambacho kilikuwa kimeandaliwa rasmi kwajili yao maharusi wapya. Kitandani kumwagwa mauwa na kuandikwa herufi za mwanzo za majina yao.

"Hii inavutia sana na kuamsha hisia na upendo. Aliongea Leyna huku akiwa anamuangalia Abisai usoni.

"Hiki ndio maana ya Fungate.

Leyna alikuwa hayupo sawa lakini hali ya chumba ilimfanya atulize moyo wake hisia za mahaba zilijaa.

Alimsogelea Abisai na kuushika tai yake huku macho yao yakiwa yanasngaliana.

Mume wangu naomba usiviruge akili yangu kwa wivu nipe nafasi tuziachie nafsi zetu ufurahie..... Kabla hajamaliza kuongea midomo ya Abisai uligusa midomo ya Leyna na kuanza kukiss. Baada ya hapo Abisai alimbeba...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-nipe-chance-kidogo-chapter-13-alitamani-kuongea-jambo-lakini-aliamua-kunyamaza-ili-asiharubu-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-nipe-chance-kidogo-chapter
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 8 Leyna alishika njia na kuelekea stendi ya  daladala, Abisal alimfuata nyuma
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 8 Leyna alishika njia na kuelekea stendi ya daladala, Abisal alimfuata nyuma
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO.  Chapter 10 Kesho yake mapema Abisai alifika nyumbani kwa kina Leyna na kumkabidhi Leyla simu yake mpya tena haikuwa kama ile ya bei rahisi...
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO. Chapter 10 Kesho yake mapema Abisai alifika nyumbani kwa kina Leyna na kumkabidhi Leyla simu yake mpya tena haikuwa kama ile ya bei rahisi...
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 3 Siku zilizidi kwenda huku Abisal akiwa amepania kumbadilisha Leyna
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 3 Siku zilizidi kwenda huku Abisal akiwa amepania kumbadilisha Leyna
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

1.18K
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

647
MY WANGU❤️ sehemu ya 113

MY WANGU❤️ sehemu ya 113

628
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 70...71💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 70...71💘💘

616
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

212
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4

118
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

91
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

80
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

79
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

66

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.22K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.33K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.32K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY 🦋 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic “rich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❤️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… “Wewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza “Huyu ni nani tena?” Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. “Sikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wake” nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. “Working with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO...... "Uwiiiii mamaaa, sir nisamehe.." Alilalamika yule mwanafunzi. ( yani unaongea hivyo na mtu ambaye ananifanya nikose usingizi, nishindwe kula harafu unaongea unavyojisikia na mimi nikiwa hapa kabisa, pokea na hicho..) Nikamshushia kingine...

AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo Post Mpya
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
@majario LIVE

utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu. Akizungumza na chombo kimoja cha Habari...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest