Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
31 views
VYOTE NDANI GONGA94
Nottingham Forest baada ya Picha kuzua Mjadala!
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
??????????????????????????????Ameandika hivi Mmiliki wa Nottingham Forest baada ya Picha kuzua Mjadala!
"TUNAJIVUNIA NA TUKO KARIBU SANA NA KOCHA NUNO"
"Leo ni siku ya Kushangilia kwa sababu, baada ya Miaka 30, Nottingham Forest ina uhakika wa kushiriki Dimba la Ulaya kwa mara nyingine tena.
Zikiwa zimesalia mechi 2 Ligi iishe, inatubidi tupambane sana mpaka mechi ya mwisho, tunajivunia na tuko karibu sana na #Nuno na timu nzima kiujumla na tunapaswa kwa pamoja tufurahie mafanikio yetu"
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
WAMEIRUHUSU IPITE (Baada ya Kugundua hawana undugu) 1 - - - - - 5
SEHEMU YA 1 Kama utani hivi lakini kura zilipigwa usiku wa manane Nyamizi Mimi pamoja na my big brother Nico twende Jij...
??????????????????????????????Ameandika hivi Mmiliki wa Nottingham Forest baada ya Picha kuzua Mjadala!
"TUNAJIVUNIA NA TUKO KARIBU SANA NA KOCHA NUNO"
"Leo ni siku ya Kushangilia kwa sababu, baada ya Miaka 30, Nottingham Forest ina uhakika wa kushiriki Dimba la Ulaya kwa mara nyingine tena.
Zikiwa zimesalia mechi 2 Ligi iishe, inatubidi tupambane sana mpaka mechi ya mwisho, tunajivunia na tuko karibu sana na #Nuno na timu nzima kiujumla na tunapaswa kwa pamoja tufurahie mafanikio yetu"
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nottingham-forest-baada-ya-picha-kuzua-mjadala