Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5
Gonga94 Β· Stories

NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO.............

Tuliendelea na sherehe pale sikukumbuka kabisa kuhusu mama angu na nilikuwa na furaha sana, majila ya usiku tulitoka pale na kwenda club na mama angu wa kambo tulikaa kaunta maana ndo uwa tunapenda Sana uwa ofa zinakuja zenyewe, nikiwa nimekaa pale simu yangu iliita Sana na ilikuwa N upi namba ya Julius lakini sikutaka kupokea Zaidi nilizima simu, baada ya kukaa muda kidogo alikuja mababa kwa muonekano tu alionekana kuwa anapesa za kutosha , akatusalimia

"Habari zenu warembo....??"

Mie na mama yangu Tena tunavyopenda kusifiwa tulijishauwa hatari, na kuanza kumchangamkia Kama tumepata ukichaa.

" Aaaaah mnaweza kuungana na Mimi kwenye meza ile.....??"

Tuliinuka na vinywaji vyetu hao tukaungana nae kiukweli tulikunywa Sana siku hiyo yaani ilikuwa Kama azilipiwi maana zilikuwa zinakuja ovyo, nililewa Sana.

Nilikuja kushtuka asubuhi nikiwa katika hotel kubwa Sana ya kifahari na nilikuwa peke yangu, nyuo zangu zilikuwa zipo chini zimezaga uku na uku, pembeni kulikuwa na kiasi Cha pesa yaani kiukweli nilikuwa sikumbuki chochote kile, nilioga na kuondoka zangu, lakini furaha yangu ilikuwa kwenye zile hela tuh.

Nilifika nyumbani nilimkuta mama lakini baba sikumkuta.

" Mmmmh shoga angu ukaondoka pale bar ukaniacha peke yangu "

Alizungumza mama yangu wa kambo like

" Ungejua sikumbuki Nini kiliendelea ungekaa kimya tuu maana hapa sielewi Seema Nina mtonyo wa kutosha, anyway baba Yuko wapi....?"

"Aliondoka tangu usiku, Kuna yule dada ake wa magomeni amefiwa na dada ake, tangu Jana usiku, hivyo amelala ukouko me nitaenda baadae kumpelekea nguo lakini pia tutaenda kesho kuzika kapumzike kwanza naona kazi ya Jana sio ya kitoto"

Wote tulicheka, Kisha nikaelekea chumbani kwangu, nililala Sana nilikuja kustuka saa 8 mchana nilikuta missed call nyingi Sana za Julius na sms moja tu iliyosomeka hivi

" Jeuri yako haitakupeleka kokote utakuja kujuta kwa unachokifanya "

Nilicheka Sana na kujisemea

"Jamani kama utakiwi utakiwi muwe mnakubali kuachwa"

Nilikuwa nawaza kabisa kuwa Julius ananitaka Tena na nilipanga kumuumiza Sana kumbe yeye hakua uko kabisa alikuwa mbali na mawazo yangu.

Nikamtumia sms moja tu kisha nikamblock

Niliendelea mishe zangu.

Siku iliyofuata majila ya saa 9 mchana tulijiandaa na kwenda msibani uku nilikuwa na shauku ya kumuona shangazi yangu kwani sikuwai kuwaona ndugu wa baba yangu lakini pia nilikuwa nataka kumuona shangazi yangu ambaye alifariki kabla sijamuona.

Tulifika msibani ilikuwa Ni nyumba kubwa Sana jamani magari ya kifahari yalipaki nje yaani utazani Kuna sherehe kumbe msiba, baba akatupokea na kutukaribisha maana yeye ndio alikuwa kama mwenyeji wetu wa siku hiyo.

"Pole na msiba baba"

Nilimpa pole baba kwani nilijua aliyefariki Ni Dada yake

"Nishapoa karibuni, maiti iko njiani maana ilikuwa monchwari "

Tukakaa pale Kama wageni tukapatiwa maji na chakula Kama ujuavyo Tena misba ya watu wenye hela Ni kila kitu full Kama wamejiandaa vile

Baada ya muda maiti iliwasili pale, wa kwanza kushuka kwenye gari hiyo alikuwa Ni mama Julius nilistuka lakini nikajipa moyo, wa pili alikuwa Julius akiwa ameshikilia picha ya mama angu, kiukweli nilikuwa nikimchukia mama lakini sijui kwanini machozi yalinitoka sikujua kwanini , miguu iliniisha nguvu nilijikuta nikipiga magoti, baba pia alistuka Sana kuona picha ya mama pale mbele.

Basi kwakuwa mama alikuwa akiishi ki kristo kwa kina Julius hivyo ibada yake ilikuwa ya kikristo, muda wote huo nilikuwa sijaongea chochote lakini Kuna maumivu nilikuwa nikiyapata moyoni mwangu, baba aliweza kuelewa hali niliyokuwa nayo na muda wote alikuwa amekaa na Mimi.

Muda wa kuaga ulifika nilienda kumuaga mama siku hiyo nililia Sana sijui kwanini yaani nililia, lakini Julius ndio alionekana akiumia Zaidi kuliko mimi, nilijisikia vibaya sana, baada ya kila kitu kuisha tukaelekea makaburini tulizika na kurudi, nilimuomba baba tuendelee kukaa hapo mpaka matanga na hakuwa na hiyana alikubali mambo yakaenda sawa...

Baada ya siku tatu matanga yaliisha na wengi walikuwa wameondoka nilitamani Sana kuongea na Julius lakini hakutaka kunipa hata muda wa kuzungumza nae nilijisikia vibaya sana lakini pia sikuwa na namna nilimuacha apunguze asila zake.

Baada ya siku hizo kupita kilikalika kikao Cha familia ili kupanga siku ya kufanya 40 ya msiba huo mama Julius ndio alikuwa msemaji mkuu.

" Nitashukuru Sana ndugu zangu kwa kuwa na Mimi Katina siku zote hizi za uzuni yangu, najua wengi mlikuwa hamumjui marehemu lakini, nitatoa historia fupi, marehemu alikuwa na ukaribu na mwanangu Julius na hata alivyoanza kuumwa Julius aliamua kuja nae hapa niseme ule ukweli, nimeishi nae kwa amani Sana niliona kabisa nimepata dada alinipenda alioniona Mimi ni mdogo wake kwa muda mfupi nilioishi nae nimejifunza mengi kupitia yeye"

Alishindwa kuendelea alikaa chini na kuanza kulia.....

Baada ya kikao kuisha ndugu wote waliondoka lakini baba alisema tusubili tutaondoka jioni, baada yamuda kulikuwa kikao Cha dharura ambacho baba aliitisha, nilijiuliza kwanini baba ameitisha kikao, lakini Bado nilikuwa na maswali mengi kama baba na mama Julius Ni ndugu kwahiyo nimetembea na ndugu yangu...?? Lakini Kama Ni ndugu kwamba shangazi amjui wifi yake...?? Nilijiuliza lakini sikuwa na majibu, baba alisimama na kuanza kuzungumza kwa uzuni sana.

" Samahanini kwa kuwaita hapa kwa dharura na najua kila mtu alikuwa akifanya shughuli zake niwaombe radhi kwa kuwasumbua, nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye point, Julius mwanangu pole Sana kwa msiba mzito kwa habari ambayo nimepokea ulikuwa ukiangaika sana na mgonjwa Nina imani kuwa baraka zitakuwa juu yako umefanya kazi nzuri sana ya kumuhudumia mama yako mpaka siku anafariki "

Kila mtu alistuka lakini Mimi na Julius tulistuka Zaidi na kujikuta tukisimama kwa pamoja na kuuliza swali moja

" Unasemaje....??"

Kila mtu alishangaa kwanini tumeinuka kwa pamoja lakini Mimi na Julius ndio tulikuwa tunajua Ni kwanini

" Am sorry anko yule mwanamke nimemjua mda mfupi lakini Mimi Ni mpwa wako namaanisha mtoto wa Dada ako "

"Uko sahihi lakini ukwei mtupu Ni kwamba Mimi ni baba yako mzazi na marehemu ambaye tumempumzisha Ni mama yako mzazi........"

"What.....???"

ITAENDELEA........πŸ™
Tangazo - niliona mwenyewe dada yangu anageuzwa full story
niliona mwenyewe dada yangu anageuzwa full story
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5

SONGA NAYO.............

Tuliendelea na sherehe pale sikukumbuka kabisa kuhusu mama angu na nilikuwa na furaha sana, majila ya usiku tulitoka pale na kwenda club na mama angu wa kambo tulikaa kaunta maana ndo uwa tunapenda Sana uwa ofa zinakuja zenyewe, nikiwa nimekaa pale simu yangu iliita Sana na ilikuwa N upi namba ya Julius lakini sikutaka kupokea Zaidi nilizima simu, baada ya kukaa muda kidogo alikuja mababa kwa muonekano tu alionekana kuwa anapesa za kutosha , akatusalimia

"Habari zenu warembo....??"

Mie na mama yangu Tena tunavyopenda kusifiwa tulijishauwa hatari, na kuanza kumchangamkia Kama tumepata ukichaa.

" Aaaaah mnaweza kuungana na Mimi kwenye...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
NISAMEHE MAMA 😭  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

9.96K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.19K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.45K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.51K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.28K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.05K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.01K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.96K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.93K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest