Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
112 views
VYOTE NDANI GONGA94
Kanuni za soka la mtaani enzi zile:
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
1. Hakukuwa na refa.
2. Mchezo unaisha pale wachezaji wanapochoka au wakati wa adhana ya Magharibi.
3. Mmiliki wa mpira akikasirika, anauchukua mpira, mchezo unaisha 😁
4. Kipa anaweza kubadilishwa hata wakati wa penati 😆
5. Mmiliki wa mpira huchezea timu kali zaidi 😝
Hakuna kuvaa viatu ukiwa mkubwa utasikia we mkubwa huchezi ongeza lako kwenye comment
Salamu kwa wote waliowahi kuishi kumbukumbu hizi nzuri ❤️
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu...
Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Kanuni za soka la mtaani enzi zile:
1. Hakukuwa na refa.
2. Mchezo unaisha pale wachezaji wanapochoka au wakati wa adhana ya Magharibi.
3. Mmiliki wa mpira akikasirika, anauchukua mpira, mchezo unaisha 😁
4. Kipa anaweza kubadilishwa hata wakati wa penati 😆
5. Mmiliki wa mpira huchezea timu kali zaidi 😝
Hakuna kuvaa viatu ukiwa mkubwa utasikia we mkubwa huchezi ongeza lako kwenye comment
Salamu kwa wote waliowahi kuishi kumbukumbu hizi nzuri ❤️
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kanuni-za-soka-la-mtaani-enzi-zile
Maoni