VYOTE NDANI GONGA94
KAKA ME DADA YAKO 14
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SIMLIZI:
Zaidi ya kisasi tu
Lakini madam utalipa na utaniambia
Ila aaa madam nimachozi tu huko polini
Walipomuuwa mika walianza kunitafuta na mimi
Mmh na hapa nimechoka mungu wangu
Uko wapi mbona umeniacha mungu wangu nini nimekukosea baba mbona umenisahau
ππππππππππππππ
Songa nayoo π β₯οΈ β€οΈ
Sasa nikukimbia ili kunusuru uhai wangu
Maana police wanakuja kwa kasi
...japo nimechoka
Giza nalo limetanda nikajificha kwenye kichaka
Nikatulia
Upande wa pilly na madam
Baada kumpiga yule jamaa alietumwa kumubaka hadi achanganyikiwe
Pilly alikimbia aende zake alipotoka nje
Alikutana na madam alipomuona madam lingua kicheko
Waoooo shujaaa umetoka salama
Nilijua tu maana wewe ni shujaa
Madam aliendelea kuongea maneno ya kejeli
Huku akichekelea
Pilly alimkazia macho madam
Alijaaa hasira ivi wewe madam kwanini unafanya hivi kwanini hutuinei huruma sisi watoto wa mwanamke mwenzio
Madam alichomoa bunduki
Alitaka kumshuti Pilly
Wewe mbwa usinikumbushe mbali
Unajua kwanini naganya hivi
Nakuuliza wewe nyao
Madam aliongea huku machozi yakimtoka
Hadi Pilly alisituka akawa anawaza
Moyoni mwake nini kilimpata madam maana inaonekana ni kisasi analipa
Please madam suzy unaweza kuniambia kwanini
Unafanya haya Pilly alimuuliza madam suzy
Madam kuulizwa tu alipiga lisasi juu
Huku akipiga kelele noooooooooooooooooooooooooo
Nitakuuuwa kama nilivomuuwa baba yako na mama yako sitabakiza kizazi
Tena kwenu
Weee Pilly aliposikia hayo
Wewe madam unasemaje inamaana wewe ndiye uliuwa mama yangu
Wewe ndiye uliuwa baba yangu
Wewe ni nani madam
Pilly hakujali cha bunduki alimvagaa madam
Alisha ngumi teke
Lakini alipelea kwa madam
Alipigiwa moja tu
Akaanguka chini akatema damu
Pilly aliniika tena akalusha teke .madam akalidaka
Nakumpa kionjo kidogo cha kifuani
Pilly akaanguka chini
...madam alimwambia natamani sanajue
Kwanza kwanini nafanya haya alafu nikuuwe
Siwezi kukuacha hai
Kwa upande wake jenn
...
Nikiwa pale nimejificha nikawa nasikiwa
Miguu kama kuna mtu ananyata
Mmh uoga sasa moyoni nasema mungu
Nisaidie nimzalie kaka yangu mika
Huyu mtoto
Alafu nilipe kisasi kwa madam
Kile kishindo kilizidi kunikalibia weeeee
Niliogopa nikawaza ninani huyu
Nikabana mdomo nisitoe sauti lakini
Pale pale tochi kali ilinimlika
Usoni daaaa nimeishaπππππππππππππ
Itaendelea 15
SWALI MADAM KWANINI ANAFANYA HAYA
JE JENN ATAKUWA AMEKAMATWA NANANI
JAMAN HUUU MOTO NDIYO UMEWAKA
SASA ..

Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kaka-me-dada-yako