Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MAPENZI  NI  HISIA TAAM  1-----2 epsd 1.
Gonga94 ยท Stories

MAPENZI NI HISIA TAAM 1-----2 epsd 1.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 1.

Tukiwa bwenini shuleni nilikuwa najiandaa niende darasani kujisomea na wenzangu

Alikuja Chris na kuingia moja kwa moja bwenini kwetu kwa wasichana

Nilibaki nikishangaa kwani huyu kapitia wapi jamani

Tena kaingia hadi huku ndani

Nikaanza kumgombeza wewe umefuata nini huku au unataka nikusemee

Chris alinijibu nimekufua wewe Irene kunajambo nataka nikuambie maana kila nikitafuta muda nakosa

Nikamuuliza hilo jambo nijambo gani unalo kosa muda wakunieleza Chris

Alimjibu kuwa Irene nakupenda sana hasa nikikuona huwa nakosa hadi kujiamini ila leo nimeona nijipe ujasili na niongee mbele yako

Nikamwambia kuwa hivi unanini wewe haya ondoka haraka sana hapa mimi sitaki nipo hapa kusoma sio kuwa namahusiano

Chris alinisogelea na kunishika mkono akitaka kunibusu

Niliuputa na kumsukuma kisha nilikimbia mbio nilichukia sana

Chris aliona aondoke zake kwenye bweni lao

Siku iliisha siku iliyofuata asubuhi tupo darasani kwetu tunasoma alikuja Chris kwenye meza yangu na kuniachia karatasi

Niliichukua na kuisoma iliandikwa nifuate

Nilichukua ila nilitaka kujua nini anataka kuniambia tena maana nahasira na tabia yake

Alielekea nyuma ya vyoo nilimkuta huko nikamuuliza nini unataka jamani Chris

Chris alijibu ninachokitaka niwewe tuu sio kingine

Nilimjibu kuwa jua kuwa sikupendi hata usemeje umesikia Chris

Nikaondoka zangu nikaludi darasani nilichukia nikawa najiongelea mwenyewe

Hivi watu wengine sijui wakoje hawaelewi kabisaa mimi sipo hivyo angetatuta wahivyo

Mapenzi na mimi nitofauti kabisaa mimi kwanza ni shele sitaki kujihusisha na hayo mambo

Aliniona rafikiangu kipenzi Najma akaniuliza vipi Irene mbona unaongea pekeako kipenzi

Nilimjibu wewe acha tuu nitakuelezea baadae tukiwa bweni nimechukizwa sana

Tulipotoka darasani tulienda bwenini kuoga na kwenda kula

Nilipokuwa bweni na rafikiangu Najma nilimuelezea unajua huyu kijana anaitwa Chris ananiudhi sana

Najma akauliza kafanyaje kwani kipenzi

Nikamwelezea jinsi alivyo msumbufu yaana hadi bweni lawasichana anaingia eti anadai kuwa ananipenda

Najma akashangaa wee! usiniambie Chris huyu ninae mjua mtoto wa wazili

Nikastuka unasema Chris nimtoto wa wazili?

Najma akajibu ndio nimtoto wawazili

Endelea kufuatilia................

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 2.

Nilibaki kimya kidogo kisha nikakibu lakini hatakama ndio anisumbue

Mimi sijali kwasababu sijaja hapa kufanya mzaha nipo hapa kusoma tuu kwanza maisha ya nyumbani kwetu nayajua

Nikifeli naenda kuozeshwa sasa sitaki kuchezea maisha yangu hata kwanini

Yeye nimtoto wawazili maisha yeye nikama mchezo tayari yamefunguka

Mimi kwetu nimezaliwa wakike pekeangu kakazangu watatu na kusomeshwa nimefanyiwa hisanituu yaani baba hakutaka kabisa

Najma mmmh pole kipenzi ila ndio hivyo maana namjua huyo Chris huwa hakatariwi na mabinti

Nikamjibu basi mimi leo ndio nimemkataa

Najma aka guns mmh! Haya kipenzi

Tukaenda zetu kuoga na baada ya hapo tulienda kuchukuwa chakula

Tulikaa tunakula mala alikuja kijana mwengine akanipa kikaratasi

Nikakifungua kilikuwa kimeandikwa nakuhitaji nje nataka kuzungumza nawewe mwisho kiliwekwa sain ya Chris

Nilizidi kuchukia nikatoka hadi alipokuwa amekaa nikamwambia mbele ya wenzie Chris sitaki sitaki huu usumbufu wako umenielewa

Kisha nilitoka kwa hasira nikaenda zangu darasa lakujisomea nawenzangu

Alichukia sana kumfuata pale na kumkataa mbele ya wenzie

Alikuwa nikijana handsome mrefu mweupe ana body nzuri yakuvutia sana na alikuwa anaubabe sana kwa watoto wakike mkali kuwadhalilisha

Na kuwatumia anawapa rushwa viongozi wa pale boding kwenye mabweni akitaka lake lazima lifanikiwe

Hivyo aliinuka nakwenda nje alikuwa na hasira sana aliegemea ukuta kwamuda

Marafikizake walimfuata na kumuuliza tukamfanye nini Chris yule dada sema

Walipoona hajibu wakaanza kwenda darasani nipo akawaambia muacheni

Wakaludi ilikuwa ni ajabu kuacha kufanya jambo wakati anahasira

Huwa anapenda kuzui hasira kwa kufanya mazoezi alienda kukimbia na kupiga pushup

Muda wakuingia kwenda kulala ulifika tulienda kulala

Siku nyingine ilifuata alikuwa anajizui sana Chris lakini ningumu anaumia

Anatamani kunifanya nielewe lakini sitaki kumuelewa

Marafi zake wakamfuata Chris na kumuuliza kweli hili unaliacha lipite kweli

Chris akawajibu huyo sitaki aguswe namtu yoyote

Marafikizake woote wakaelewa kwa mala yakwanza Chris amependa mmmh nihatali

Alikuwa mtu asiniguse nisitake kitu yaani alikuwa kasimama nyuma yangu kama kimvuli nisiungue na jua nila mimi kujua

Nilikuwa nashangaa kunavitu vinatokea tuu nikihoji sipati jibu ndio hivyo na watu woote walikatazwa kuniambia chochote

Sikumoja nilipatwa na homa shuleni nilikuwa nahoma kali sana

Chris alitoa yeye helazake nipate huduma nzuri japokuawa tuna dispensary

Na alikuwa ananiagizia matunda na chakula chakunitia nguvu

Alikuwa hana raha kabisa alikuwa anaumia yeye mpaka wenzie wakajua sasa tulikuwa tunahisi tuu tumepata uhakika

Nilipopona alifurahi sana akanifuata darasani na kuniuliza Irene unaendeleaje sasa

Nikamjibu sio muhimu wewe kujua kwanini unajali kuhusu mimi nimekuambia ukae mbali namimi

Aliondoka zake na kuniacha nilimuambia Najma najisikia vibaya niagie kwa mwalim nitakuwa bwenini nimejipumzisha

Endelea kufuatilia.............

Full 1000
0784468229
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAPENZI NI HISIA TAAM 1-----2 epsd 1.


MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 1.

Tukiwa bwenini shuleni nilikuwa najiandaa niende darasani kujisomea na wenzangu

Alikuja Chris na kuingia moja kwa moja bwenini kwetu kwa wasichana

Nilibaki nikishangaa kwani huyu kapitia wapi jamani

Tena kaingia hadi huku ndani

Nikaanza kumgombeza wewe umefuata nini huku au unataka nikusemee

Chris alinijibu nimekufua wewe Irene kunajambo nataka nikuambie maana kila nikitafuta muda nakosa

Nikamuuliza hilo jambo nijambo gani unalo kosa muda wakunieleza Chris

Alimjibu kuwa Irene nakupenda sana hasa nikikuona huwa nakosa hadi kujiamini ila leo nimeona nijipe ujasili na niongee mbele yako

Nikamwambia kuwa hivi unanini wewe haya ondoka haraka sana hapa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ni-hisia-taam-1-2-epsd-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ni-hisia-taam
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 5.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 5.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 6.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 6.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ????  NO: 03
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ???? NO: 03
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ??  NO: 04
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 04
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA   NO: 15
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA NO: 15
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 8.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 8.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ????  NO: 18
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ???? NO: 18
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA Epsd 12.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA Epsd 12.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 14.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 14.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ??  NO: 16
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 16
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 7.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 7.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA  NO: 17
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA NO: 17
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 9
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 9
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 10.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 10.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 11.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 11.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 13.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 13.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest