Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

‎KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA  ‎Episode 25
Gonga94 · Stories

‎KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA ‎Episode 25

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


‎Basi baada ya kutaka kuingia ndani nilikutaka na kelvin siyo kulutana naye tu nilikutana naye kanitolea macho kama fundi saa aliyepoteza nati muda huo tayari nimeshajilia vya kujilia sasa mwepesi kama karatasi ...
‎" ulikuwa wapi lucy?
‎" nilikuwa nje kwani vipi?
‎" nilikwamhia nini?
‎" kuhusu nini tena mbona kama unaniendesha hivo?
‎" nachojali ni maisha yako shemeji"
‎" hebi we kaa kimya maisha gani ? Kuhusu nini? Shemeji kwanani? Kwa marehemu au ? Aliyekufa kafa ....

‎Nilikuwa nimeshaanza kuona kama anaanza kunichoreshea maisha sasa ngoja kidogo ajuwe kuwa mimi ni chizi mi kila siku namuomnba hataki katokea mtu ambaye matawi anayotua na mimi natua kwanini Nisiruke naye ?
‎" unamjua kaka yule uliyefanya naye hako kamchezo?
‎," hapana simjuwi kasema anakaaa nyumba ya jirani hapa
‎" hapa! Mmmmh hapana hapa anayekaa yupo nje ya nchi na ni mzungu sasa huyu sio wa hapa "

‎NIlishtuka sana na akanambia niingie ndani huyu jamaa ni mpelezi.niliogopa mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua tayari nimeyakanyaga rasmi na sasa hakuna jinsi zaidi ya kukubali kuwa ujinga wangu ndio umeniponza....

‎Nilitulia ndani yeye akiwa anatoka nje kwenye kutazama tazma mazingira kama yako sawa nilitulia tuli huku natetemeka sana.Uoga umenishika mpaka kucha zinatetemeka mmmmmh yaani sio powa ........

‎Mara ghafla zikasikika sauti ya vin'gora vya polisi eneo ambalo tulilokuwa tunaishi zilionekana gari nyingi sana eneo la tukio nilijawa na mawazo sana nikajua kutokana na uzembe wangu sasa naenda jela kuja kuchungulia dirisha la pili yule jamaa ambaye alijifanya anafanya kazi za maua ....kumbe ni askari mpelelezi na mission yake ilikuwa ni kunitafuta mimi na sasa kanipata na kajua napo ishi .....

‎Basi waliizunguka nyumba haraka lakini nilishtuka baada ya kuona kelvin hayupo na nyumbani kanisusia . Kumbe lelvin baada ya kuona kwamba siwezi kuwa msaada kwake kwa tabia yangu ya umalaya sasa hakuwa na muda tena na mimi aliamua achore yaani akimbie alijuwa wote tutaenda jela


‎Mimi kwa kosa la kuwatorosha wafungwa wawili na yeye kunitorosha mimi na kunihifadhi kwa makusudi.pia kwa kuua askari wengi sana kutokana na kutaka kunikomboa mimi aliacha barua chini ya meza
‎" pambana ujiokoe lucy mimi nimeshindwa kutokana na tabia zako nenda kaoze jela byeeee"

‎Nilianza kulia huko nje polisi wanataka nitoke nje mwenyewe niliona sasa hakuna namna hakuna mtu wa kunisaidia nilipiga hatua mikono ipo kichwani kwangu sina namna nishajikatia tamaa na sina uamuzi mwingine . Kweli nilikamatwa na kupelekwa mahakamani

‎Huko nikahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa makosa ya uhaini mpaka navoongia hivi niko jela naomba wanawake wenzangu muyaache haya mtaishi vizuri mwenye masikio amesikia mwenye macho ameona .jifunze vitu hivi

‎1. UREMBO WAKO HAUPASWI KUWA TIKETI YA KUTUMIKA

‎Wanawake wengi huamini kuwa urembo ni silaha ya kupata mapenzi au hata pesa pia , lakini kwa baadhi ya wanaume hususani matajiri na wenye mali nyingi huwa tumia wanawake kama chombo cha starehe na wanawake tumekubali hilo ndio maana tuko tayari kufanya chochote ilimradi tu tupata tunachotaka mwisho wa siku tunaishia kudhalilika hamuoni connection mitandao au mambo mengine ambayo wanawake wanayafanya na kujidhalilisha wenyewe tuishi kwenye misimamo , urembo si fursa ya kujidhalilisha tubadilike ......

‎2. Pesa kwa sasa ndio fimbo inayotumika kwa wanaume wengi kutuadhibu .....

‎Mimi ni lucy lakini kuna lucy wengi sana nchi hii ambao tunawaona mitandaoni mara oh sijuwi nauza nini sijuwi nafanya nini .wengine wanaanika picha zao za utupu mitandao yaani kukaa uchi kwao ni ajila thamani ya mwanamke sasa haipo yaani tunaonekana ni wadhaifu sana hususani linapokuja suala la pesa tuko tayari kufanya chochote kile tuzipate nipo jela ila nimeyashuhudia mengi mwisho wa umalaya ni aibu,magonjwa na hata kifo na kupotezea wale watu muhimu kwenye maisha yetu


‎3. USIKUBALI MAPENZI KWA KUHURUMIWA AU KUSAIDIWA

‎Mwanaume akikutendea jambo zuri au kukusaidia, haitakiwi iwe sababu ya kumlipa kwa mapenzi. Wanawake wengi huingia kwenye uhusiano kwa kulazimishwa na hisia za shukrani. Hilo ni kosa kubwa – usitoe moyo wako kama zawadi kwa mtu aliyekupa msaada wa muda. Na hiki huwakuta wengi penda kujiheshimu na kutunza utu wako sio kila mtu lazima uweke nguo zako za ndani pembeni jiheshimu

‎KWAKO WEWE MWANAUME ...🥺🥺🥺

‎4. Siyo Mwanamke Kila Anayekuja Maishani Mwako Anakupenda Wengi Wanakutumia

‎Wanaume wengi huingia kwenye mahusiano wakiamini wanapendwa, lakini ukweli ni kwamba baadhi ya wanawake huingia kwenye maisha yako kwa sababu una pesa, umaarufu, au vitu vya thamani. Wanajifanya kukujali, lakini wanatazama fursa wanayoweza kupata. Ukikosa hizo "fursa", wanageuka ghafla na kukuacha.Na kibaya zaidi wanaume wengi wamejikuta wakinasa kwenye huo mtego wa wanawake na kutumia pesa nyingi na mwanamke ambaye mwenyeqe ukimuona hana future yoyote na wewe unashindwa hata kusaidia familia yako na hata wadogo zako
‎👉 Jiulize kila wakati: kama singekuwa navyo, huyu angekuwepo kweli?


‎5 Usimwonyeshe Mwanamke Kila Kitu Ulichonacho –Mwanamke Anapaswa Kuaminiwa Kwa Majaribio, Siyo Mapenzi ya Ghafula

‎Wanaume wengi wanapopata mwanamke mrembo, hujisahau na kufungua kila milango ya mali zao, faragha, hata mipango yao ya mbele. Hii ni hatari, kwani mwanamke ambaye hajathibitishwa kwa vitendo, hawezi kuaminiwa kwa maneno matamu tu.Na huwa kuta watu wengi sana hujikuta wanaangukia pua na kujikuta kila kitu hakiendi wakahisi wamelogwa kumbe ni aina ya watu wanaowashirikisha mambo yao ni sawa na wewe kupanga tofali za msingi wa nyumba mwingine anaondoa j hapo nyumba haiwezi kukamilika ......
‎👉 Mwanamke mwenye nia njema atakupenda hata kama hujamwonyesha kila kitu ila mwenye tamaa ataanza kuhesabu unavyomiliki.


‎6. Usiwahi Kuwekeza Hisia Kubwa Kwa Mtu Ambaye Hajawekeza Japo Chembe Ya Ukweli Kwako

‎Mapenzi ya upande mmoja ni chanzo cha maumivu makubwa kwa wanaume wengi. Unampenda, unamjali, unamtumikia lakini yeye hayuko tayari hata kubeba nusu ya uzito wa mapenzi hayo. na kingine wanaume kuwa na wanawake wengi sio sifa au umaarufu zaidi zaidi ni mzigo au mateso tu leo huku kesho kule mnajizolea magonjwa yasiyo na maana kitanda sio maisha maisha nikupambana unakuta mvuvi anakesha siku nzima baharini au ziwani lakini hela zote anahonga mchimba madini ,daktari,mwalimu nk maisha sio kitanda tu usikubali kuwa dhaifu kwa kiumbe anayeitwa mwanaume wakunielewa kanielewa

‎"Asante sana mwandishi kelvin mlowe kwa kuiandika hadithi yangu na kuwapa hadhira natumaini kuna vingi wamejifunza, nakuombea kwa mungu akusimamie kwenye kazi yako ya uandishi unajitoa sana "

‎Haya yalikuwa ni maneno ya mwisho ya lucy kabla muda wetu wa mazungumzo haujaisha na sasa karudi tena mahabusu na hapa ndio mwisho wa hadithi hii nzuri natumai wengi mmejifunza asante kwa muda wenu kwa upendo wenu na kwa kila kitu hasa hasa support yenu

‎Naitwa kelvin mlowe ........

‎Hili ni onyo:
‎👉 Kama mwanamke haonyeshi juhudi wala kujali, usijilazimishe kumpenda. Mapenzi ni usawa sio mzigo upande mmoja.

‎XXXXXXXXX MWISHO XXXXXXXXXXXXXXXXX
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

‎KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA ‎Episode 25



‎Basi baada ya kutaka kuingia ndani nilikutaka na kelvin siyo kulutana naye tu nilikutana naye kanitolea macho kama fundi saa aliyepoteza nati muda huo tayari nimeshajilia vya kujilia sasa mwepesi kama karatasi ...
‎" ulikuwa wapi lucy?
‎" nilikuwa nje kwani vipi?
‎" nilikwamhia nini?
‎" kuhusu nini tena mbona kama unaniendesha hivo?
‎" nachojali ni maisha yako shemeji"
‎" hebi we kaa kimya maisha gani ? Kuhusu nini? Shemeji kwanani? Kwa marehemu au ? Aliyekufa kafa ....

‎Nilikuwa nimeshaanza kuona kama anaanza kunichoreshea maisha sasa ngoja kidogo ajuwe kuwa mimi ni chizi mi kila siku namuomnba hataki katokea mtu ambaye matawi anayotua na mimi natua...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kazi-ya-jela-ilinifanya-niwe-malaya-episode-25

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kazi-ya-jela-ilinifanya-niwe-malaya-episode
KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA  EPISODE 2 BASED ON TRUE STORY
KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA EPISODE 2 BASED ON TRUE STORY
KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA  EPISODE 5 📌 Based on True Story
KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA EPISODE 5 📌 Based on True Story
KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA  ‎EPISODE 7
KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA ‎EPISODE 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

598
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

509
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

476
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

324
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

241
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

92
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

81

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest