JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA Nilikula chakula cha usiku nilipomaliza nikaaga
Nilikaa kitandani na kuanza kuvua nguo ili nikaoge nitoe uchovu ndio nilale,wakati navua nguo nilishangaa mlango wangu ukigongwa taratibu,nilibaki najiuliza nani anagonga mlango lakini sikuwa na majibu,ilinibidi niamke taratibu nikafungue mlango nijue nani anagonga.
SONGA NAYO
Nilifungua mlango taratibu ili niangalie nani alikuwa anagonga,macho yangu yalikutana na mjomba akiwa ameshika dawa ya meno, mswaki na mazaga zaga mengine.Nilivipokea kisha nikarudi ndani ili nikalale.Sikukaa sana kitandani usingizi ulinichukua
Nilikuja kushtuka ni asubuhi ya saa mbili tena nilikuja kuamshwa na mfanyakazi wa ndani,niliinuka kitandani na kuchukua mswaki wangu ili nikaswaki ndo nikanywe chai,
nilipomaliza nikaenda mpaka sebuleni lakini nilishangaa kuona nyumba ikiwa kimya namna hile.
Nikaamua kumuita dada wa ndani na kumuuliza watu wameenda wapi
"Et sister mbona ndani kimya sana?"niliuliza
"baba na mama wameenda kazini,prisca na patricia nao wameenda shule"alijibu yule dada
Wakati wote namuuliza yale maswali nilikuwa namuangalia juu mpaka chini kwani alikuwa mamevaa khanga moja iliyofanya maungo yake yaonekane.Kwa jinsi alivyonona nilitamani kumrukia lakini nilikuwa naogopa kwani ndo kwanza nilikuwa na siku ya pili pale ndani.
Nilimshinda shetani kwani sikumfanya chochote yule dada ila aliniweka kwenye hali mbaya,nilienda mezani kupata kifungua kinywa huku nikimuacha yeye akiendelea kufanya usafi,nilikunywa chai huku nikimuangalia kwa jicho la wizi wizi.
Nilimaliza kunywa chai nikaenda kukaa kwenye sofa ili niangalie tv,yule dada wa kazi alikuwa anajipitisha huku na kule bila kujua kama alikuwa ananiumiza mwenzake japo nilikuwa sijawai kufanya huo mchezo lakini nilishapata story zake.
Yule dada alipomaliza kufanya usafi akaja mpaka pale kwenye sofa la jirani ili aangalie tv,lakini kwa muda huo alikuwa ameshabadili nguo na kuvaa suruali iliyomchora vizuri maungo yake.Tulikaa kama dakika tano bila story yoyote mpaka pale alipoamua kuanzisha
"Kaka thom"aliita kifupi
"Naam"niliitika
"Tanga unatokea sehemu gani?"aliniuliza
"natokea kijiji cha Kwasunga wilaya ya korogwe"nilijibu
"Mh sawa"alisema
"Ila wewe sijakujua jina lako mjomba alisahau kulitaja"nilisema
"Mimi naitwa Suzy"alijibu
Tuliendelea kupiga story na Suzy mpaka muda wa kuandaa chakula cha mchana ulipofika,Suzy alisimama na kuelekea jikoni kuandaa chakula,wakati anasimama niliweza kumuona vizuri kwa nyuma nilishangaa kumuona house girl akiwa mzuri vile.
Ilipofika saa nane chakula kilikuwa tayari kimeshawekwa mezani,niliinuka na kwenda kula chakula,mezani tulikuwa wawili tu mimi na dada wa kazi.Tulikuwa tunakula chakula huku kila mtu akiwa kimya,wakati tunaendelea kula chakula mlango ulifunguliwa na walikuwa binamu zangu wanatoka shule
Mdogo alinisalimia kisha akaja kukaa na sisi mezani wakati mkubwa alisalimia na kuelekea chumbani,nilikuwa najiuliza mbona huyu bianamu yangu mdogo yupo tofauti na mwenzake kwani hakuwa na pozi sana japo alikuwa anapenda sana kudeka.
Tulipomaliza kula mimi nikaelekea chumbani kwangu kujipumzisha kwani nilichoka kuangalia tv pale sebuleni,niliingia chumbani na kujikuta usingizi umenipitia bila hata kujijua.Nilikuja kushtuka baada ya kusikia mlango wangu ukigongwa na nilikuwa sijui nani anagonga
Nilienda kufungua mlango huku nikiwa bado nina uchovu,nilipofungua mlango nikakutana na binamu yangu mdogo akiwa amejitupia vya kutosha yani kapendeza
"Mambo kaka Thom"alinisalimia
"Poa niambie"nilimjibu
"Nimekufata japo tukatembee ili uzoee mazingira"aliniambia
"sawa ngoja nijiandae"nilimuambia
Nilirudi ndani na kuangalia kwenye begi kama naweza pata nguo ya kutoka japo nikazulule nje,nikachukua nguo niliyoiona inafaa kidogo na kuivaa kisha nikanawa uso ili kutoa uchovu wa kulala.
Nillipomaliza nilitoka nje na kumkuta binamu yangu mdogo akiwa ananisubiri,nilimuuliza kuhusu mwenzake yupo wapi
"Kasema hajisikii kwenda kutembea nje"alinijibu
"poa tunaweza kwenda"nilimuambia
Tulitoka nje ya geti na kuanza kunionyesha mazingira ya pale baruti,muda wote huo mjomba na shangazi walikuwa bado hawajarudi.Alipomaliza kunionyesha mazingira ya pale baruti tukarudi nyumbani
Sebuleni tulimkuta binamu yangu mkubwa amekaa kwenye sofa kajiachia huku mapaja yake yakiwa nje,nilijitahidi kukwepesha macho lakini hata sikuweza kwani macho yangu yalikuwa yanatamani kuyaangalia yale mapaja jinsi yalivyokuwa malaini.
"mhhh hata kama uzungu huu umezidi"nilijisemea mwenyewe
Nilikaa pale sebuleni huku nikiwa naangalia tv,mida ya saa moja mjomba na shangazi walirudi kutoka kazini,walitusalimia kisha wao wakaelekea chumbani na kutuacha pale sebuleni tunaangalia tv.
Muda wa chakula cha usiku ulipofika wote tulikaa mezani kwa ajili ya chakula,mjomba alianzisha mazungumzo
"Prisca naomba kesho muende na kaka kumfanyia shopping ya nguo sababu kesho ni juma mosi"mjomba alisema
"Sawa baba"prisca alijibu
Shangazi na mjomba walipomaliza kula wakaelekea chumbani kulala,sebuleni tulibaki mimi na binamu zangu wakati huo dada wa kazi alikuwa chumbani kwake,binamu zangu waliniaga wanaenda kulala kwahiyo sebuleni nilibaki mimi peke yangu
Baada ya dakika kadhaa tangu binamu zangu waende kulala nilimuona dada wa kazi akitoka chumbani kwake akielekea bafuni,alikuwa amevaa khanga moja huku akitembea kwa mwendo wa kutikisa makalio ghafla ile khanga aliyovaa ikamdondoka nami nikasimama kuelekea kule alipokuwepo.
CHOMBEZO-
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni