Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

🔥 MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTE🔥  Sehemu ya kwanza.
Gonga94 · Stories

🔥 MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTE🔥 Sehemu ya kwanza.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


( mtoto pita mbali na simulizi hii na wewe mjuaji pita mbali huu mziki wa watu wazima)

Anza nayo....👇

Alafu wewe uvivu umezidi mjini utapaweza kweli kwenda kuchota maji kisimani ndio masaa yote ayo.

" Mama nilikuwa nawaaga wenzangu kuwa naenda mjini.

" Utakuja kurogwa wewe ushaona wenzio wanaaga uku.

" Mama hao wana imani za kishirikina mimi izo sina.

" Aya Subili uonge na mama yako mkubwa.

" Sawa mama.

( Nilichukua simu kweli nikaongea na mama mkubwa)

" Shikamoo mama mkubwa.

" Marhaba mwanangu.

" Mama kasema nionge na wewe.

" Nilikuwa nakwambia ukipanda basi mwambie konda Nashuka shekirango.

" Shakirango.

" Shekirango sio shakirango alafu namba yangu uandike kwenye karatasi sawa.

" Sawa mama mkubwa.

( Kweli Nilichukua namba ya mama mkubwa nikaandika kwenye karatasi...yani naona kama kunachelewa kukucha niondoke kijijini hapa...kweli siku ya pili nikaondoka nikafika dar usiku hapo shekirango...mama mkubwa akaja kunipokea mimi yamenitoka macho tu naangalia jiji la dar...mama mkubwa akaniambia)

" Juma mwanangu usiwe na wasiwasi umefika sasa.

" Sawa mama mkubwa.

( Ila nashangaa Sana sijui ndio ushamba mama mkubwa kavaa suruali imembana sana mwili yani mpaka mbele kumechora kabisa alama ya (V) ila nikanyamaza kimya nishamzoea mama yangu anavaa kitenge au kanga tulifika kwake nyumba kubwa nzuri akaniambia)

" Hapa ndio kwangu nakaa mimi na shoga yangu uyu tu.

" Sawa mama mkubwa shikamoo mama..

" Marhaba mtoto mzuri.

( Nilimwamkia yule shoga yake ila kunijibu mtoto mzuri kaniuzi Nilipewa chakula nikala akanionyesha chumba cha kulala nikaenda kulala...sasa usiku ndio namsikia mama mkubwa anaongea na uyo shoga yake)

" Umemuona sasa mtoto ambaye nakwambia mdogo wangu atakuwa amebadilishiwa hospital.

" Nimemuona mtoto shombe shombe au alikuwa anafanya kazi kwa watu weupe.

" Hakuna basi tu kapata zari sasa mimi naitaka hii mbegu ndio maana nimemleta hapa.

" Utamwanzaje sasa mbona mtihani mzito wewe mkubwa yeye mdogo.

" Nitajua tu nafanyaje ila uyu lazima anipe mbegu hili.

" Ila shoga sio vizuri uyu ni mwanao.

" Wewe shoga unataka kuniuzi nimekwambia uyu kabadilishwa hospital yani umuoni au ngoja nikupe picha ya mama yake umuone.

( Nilikuwa nashangaa yale maongezi usingizi ulikata nachungulia kupitia tundu la funguo kweli mama mkubwa anamuonyesha picha shoga yake)

" Unamuona mama yake uyu.

" Kweli kabadilishiwa uyu sio mwanawe.

" Aya nikimpa kuna zambi.

" Hakuna ila baba yake yupo wapi sasa?

" Simjui maana kaangaika na mimba mwenyewe ukimuuliza ataki kusema itakuwa bahati mbaya alikutana nacho.

" Hakuna mradi wowote labla ulipita uko wakaja watu wageni kusimamia weupe.

" Hakuna.

" Basi itakuwa mdogo wako alipewa mimba na mume wa mtu.

" Inawezekana.

" Yani mtoto jina la juma wala alimfananii kabisa.

" Hapo shoga tupo pamoja Kesho mimi naanza mikakati yangu mapema tu.

" Sawa.

( Walienda kulala mimi nawaza mama mkubwa kaniita mjini kumbe lengo lake ni hili inabidi nisimame kiume nisifanye mapenzi na mama yangu mkubwa hii ni lana...nilala asubuhi asubuhi mama mkubwa akaja kuniamsha akiwa amevaa mtandio tu alafu mwepesi)

" Juma Samahani ivi unaamkaga saa ngapi?

( Namjibu uku naangalia chini maana ule mtandio unaonyesha alivyo ndani)

" Naamkaga Muda kama huu.

" Samahani juma naomba uninyoshe mwili yani naisi kama vile nina homa mwili umeamka nyong'onyong'o.

" Mama mkubwa si ungemeza dawa tu inawezekana ukakaa vizuri.

" Sitaki kuuzoesha dawa mwili wangu naomba uninyoshe acha nipande kitandani uninyoshe.

( Mama mkubwa alipita niliposimama akanigusa na mzigo wake laini alafu kalala kitandani kifudi fudi ananiita)

" Juma juma njoo usiogope mimi mzungu wa roho juma.

( Mawazo yanashindana moja linasema nenda akitaka mpe si kautaka mwenyewe na lengine linasema iyo ni laana...nimeduwaa mama mkubwa akapandisha mtandio kwa juu yani miguu inaonekana vizuri meupe anajitikisa anasema kwa sauti ndogo)

" Juma njoo uninyoshe usiogope unanisaidia.

(,Dah mtihani huu)

ITAENDELEA
Juma atafanyaje?
Mama mkubwa anataka kbegu.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

🔥 MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTE🔥 Sehemu ya kwanza.



( mtoto pita mbali na simulizi hii na wewe mjuaji pita mbali huu mziki wa watu wazima)

Anza nayo....👇

Alafu wewe uvivu umezidi mjini utapaweza kweli kwenda kuchota maji kisimani ndio masaa yote ayo.

" Mama nilikuwa nawaaga wenzangu kuwa naenda mjini.

" Utakuja kurogwa wewe ushaona wenzio wanaaga uku.

" Mama hao wana imani za kishirikina mimi izo sina.

" Aya Subili uonge na mama yako mkubwa.

" Sawa mama.

( Nilichukua simu kweli nikaongea na mama mkubwa)

" Shikamoo mama mkubwa.

" Marhaba mwanangu.

" Mama kasema nionge na wewe.

" Nilikuwa nakwambia ukipanda basi mwambie konda Nashuka shekirango.

" Shakirango.

" Shekirango sio shakirango alafu namba...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mama-mkubwa-niizamishe-yote-sehemu-ya-kwanza

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mama-mkubwa-niizamishe-yote-sehemu-ya-kwanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

1.08K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

912
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

762
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

428
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

189
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

147
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

142
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

113
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

97
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5

92

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.66K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.81K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.89K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS 🥰 yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. 🔴 Maamuzi yaliyotangazwa: 💵 Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL ⚽. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL ⚽.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest