BOSS ANAMPENDA MKE WANGU 01 ❤ Umri………………...18+ ANZAAA NAYOO.......... Ilikuwa ni siku niliyohudhuria karamu ya krismasi kwenye kampuni ninayofanyia kazi
mimi pamoja na Mke wangu aitwae Mary. Kampuni ilikuwa imepanuka haraka sana katika kipindi cha mda mfupi tu, ilikuwa ni...
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *11--15* *__________________________________* *SEHEMU YA 11* Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu
, nilipokutana macho kwa macho na mjomba niliganda nikiwa nimetoa macho, kisha nilisimama juu na kumuita: "Mjomba! ...
Je Unajua : Klabu ya Fluminense ya Brazil ndio klabu iliyo na rekodi ya kuwa na Mchezaji mfupi zaidi na mrefu zaidi kwenye FIFA Club World Cup
Je Unajua : Klabu ya Fluminense ya Brazil ndio klabu iliyo na rekodi ya kuwa na Mchezaji mfupi zaidi na mrefu zaidi kwenye FIFA Club World Cup,
✅Golikipa wao, Gustavo Ramalho ana urefu wa Mita 2.1.
✅kisha mchezaji Yeferson Julio Soteldo Martinez ana ufupi wa Mita 1.60.
Kuna utofauti Sintimita 41 kati ya Gustavo na Martinez.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/je-unajua-klabu-ya-fluminense-ya-brazil-ndio-klabu-iliyo-na-rekodi-ya-kuwa-na-mchezaji-mfupi-zaidi-n
Maoni