SHEMU WANGU MTAMUU🫦🔥8 Shem Alex alipoingi
Aliita kwa wasiwasi ndipo dada aliitikia nipo chooni kisha alitoka na kumuuliza
Vipi umeogopa ulijua nimeenda wapi kwani
Mimi pia nilipoamka nilijiuliza umeenda wapi ila nilijua tuu umeenda kunywa maji duh nilipumua baada ya kusikia hivo lakini mmmhhh itabidi tuwe makini humu ndani..
Basi ilibidi nielekee chooni maana nilibanwa na mkojo wa ghafla
Shem alivuta pumzi baada ya dada kumwambia vile kisha akamshika mkono dada na kumkumbatia akamuambia uliniogopesha kweli haya tulale
Walipanda kitandani wakalala dada alihisi kumuhitaji shemeji kwa muda huo hivyo alianza kumuandaa lakini it's too late tyr nishakula chakula chake haikuwa na nguvu tena..
Shem Alex alikuwa hoi hivyo alimwambia dada usihofu mke wangu nitakupa asubuhi kwasasa tupumzike ninauchovu sana siunajua jana nimepiga sana kazi ofisini
Dada alimuelewa akamjibu ok sawa walilala hadi palipokucha asubuhi
Dada Alipokuja jikoni alinikuta tayari nimesha andaa chai na naenda kuiandaa mezani
Akabaki kushangaa tuu
Nilimsalimia kisha nikamuambia nimeona nikusaidie dada unachoka sana ujue
Alijibu asante ila usijali lakini kilakitu kimesha andaliwa sio
Nilimjibu ndio tayari wewe muite tuu shemeji na Valentino
Dada aliondoka kisha nilitabasam kwa mbali nikisema leo nimekuwahi lazima Shem ale chakula nilichokipika mimi sio wewe..
Baada ya muda niliwaona wanatoka wote dada akiwa anajidekesha kamuegemea shemeji begani kwake mxiiuu nilichukia
Nilijikuta naona wivu huwezi amini niliumia sana kisha nilitoka haraka kwenda washing room nikafunguria maji kwenye sink huku nikijituliza na kujiambia
Tulia sasha tulia hutakiwi kuwa hivi hapana hapana tulizana
Nilijituliza kisha nilitoka nikavaa kujiandaa kabisa maana nilipokuwa naandaa chai sikuwa nimevaa nguo za kwendea kazini nilikuwa na nguo ya kulalia tuu
Nlimaliza nikatoka kwenda mezani dada akaniuliza vipi mbona uliondoka vile mbio hadi tuliogopa
Nilijibu nilikumbuka kunakazi zangu za kazini hivyo napaswa kuwahi kwenda ndio nikaenda kuvaa haraka
Shemeji Alex akaniambia kaa kwanza ule nitakuwahisha sawa
Nilijibu msijali kuleni tuu mimi niacheni niwahi kuweni na amani tuu jamani
Valentino alinishika mkono na kuniambia basi mamdogo utakula huko ofisini kwako sasa
Nilimjibu asante mwanangu nilichukuwa soseji mbili na chapati moja kisha niliweka na yai la kukaanga nikaondoka
Niliondoka nika waacha lakini shemeji alikuwa hajapenda hivyo hakuonyesha ila alichukia kwanini nimeondoka hivyo
Alikaa na kuanza kupata kifungua kinywa kisha walipo maliza Alex alimchukua Valentino na kuingia kwenye gali kuondoka
Namimi nilikuwa tayari nimefika kazini nipo bize na shuguri zangu
Shem alimshusha Valentino shuleni kisha alikuja moja kwa moja ofisini kwangu akapaki gari na kuja hadi ofisini
Alikuja kunishika mkono na kunivuta alinitoa hadi alipopaki gari
Akaniambia mbona umekuwa hivi kwanini lakini
Nilimjibu nashindwa kujizuia nashindwa kujizuia Alex nikamfuata na kumkumbatia huku nalia
Alex alikuja na hasira lakini alijikuta anaishiwa pozi akanikumbatia tuu huku akinituliza basi basii najua wewe bado nimdogo ninakupa majaribu sana
Nilimjibu nasikia wivu sana hadi nashindwa kujizuia kwani nakpnda sana mwenzio Alex
Shemeji Alex alinionea huruma na kuniambia ok basi sawa jitulize kwanza acha kulia tulia na omba tuongee baadae tukitoka kazini sawa
Nilimjibu sawa ila sitamani kuwa karibu tena na dada kukuona upo nae naumia mno
Shemeji alinijibu basi basii tulia kwanza niachie mimi hilo nalifikilia sawa
Nilimjibu ok sawa
Kisha Alex alinishika usoni na kuni😘 huku akiniambia machozi yako yana thamani sana kwangu usiyaangushe hivii sawa mamy
Nilimjibu sawa
Kisha akaniafuta vizuri na henka chifu yake na kuniruhusu niludi ofisini nilipokuwa naenda ofisini aliniambia nakpnda sana
Nilimjibu nakupenda pia
Kisha niliingia ofisini kwangu naye aliondoka zake ofisini kwake
Tulifanya kazi hadi muda wa kutoka ulipofika Alex kama kawaida yake alikuja na kunichukua tulienda sehem ya ufukweni ndio sehem kuu yetu ya kufanyia mazungumzo
Hatukutaka kukutana na watu wanaotujua au wanao mjua dada ndio maana tulipenda kwenda ufukweni sehemu ya pekeetu
Tulishuka kwenye gari na kusongea karibu na maji Alex alinivuta mkono na kuniweka kif wani kwake kisha aliniambia
Sasha unataka nifanye nini ili uwe na amani niambie nitafanya chochote kile unataka
Nilimjibu kiukweli Alex mimi nataka kuwa acha na nyumba yenu nikae mbali kabisa sitaki kutafuta matatizo maana nakosa uvumilivu hata kidogo
Shem Alex alijibu nikutafutie nyumba
Nilimjibu ndio nitafutie nyumba siwezi mimi Alex
Alex aliniambia usijali limeisha hilo nitafanya hivyo weekend ijayo sawa
Nilimjibu sawa asante
Aliniambia hujui tuu unapokuwa huna raha naokosa raha marangapi mimi yaani naumia mnoo sasha
Aliendelea kuniambia sitaki uumie hata kidogo niambie chochote mimi nitafanya kwaajili yako tuu kwani nakupenda sana
Nilimkumbatia na kumuambia hakika kikubwa nakutaka wewetuu na kukupata uwe wangu pekeangu ningumu sana sijui nitafanyaje
Basi nikakae mbali na dada ili nisije nikasababisha hatari
Nakupenda sana kuliko unavyofikilia naumia muda mwingine najutia kuonja pnz hili maana limeniingiza kwenye mateso sasa namuonea wivu dadaangu mwenye mali yake halali
Shemeji Alex alinishika kichwa na kukiinua kisha akaniambia hunakosa mimi ndio nastahili kulaumiwa kwani nimekpnda sana
Na sio mimi nimoyo moyo ukipenda unapenda hauchagui wapi pakutua popote tuu iwe porini au mjini
Iwe kwa mkubwa au mtoto mapnz hayaeleweki wala hayachagui
Wewe amini tayari nimesha tua kwako nawewe umenipokea tujue tutalienzi vipi hili pnz
Nilimjibu sawa basi hembu tuludi nyumbani sasa maana sitaki dada ashitukie chochote
Shem alijibu hakika mpnz wangu tulinaniliu kidogo pale na kisha tulishikana mikono na kuingia ndani ya gari tayari kwa kuondoka
Tuliianza safari ya kurudi nyumbani baada ya muda mfupi tulifika nyumbani kisha tulishuka
Tukawa tunaingia ndani alikuja dada na kumpokea shemeji alimkumbatia kisha akampokea begi lake
Nilimsalimia na kwenda moja kwa moja chumbani kwangu nikaingia na kuvua nguo kisha nilienda bafuni kuoga
Dada alimpokea shemeji na kwenda chumbani kwao
Nikiwa chumbani kwangu navaa nguo ghafla nilisikia sauti za kufokeana chumbani kwa dada na shemeji 😳😳mungu wangu kimenuka...
Itaendeleaaaaaa
Full 1000
WhatsApp 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi





Maoni