Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA
Gonga94 ยท Stories

SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA
Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji msaada wa kifedha,anahitaji faraja baada ya kupitia huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza ni kwamba kuna sifa upo nazo zenye kumvutia mwenza wako.

Kwa asili Mwanamke huwa mwenye sifa za huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu,upole,kusaidia sana,kujitoa mhanga kumfariji, kumliwaza mtoto lakini mwanaume huwa hana sifa hizo.

mwanaume akiona mtoto analia,amesusa chakula,anasugua kisigino sakafuni,anajirusharusha kwa ghadhabu- mwanaume huwa anakuwa mkali kupitiliza kukemea tabia hizo kwa mtoto kisha anamsukumiza mtoto kwa mama yake ili mama yake aanze kumbembeleza, kumliwaza,kumuimbia, kumnyonyesha.

kwa mantiki hiyo sifa ya kufariji,kuliwaza,kulea (nurturing), kuhurumia,kutaka kumbadilisha mtu mwingine tabia huwa ni sifa ya MWANAMKE

Lakini sifa ya kukemea tabia mbaya,kutoa onyo,kupanga sheria,kutoa maagizo,,kutoa vitisho,kupiga marufuku ni hulka ya mwanaume .

kwa mantiki hiyo endapo mwanaume atakuwa na sifa za huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu, anambembeleza sana, analalamika sana,anajieleza sana,anatenda wema kwa lengo la kumfurahisha mtu mwengine ni wazi kwamba mwanaume huyo anakuwa hana sifa za kiume (Masculine behavior) matokeo yake anapata mwanamke mwenye sifa za kiume (Masculine woman) ambaye atakuwa na tabia ya ubabe, ukali, kulazimisha mambo kwa nguvu,kutaka kumtawala mwanaume kimabavu.

Hii ni kwa sababu sio hulka ya Mwanamke kushika usukani ndani ya familia hivyo kwa sababu Mwanamke atalazimika kusimama ngangari kama vile ndiyo mwanaume ,uzito wa majukumu utamuelemea kisha Mwanamke atakuwa mkali kupitiliza,atakuwa na hasira kupitiliza, anakuwa mbabe sana, anakuwa mgomvi mgomvi,anakuwa haambiliki, hashauriki, anakuwa hataki kuambiwa makosa yake hataki kukosolewa, hataki kupangiwa cha kufanya, hataki kutumwa, hataki kupewa maagizo.

Hii ni kwa sababu wanakuwa wamebadilishana majukumu.
Sehemu- ya mwanaume anakuwa amesimama mwanamke na sehemu- ya Mwanamke anakuwa amesimama mwanaume.

Mwanaume ataanza kutaka kumbadilisha tabia Mwanamke lakini mwanamke atagoma kubadilika tabia kwa sababu ile hulka ya kuona anapewa maagizo na mwanaume inatoweka hivyo atakuwa anahisi anaongea na Mwanamke mwenzake hivyo lazima ataonyesha kiburi, majivuno, jeuri na dharau kwa sababu mwanaume anaonyesha kunyenyekea sana, kusamehe makosa haraka, uvumilivu uliopitiliza, ustaarabu sana,kujali sana,kuwa muelewa sana,kutaka amani na utulivu saa 24.

SIFA ZA KIKE HUWA ZINAVUTIA SIFA ZA KIUME
Mwanaume kamili huwa anavutiwa na sifa za kike, na Mwanamke vilevile huwa anavutiwa na hulka ya kiume.

Sifa za kike (feminine behavior) ambazo ni huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu,kujali sana huwa zinahitajika kwa ajili ya kulea watoto wachanga (nurturing) , lakini sifa za kiume (Masculine behavior) kama kujiongoza ,kutaka uhuru, kuthubutu, kueleza mahitaji bila woga, kujiamini sana huwa zinahitajika kutoa maagizo, kutoa vitisho, kupiga marufuku,kutoa onyo,kuongoza, kupanga sheria, kutoa amri,kupanga majukumu ya watu wengine.

utagundua kwamba ofisi yoyote huwa inaongozwa kwa maagizo, vitisho, kupiga marufuku,kukemea tabia mbaya,kutoa amri,kutoa onyo, kupanga sheria,kupanga majukumu kwa Watu wengine.
kwa mfano magereza, jeshini, shuleni,kwenye viwanja vya michezo,mahakamani,ofisi mbalimbali za kiutawala n.k huwa zenye kutumia sifa za kiume (Masculine behavior).
Haijalishi kiongozi atakuwa Mwanamke au mwanaume lazima utaona sifa za kiume (Masculine behavior) zinatumika

lakini sifa kama huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu,kusaidia sana, kujitoa mhanga, kumfariji, kumliwaza, kumuimbia, kumbembeleza sana mtu mwingine ni sifa ambazo utazikuta pale ambapo mtu labda ni mtoto mdogo sana yaani mtoto mchanga au mtoto ambaye hana uelewa mkubwa wa maisha, vilevile utakuta sifa hizo zinatumika kwa wagonjwa,watoto yatima ,wazee,walemavu,wahanga wa manyanyaso,wahanga wa ajali n.k

Hivyo maana yake mwanaume mwenye sifa za kiume (Masculine behavior) huwa hana muda wa kuanza kumbembeleza, kumkumbusha wema amefanya zamani, kujieleza sana mbele ya Mwanamke,kuomba msamaha muda mrefu,kupiga magoti, kutishia kujiua, kutuma sms mfululizo, kupiga simu mfululizo.

lakini kwa mwanaume mwenye hulka ya kike (feminine man) huwa mwenye kuomba msamaha mfululizo, kutuma sms mfululizo, kupiga simu mfululizo, kujieleza sana mbele ya Mwanamke,kuanza kulia, kujilaumu,kutishia kujiua n.k

SIFA ZA KIKE ZIPO KWA AJILI YA FARAJA TU
Mtu yeyote mwenye sifa za upole, huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu,kusaidia sana, kujitoa mhanga, kufariji, kuliwaza, kulea ( nurturing),mpenda amani, hataki ugomvi wala migogoro utagundua kwamba mtu huyo hawezi kufanya kazi ngumu,hawezi kubishana,hawezi kugombana,hawezi kuongoza,badala yake anakuwa mwenye kutoa ushauri,kutoa faraja,kuliwaza Watu wengine wenye maumivu makali sana labda mtu amepata msiba,ajali, kufukuzwa kazi,kudaiwa fedha nyingi sana n.k

Je binadamu anahitaji faraja akiwa na furaha sana?
jibu lake hapana.Binadamu huwa anahitaji faraja pale ambapo amevunjika moyo,ni mgonjwa sana,ni mlemavu,ni yatima,ni muathirika wa magonjwa au unyanyasaji.

Hivyo basi kama mwenza wako huwa anakuja kwako akiwa na matatizo tu jibu lake ni kwamba umejenga tabia ya upole, huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu, kusaidia sana, kujitoa mhanga, kumfariji mara kwa mara,kumliwaza mara kwa mara,kumpa ushauri, kumbembeleza mara kwa mara.

Hivyo baada ya mwenza wako kupata faraja anakuwa hana kingine cha kuhitaji kutoka kwako kwa sababu sifa yako ni kutoa faraja tu hauna kazi nyingine.

Mtu akiwa na furaha haitaji kuwa na wewe kwa sababu hauna cha kumpa lakini akiwa na huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza, simanzi na hasira kupitiliza anakuwa anahitaji faraja yako.

Kama wewe ni mwanaume mwema sana maana yake kazi yako maisha yako yote itakuwa kutoa faraja kwa Mwanamke wako pale ambapo ameachwa na wanaume wengine labda kwa kupigwa, kufokewa, kutukanwa, kutelekezwa na ujauzito au watoto, kudhulumiwa mali, kufukuzwa nyumbani usiku wa manane.

Akija kwako anakuja kwa mahitaji ya aina mbili,moja ni kupata faraja kwa sababu ya hisia za upweke, huzuni, majonzi, simanzi na hasira kupitiliza,pili anahitaji msaada wa kifedha kwa ajili ya kuhudumia mtoto au ujauzito wa mwanaume mwengine.

maana yake akifanikiwa kupata mahitaji hayo mawili yaani kupata faraja kwa upweke uliopitiliza alionao,kisha akipata MSAADA wa kifedha maana yake hana shida na wewe kwa sababu amefanikiwa kupata mahitaji yake yote.

Baada ya wewe kumhudumia,kulea watoto au ujauzito wake,baada ya kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama, kumjengea, kusaidia sana ndugu zake,kumuuguza, kusomesha watoto zake hapo anakuwa hana shida na uwepo wako .

atakuwa na fedha na furaha hivyo haoni umuhimu wako kwake kwa wakati huo kwa sababu kile ambacho unaona fahari kuwa nacho yeye pia yupo nacho

kitu pekee atakuwa hana ni kukidhi mahitaji yake ya kimapenzi.
Kwa sababu mwanaume mstaarabu sana hana mvuto wa kimapenzi basi mwanamke atalazimika kwenda kutafuta mwanaume mwengine labda Ex wake watarudiana kwa sababu ex wake anampa hitaji la moyo wake la mapenzi kwa maana Ex wake kipaumbele chake ni kufanya mapenzi na hilo ndiyo hitaji lake kwa wakati huo lazima aende kwa Ex wake ili apate hitaji la kufanya mapenzi.

lakini ex wake hana uwezo wa kumfariji, kumliwaza,kumhudumia kifedha ,hawezi kulea watoto hivyo kwa mahitaji ya kifedha kwa ajili ya kuhudumia mtoto wake,pamoja na kumpa faraja akiwa na maumivu atarudi kwako tu kwa sababu hicho ndiyo kitu pekee unaweza kumpa.

unajua kwanini WANAWAKE wenye tabia njema kama huruma, kujali, kunyenyekea,, kusamehe makosa haraka, uvumilivu uliopitiliza hawana hisia zozote kwa mwanaume mstaarabu sana? jibu lake ni kwamba mwanaume mwema sana, muaminifu, mwenye huruma kupitiliza, mwenye kusamehe makosa haraka hana tofauti na MWANAMKE kwenye tabia.

hivyo wanaweza kujenga urafiki wa karibu lakini hawawezi kujenga mahusiano ya kimapenzi kwa sababu Mwanamke anawezaje kujenga mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwenzake ? haiwezekani.
zingatia like charge repel each other, unlike charge attract each other.

ukiwa mwanaume mwenye sifa za kike hauwezi kupata mwenza mwenye sifa za kike kwa sababu anaona kama wote ni wanawake japokuwa mmoja anakuwa na mwili wa mwanaume lakini tabia zinakuwa za kike.

haya yapo ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI.

#Spirit_Warrior
#Wounded_Healer
๐Ÿคบ๐Ÿคบ

Kama tatizo lako ni kubwa zaidi tunaweza kuwasiliana kwa ajili ya Counselling session na ufafanuzi wa kilichoandikwa hapo juu na utaona mabadiliko na kujisikia nafuu ndani ya muda mfupi baada ya mazungumzo.(Counseling kwa njia ya simu gharama Tshs 30000 , kuonana uso kwa uso Tshs 40000

Kwa wapenzi wa kusoma vitabu unaweza kupata nakala zangu orodha ipo chini ๐Ÿ‘‡

Kupata kitabu cha
1.JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI - (Softcopy Tsh 30000)
2.UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU (Softcopy)
3.FIKRA ZAKO FURAHA YAKO (softcopy)
4.TIBA YA MSONGO WA MAWAZO (by & Softcopy)
5.MALEZI YA UBONGO KISAYANSI( hardcopy & softcopy)
6.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA (Hardcopy & softcopy)
7.MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE (hardcopy &softcopy)
8.BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO
BEI Kitabu kimoja softcopy 5000 isipokuwa kitabu namba 1 bei yake ni Tsh 30000, hardcopy moja 10000

Mawasiliano
+255766862579
+255622414991

Imeandikwa na Psychologist
Said Kasege
Temeke,Dar es salaam

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA

SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA
Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji msaada wa kifedha,anahitaji faraja baada ya kupitia huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza ni kwamba kuna sifa upo nazo zenye kumvutia mwenza wako.

Kwa asili Mwanamke huwa mwenye sifa za huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu,upole,kusaidia sana,kujitoa mhanga kumfariji, kumliwaza mtoto lakini mwanaume huwa hana sifa hizo.

mwanaume akiona mtoto analia,amesusa chakula,anasugua kisigino sakafuni,anajirusharusha kwa ghadhabu- mwanaume huwa anakuwa mkali kupitiliza kukemea tabia hizo kwa mtoto kisha anamsukumiza mtoto kwa mama yake ili mama yake aanze...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sababu-zenye-kufanya-mwenza-wako-anakutafuta-akiwa-na-matatizo-tu-kisha-anakuacha-ghafla-baada-ya-ku

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sababu-zenye-kufanya-mwenza-wako-anakutafuta-akiwa-na-matatizo-tu-kisha-anakuacha-ghafla-baada-ya-ku
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

1.1K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53

905
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

644
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

165
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

124
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

103
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

7

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.43K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.7K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.69K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.64K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikaseโ€‹ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest