Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
79 views
VYOTE NDANI GONGA94
⚠️ Onyo: Hadithi hii ni kwa watu wazima tu (18+) KAYLA sehemy ya 5
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
⚠️ Onyo: Hadithi hii ni kwa watu wazima tu (18+)
KAYLA
sehemy ya 5
Mwandishi; maramoja the great
Simulizi za john
0789 824 178
1000
Basi prepo ikaisha tukaludi dom kulala basi ikakata kama week peter ananikwepa kinona nikipita atasimama zake mbali kabisa na mm nkasema nyooo basi nkawa busy na masomo yangu apo bado riz linanitaka mno namkataa namchamba ila akomi basi tukafanya mitiani ya mid teerm mwez wa tisa vzur ila uwa atulud likizo mpka likizo kubwa basi matokea yametoka nipo dom navaa kaja ney aannambia shogaaa nkasema nn aakasema yani kalibia wanafunzi wote tumefeli tumefanya vibaya walimu amekasilka mno aseee kesho jamani tujijaladie tutapigwaa sisi mala kaja sharon anasema jamani yule mkaka mgeni peter kapiga A masomo yote mh mpka nimeogopa nkasema wee kweli mbona haoneshi kama ana akili wakasema wee uwez jua akili ya mtu haipimwa kwa kunmuangalia nkasema aya bana basi tukalala asubuh niklijijaladia nkavaa chup 5 tait 2 na sket nkajua leo kitawaka class basi
Awoo tukaingis class nkakaa mala namuona peter nae anaingia asee ni mpole mno na watu wanamsifia tu mstaarabu mno na anawaelekeza sana watu ila nilikua naona hana akiili bwana anafosi nilivyosikia kapiga A zote masomo yote ndo nkasema uyu ana akili ndo mana shule imemfadhili itakua basi akaendaa akaa sehemu yake alikua anakaa na steve ndo alikua rafiki ake sana classs mala walimu ao asee na mabakora nkwambia mashost oya kumekucha aseee tulipigwa darasa zma kasolo peter alisifiwa mpaka nkaona wivu madam mmoka akasema alafu ww kayla yani hesabu ww ndo wakupata 0 umekua wa mwisho na ulembo wote na kupendaza kote huna akili unapata 0 wewe mtoto ebu njoo apa akaanza nichapa tena mwenyewe matakoni akasema ww umejijaladia leta mikono wee nkasema mungu wangu alinichapa mikononi we nililia mm muoga wa fimbo mno akasema peter akaitika nam madam akasema nakukabiz uyu uwe unamfundisha hesabu sawa akasema sawa madam mi nkasema khaaa uyu masiikin ndo anfundiishe mimi mh madam akanambia unasikia ww mjinga tena ww ndo unatakiwa umfate peter awe anakufundisha sio peter akutafute ww mshenzi mmoja tu kila siku baba ako anatuma pesa unakuja kuchukua alafu unapata 0 mjinga mmoja ww nkawa nalia tu sikupenda kufundishwa na peter sijih kwann sikuwa nampenda tu peter basi walimu wakaondoka nkabaki class nalia tu shoga zangu wananibembeleza kama nilionewa yani basi adi mda wa kula chakula cha nchana nkasusa si kwenda nkawa nipo zangu tu class mala namuona riz kaniletea keki na soda akanambia kula hiz baby wangu nkasema ili nalo chizi nn na maasila yangu nkanyunyuka uyo dom kulala shoga wamekuja wananambia ww utamfata peter kweli akuelkeze nkasema weee mi simfati ata wakanambia yule madam atakuchapa atal nkasema bwana siendi mm asije akaniambukiza umasikin wake basi tukacheka tu ikaputa week sijawah mfata ata siku moja na yeye wala hakuniuliza siku hiyo tupo class madam kaja akasema we kayla unamfata peter kukufundisha nkastuka akasema si nakuuliza ww nkasema namfata ndio akasema we peter ni kweli anakujaga umuelekeze nilitoa macho kama mm ndo nimeulizwa
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Mambo ni moto jamaanniii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥kupata full huu mzigo unaupata kwa 1000 tu chap nichek
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehr...
Bila ya msimamo ule leo watu wangeshasahau kama Afcon ilichezwa Morocco, bila ya huyu Mwanaume muda huu Morocco wangekuwa wanashangilia Kombe la dhulma.
Bila ya jamaa kutoa vijana wake leo Mutsepe angekiri kuwa Senegal walionewa lakini isingesaidia kitu tayari Morocco Bin...
⚠️ Onyo: Hadithi hii ni kwa watu wazima tu (18+) KAYLA sehemy ya 5
⚠️ Onyo: Hadithi hii ni kwa watu wazima tu (18+)
KAYLA
sehemy ya 5
Mwandishi; maramoja the great
Simulizi za john
0789 824 178
1000
Basi prepo ikaisha tukaludi dom kulala basi ikakata kama week peter ananikwepa kinona nikipita atasimama zake mbali kabisa na mm nkasema nyooo basi nkawa busy na masomo yangu apo bado riz linanitaka mno namkataa namchamba ila akomi basi tukafanya mitiani ya mid teerm mwez wa tisa vzur ila uwa atulud likizo mpka likizo kubwa basi matokea yametoka nipo dom navaa kaja ney aannambia shogaaa nkasema nn aakasema yani kalibia wanafunzi wote tumefeli tumefanya vibaya walimu amekasilka mno aseee kesho jamani...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/onyo-hadithi-hii-ni-kwa-watu-wazima-tu-18-kayla-sehemy-ya-5
Maoni