Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
20 views
VYOTE NDANI GONGA94
Historia ya MV Bukoba Meli ya MV Bukoba ilizinduliwa mwaka 1979 na Baba wa Taifa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Historia ya MV Bukoba
Meli ya MV Bukoba ilizinduliwa mwaka 1979 na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ilijengwa na kampuni ya Kibelgiji, ikiwa mojawapo ya vyombo vikubwa vya usafiri majini vilivyokuwa vikihudumu katika Ziwa Victoria.
Hata hivyo, tangu ilipoanza kazi, kulikuwepo na madai kuwa meli hiyo ilikuwa na tatizo la uwiano, jambo lililoweza kuchangia ajali yake baadaye.??
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI
Sheila alikuwa binti aliyefanikiwa sana jijini. Alikuwa na kampuni ya uagizaji wa vipodozi na alikuwa akiishi maisha ya...
Historia ya MV Bukoba Meli ya MV Bukoba ilizinduliwa mwaka 1979 na Baba wa Taifa
Historia ya MV Bukoba
Meli ya MV Bukoba ilizinduliwa mwaka 1979 na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ilijengwa na kampuni ya Kibelgiji, ikiwa mojawapo ya vyombo vikubwa vya usafiri majini vilivyokuwa vikihudumu katika Ziwa Victoria.
Hata hivyo, tangu ilipoanza kazi, kulikuwepo na madai kuwa meli hiyo ilikuwa na tatizo la uwiano, jambo lililoweza kuchangia ajali yake baadaye.??
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/historia-ya-mv-bukoba-meli-ya-mv-bukoba-ilizinduliwa-mwaka-1979-na-baba-wa-taifa
Maoni