ONE NIGHT ONE MISTAKE 17&18* Romex hakuwa sawa kabisa alimkagua mama yake *Vipi wewe na baba hajajeruhiwa?
Sisi tupo salama ila baba yako alipigwa na
mabapa ya panga.
Walimlazimisha baba yako akafungua shelfu wakachukua document za muhumu sijui itakuwaje kila kitu chetu kipo mule.
Ni mwana haramu gani kafanya haya?
Wamechukua nini?
Huu ni mpango kuna mtu yupo nyuma ya hili.
Baada ya kuongea na mama yake alienda kumchukua salsa kwenye gari na kumpeleka kwa mama yake. *Shikamoo mama.
*Marahaba.
*Mama huyu ndio mkwe wako nae kwa upande wake mambo hayapo sawa ndio maana nimekuja nae hapa.
Karibu nyumbani mwanangu.
* Usijali mwanangu, umefanya jambo la maana.
*Asante mama, poleni kwa matatizo.
Asante.
Wakiwa bado wanaongea walipata taarifa nyumbani kwa Romex kumevamiwa.
Hall ilikuwa ngumu sana kila mmoja alichanganyikiwa. Romex alitaka kwenda lakini baba yake alimzuia.
Baada ya polisi kuondoka waliingia ndani. Kila
Mara familia ya Lilian walifika kwaajili ya kuwapa pole. Romex alipomuona Lilian alimchukua salsa na kumpeleka chumbani.
Salsa kaa hapa
mtu alikuwa kimnya akitafakari tukio lililotokea.
"Nikae hapa mwenyewe?
*Usiogope ni salama kwa sasa.
Salsa alikubali kubaki Romex alitoka kwenda kuungana na wazazi wake.
Wakiwa pale sebleni mara kwa mara Lilian alikuwa akipigiwa simu na kwenda kuongea pembeni.
Siku zilienda hatimae wiki ikapita huku salsa akiwa nyumbani kwakina Romex.
Mama yake Romex alimpokea na kumuangalia vizuri lakini Kimbembe kilikuwa kwa baba yake Romex hakuwa anamtaka Salsa.
Siku moja mama Romex alikaa na mume wake. *Huyu binti sitaki kumuona hapa ndani.
*Sawa mume wangu lakini angalia na hali yake ni mjamzito yule na isitoshe amechoka.
Hayo hayakuhusu aende akakalie huko kwao Kwanza una uhakika gani kama yule mtoto ni
mtoto wa Romex?
Yeye muhusika akubali vipi wewe baba utie mashaka?
nimeshasema simtaki na hivi karibuni tutaanza taratibu za harusi.
"Mume wangu na haya matatizo bado unataka kuharakisha ndoa ?
*Kumbuka sasa hivi hatuna kitu mr Ferix ndio msaada wetu hivyo lazima Romex amuowe
Lilian haraka sana ili tupate msaada. Mama Romex hakuafikiana na wazo la mume
wake.
*Huo sio utu mume wangu.
*Wewe hall utu mimi naangalia kitu.
Wakati maongezi yanaendelea kumbe Salsa alikuwa anasikia. Alijisikia vibaya, alikuwa
mnyonge taratibu alienda chumbani akachukua kilichokuwa chake na kutaka kuondoka.
Wakati akielekea mlangoni akakutana na mama
Romex.
*Vipi Salsa mbona na pochi unaenda wapi? *Mama acha niondoke
Unaenda wapi sasa?
Nyumbani kwangu.
Lakini Romex amekuleta hapa kwaajili ya usalama wako na sasa unaondoka akiwa hayupo.
Usijali mama nitampigia simu.
Mara baba Romex aliingia
Mama Romex utambembeleza nini muache
aende hata hivyo nilikuwa namvutia kasi nilikuwa na mpango wa kumtimua.
*Baba Romex...
Shhhhh... Binti mlango ule pale ondoka kama utashindwa kulea mtoto basi mlete tu tutalea.
Salsa aliondoka huku nyuma mama Romex
alikuwa akilalamika.
Huo sio uungwana.
Sawa lakini ndio nimeshamtimua. Aliongea baba Romex huku akielekea chumbani kwake. Sijui imekuwaje siku hizi, roho mbaya tu
huangalli hata hali ya mtoto wa watu.
Mama Romex alitoka haraka kumfuata Salsa.
*Salsa mwanangu. Aliita na Salsa akasimama kumsubiri.
Siwezi kukuacha uende ukiwa hivyo lolote likikupata mtoto wangu ataumia sana na
kunilaumu. *Usijali mama mimi nitakuwa salama.
Hapana tutaenda pamoja nyumbani kwa Romex.
Wakiwa njiani mama Romex alimpigia simu na kumwambia wakutane nyumbani kwake
Offer offer
Soma yote kwa sh 500
Whatsp 0784468229
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi



Maoni