Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ1
Gonga94 ยท Stories

SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ1

wakati najiandaa kwenda sokoni nikiwa chumbani nabadili nguo nilikuwa sijajua kama mlango wa chumbani kwangu ulikuwa umejifungua

Nilikuwa na pich tuu nilivua zote siunajua tena mtu ukiwa chumbani kwako unakuwa huru

Navile ninakaumbo furani hivii kauchokozi chch konzi kijishpu mashallah

Nilikuwa nimeu mbika kiukweli na karangi mungu kanijalia

Kumbe wakati nabadili nguo nilikuwa nimejisahau mlango nilijua nimeubana kumbe sikuwa nimeubana

Wakati huo shemeji alikuwa anatoka chumbani kwake anaenda sebreni alipita mlangoni kwangu aligeuka na kunitizama

Alivutiwa sana na mimi hivyo alijikuta anaganda karibu na mlango

Nilikuwa nimempa mgongo hivyo sikujua kama kunamtu alikuwa ananitizama

Nilipo geuka niliona kama kunamtu kapita lakini nilihisi ni shemeji maana alikuwa yeye na Valentino na Valentino wangu alikuwa anajisomea chumbani kwake

Shemeji alipoona nimegeuka na vile nilisha muona aliamua kwenda sebreni

Na kujifanya kama hakuna kitu kilichotokea yaani ni kama hakuwa ameona kitu kabisaa

Nilipomaliza kuvaa tuu nikatoka na kupita sebreni nilivaa kigauni changu cha mpila kifupi kinacho nichonga shepyangu nilipomuona shemeji nilimsalimia kisha niliondoka

Alinitizama sana ila sikumuelewa kwanini kwani huwa sina mazoea nae kifupi huwa namuogopa na kumuheshimu yeye ni mkubwa kidogo

Nilienda kufanya manunuzi ya vitu vya jikoni kisha nililudi na kuanza kuvipanga kwenye frig

Dadaangu wakati huwo hayupo nyumbani yeye nimfanya biashara mara nyingi huwa anasafili kibiashara

Na hupenda kunikabizi majukumu yoote ya nyumbani pamoja nakuwa namajukumu ya nyumba pia nafanya kazi za ofisini

Nilimaliza kupanga vitu kwenye frij na kisha kuweka kwenye makontena nafaka nilihakikisha kila kitu kipo mahali pake ndipo nilielekea chumbani kwangu

Wakati mimi nipo chumbani shemeji aliinuka na kutoka nje

Nilibadili nguo tena huwa napenda kushinda na dera nyumbani huwa najiona na kuwa huru sibanwi banwi nilipo maliza nilitoka na kuelekea jikoni

Nikiwa napika nilisikia simu yangu inaita nikaichukua na kuitazama alikuwa dada nikaipokea

Niliitikia haloo dada

Alijibu haloo hujambo

Nilijibu sijambo sijui wewe huko

Alijibu mimi sijambo kabisa vipi wazima wote

Nilimjibu wote huku tuwazima kabisaa

Aliniuliza vipi shemeji yako yupo nyumbani

Nilimjibu hata sijui nilipotoka sokoni nilimuona sebreni mimi baada ya kumaliza kupanga vitu jikoni nilienda zangu chumbani

Nakuja kutoka sijamuona sijui atakuwa chumbani kwake au nje sijui au mpigie kwenye simu yake

Alijibu ok usijali nitamtafuta Valentino je

Nilimjibu alikuwa chumbani kwakenilikuwa namalizia kupika ili nikamuamshe aje kula

Dada akaniambia basi sawa ila leo si utakuwepo tuu nyumbni

Nilimjibu leo siondoki nisiku yangu yamapumziko hivyo nitakuwepo tuu nyumbani dada

dada alijibu vizuri haya nitakupigia baadae sawa

Nilimjibu ok sawa kisha tulikata sim

Nilimalizia kupika chakula na kwenda chumbani kwa mtoto wa dada alikuwa kakaa kwenye meza yake anajisomea

Nilipoingia nilimwambia hakika wewe ni msomi haswaa hujaoga umeamkia vitabu tuu mwanangu

Alinisalimia na kisha alijibu mamdogo leo naenda kwenye dibeit hivyo najiandaa nikifika hapo niwe na poit kibao

Kisha tulicheka kwa pamoja nikamuambia nakuaminia wewe utawanyoosha wewe ndio kiboko yao

Alicheka na kisha akanikumbatia na kuniambia asante mamdogo

Nilimjibu karibu kipenzi changu alafu nikamuambia nenda uoge kisha uje nimepika kitu kitamu sana unachopendaga

Alifurahi na kuniambia ndio maana nakupendaga sana unanijulia mamdogo haya naenda bafuni sasa nakuja sio muda

Nilitabasam na kisha niliondoka na yeye alikuwa tayari kaenda bafuni kwake

Baada ya muda nikiwa chumbani kwangu nilimsikia Valentino akiniita mamdogo nipo tayari sasa

Niliinuka na kwenda kumuandalia chakula huwa anapenda sana makange ya nyama ya ng'ombe na ndizi za kukaanga

Alipoona alifurahi sana na kukaa kuanza kula nilimuacha na kwenda kumalizia kazi zangu jikoni

Nilikuwa nasafisha vyombo na kupanga panga vitu sawa

Nilimaliza kila kitu nikaenda zangu chumbani kwangu kuweka sawa maana muda ulikuwa umeenda

Wakati niko chumbani mara nilisikia gari inaingia kwenye geti nikachungulia niliona ilikuwa nigari ya shemeji

Hivyo niliona nitoke ilinikampokee nilienda hadi mpaka nje nikampokea mfuko huku nikimsalimia

Shemeji aliitikia na kisha aliingia ndani alielekea chumbani kwake

Nikauweka ule mfuko alikuwa kaleta maziwa yaani yogati kisha nilielekea sebreni sikumuona nikamuita Valentino na kumuagiza

Nenda chumbani kwa baba umuulize kuwa nimuandalie chakula atakula

Valentino alienda na kisha aliludi na kuniambia kasema muandalie kwani ananjaa sana

Nilimuitikia sawa kisha nilienda jikoni kuanza kuandaa chakula cha shemeji

Valentino alitoka na kunikuta naandaa mezani chakula akaniambia kuwa yeye anaenda kwenye dibeit atarudi baadae

Nilimuambia ok sawa mwambie tuu dereva atakupeleka kipenzi changu

Aliondoka Valentino nikabaki mimi na shemeji ndani wawili tu nyieeeee๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Itaendeleaaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ1

SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ1

wakati najiandaa kwenda sokoni nikiwa chumbani nabadili nguo nilikuwa sijajua kama mlango wa chumbani kwangu ulikuwa umejifungua

Nilikuwa na pich tuu nilivua zote siunajua tena mtu ukiwa chumbani kwako unakuwa huru

Navile ninakaumbo furani hivii kauchokozi chch konzi kijishpu mashallah

Nilikuwa nimeu mbika kiukweli na karangi mungu kanijalia

Kumbe wakati nabadili nguo nilikuwa nimejisahau mlango nilijua nimeubana kumbe sikuwa nimeubana

Wakati huo shemeji alikuwa anatoka chumbani kwake anaenda sebreni alipita mlangoni kwangu aligeuka na kunitizama

Alivutiwa sana na mimi hivyo alijikuta anaganda karibu na mlango

Nilikuwa nimempa mgongo hivyo sikujua kama kunamtu alikuwa ananitizama

Nilipo geuka niliona kama kunamtu kapita...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shemu-wangu-mtamuu-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shemu-wangu-mtamuu
SHEMU WANGU MTAMUU ๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ5
SHEMU WANGU MTAMUU ๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ5
*SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ* *SEHEMU YA 14~16* Katikati ya usiku shemeji alitaka mambo nikiwa nimelala alianza na kuzinyonya
*SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ* *SEHEMU YA 14~16* Katikati ya usiku shemeji alitaka mambo nikiwa nimelala alianza na kuzinyonya
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ8  Shem Alex alipoingi
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ8 Shem Alex alipoingi
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ2
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ2
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ3
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ3
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ07
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ07
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ4
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ4
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ6
SHEMU WANGU MTAMUU๐Ÿซฆ๐Ÿ”ฅ6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

913
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

889
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58

714
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61

702
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

392
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

197
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55

SHAMIRA Sehemu ya 54&55

164
SHAMIRA 49 to 50

SHAMIRA 49 to 50

139
SHAMIRA Sehemu ya 51

SHAMIRA Sehemu ya 51

133
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6

132

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.73K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.45K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.92K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.87K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.71K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.71K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.65K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mrembo๐Ÿ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest