Safari ilikuwa ndefu kidogo ilichukua takribani dakika 30, mwishowe walifika kwenye jumba
moja la kifahan Deo alldimamisha pikipiki kisha akashuka na kumuamulu Prisca ashuke Walisomea karibu na geti la ile nyumba Deo
okabonyeza kengere. Baada ya sekunde mlinzi alifungua "Boss wako yupo? Deo aliuliza bila hata salamu "Una miadi nae?
Hapana.
Subiri kwanza alisema mlinzi na kutaka kufunga geti lakini Deo alizuia geti kwa mkono wake na kusukuma kisha wakaingia huku akiwa ameshika mkono Prisca.
"Vipi mbona unaleta ubabe?
Kijana tulla mimi mwenyewe huko kwenye maeneo yangu ya kujidai ni boss kwahiyo jiheshimu kama unavyomuheshimu boss wako. Deo aliendelea kuongea huku akienda kwenye
mlango wa kuingilla ndani
Kelele za nje zilimfanya Jimny atoke nje Alipofungua mlango alikutana na sura ya Prisca. Prisca
"Ndio ni yeye nimekuletea mke wako.
Prisca nini kinaendelea hapa? Prisca hakuwa na jibu alimuachia Deo aongee. Wewe kiume unaejua kuowa watoto wawatu
billa taarifa za wazazi sasa leo nimekuletea mke wako.
Prisca huyu ni nani?
Kaka Deo naomba unisikilize nikwambie kitu.
Nyamaza utaniambia nini wewe, mimi hapa
nilipo damu inachemka naweza kuchinja mtu hapa. Wewe utampokwa huyu karna mke wako au unataka nikakushitaki kwa kuowa
mwanafunzi tena kwaajili ya manufaa yako.
Jimmy aliona hali inaweza kuwa mbaya kwa upande wake na mambo yanaweza kuhanbika Ilimbidi akubali kumpokea Prisca. Ok, sawa atakaa hapa naomba achana
mambo ya kushitaki. Huyu ni mke wako wa ndoa kisheria.
Sawa
Na hili bado hajaisha unatakiwa kujipanga kwaajili ya ndoa ya kabisa ni yani kufa na kuzikana. Deo alimgeukia tena Prisca
Wewe tulia kwenye ndoa yako huyu ndio
mumeo chaguo lako
Kuishi kwa amani
Deo alimaliza kuongea kisha akaondoka.
Jimmy alimgeukia Prisca na kumuuliza
Hiki ni nini? Mimi na wewe tulishamalizana. "Kama ulivyoona kaka yangu ni mikali sana na anajua kila kitu kilichotokea jana. Kwahiyo?
Kwahiyo nini sasa?
"Unatakiwa kwenda kutafuta suluhu na ndugu
zako
Wewe mbona umeshindwa kutafuta suluruhu
alipokuwepo hapa?
Uliona alishika panga ningesema nini? Basi kama ukiogopa panga hata mimi naogopa
vile vile na hapa ndio nimefika.
Oooh my God! Alisema jimmy huku akishika
kichwa chake na Prisca ndio kwanza alienda
kukaa kwenye kochi akawa anaangalia TV.
Jimmy alikuwa hajatulia alihisi kuchanganyikiwa. alienda kuchukua simu yake akampigia Patrick na kumuelezea tukio zima lililotokea.
Baada ya dakika kadhaa Patrick alifika ΠΏΠ°
kuwakuta wamekas sebleni huku kila mmoja
akiwa na mawazo yake.
Vipi nini kinaendelea hapa ? Patrick alimuuliza
prisca
Huyu mmarekani wenu ndio alitaka mambo yaharibike asubuhi tulimaliza kila kitu na mambo
yanaenda sawa sasa yeye akaja na mambo ya
sherehe hayo ndio yaliyoponza nyumbani kwetu
wanajua kila kitu nimefukuzwa ndio maana nipo
hapa
Prisca umeshindwa kuongea na kaka yako
ukamuelewesha?
Patrick naweza kukutanisha nae ila mkae mkijikua anaweza kuharibu mipango mizima ya
ile ndoa.
Patrick alitulia kwa muda Baada ya muda
almsogelea Jimmy na kumshika begani
Kwasababu ya usalama wako unatakiwa
kukubaliana na hΓ£i
Jimmy alikubali kuishi nyumba moja na Prisca
alimpatia chumba cha kulala
Siku ya kwanza tu, Jimmy aliweka sheria kali.
Aliita Prisca sebuleni na kuanza kumwambia
sheria za kufuata
"Hebu kaa hapo."
Princa alikaa akawa anamuangalia kwa makini.
"Sikiliza, hapa siyo nyumbani kwako, Hapa
unapita tu Na sitaki mchanganyiko wa kihisia au hisia za
ovyo
Orusca alimuangalia na kuuliza.
Unamaana gani kusema hivyo?
Jimmy hakumfadanukia aliendelea kusema
"Kwanza, hakuna kulazimishana kuongea Kila
mtu awe na shughuli zake. Pili, hakuna kuulizana uko wapi, umetoka saa
ngapi, au urudi saa ngapi
"Tatu...hakutakuwa na uhusiano wowote
kimapenzi kati yetu. Umenielewa?
Nimekuelewa mmarekani mweusi kwani hata
mimi sina Shobo siku shobokei hata kidogo. Wate walinyamaza na kuangaliana kama chui na
paka
'Bado sijamaliza Jimmy aliinua kidole chake kama mwalimu, Sebuleni tutakaa wote
Chumba chako ni chako pekee yako, Ukimaliza
shughuli zako usizunguke zunguke bila sababu
Ukiona wageni wangu pitia mlango wa nyuma.
Hata kama itakuchukiza vumilia maana si mimi
niliyekuleta hapa.
Prisca alijibu kwa sauti ya chint
"Na mimi sikujileta.
Jimmy akacheka kwa dharau
"Sawa basi, tuelewane hivyo.
Jimmy aliondoka akamuacha Prisca akiwa
amekaa
Pumbavu kumbe huyu mwanaume ni jeuri klassi
hiki na hana hata huruma ila hata mimi
janiharibua akinileztea ujinga wake wa kimarekani na mimi nitakuonyeaha jeuri ya watanzania shubamit,
Siku zilienda maisha yalikuwa ya kimnya pake
ndani kila mtu alifanya mambo yake mwenyewe
hakuna aliemuuliza mwenzie.
Siku Prisca alipokuwa nyumbani, alikaa
chumbani kwake ajisomea, kuangalia TV au
kupika chakula kidogo kwajili yake. Hakuwahi
kumwambia Jimmy chochote, hata kama
chakula kolipokuwa mezani alikula pekee yake.
Jimmy kwa upande wake, aliendelea na maisha yake kama kawaida ya kifahari, raha, na
wanawake
Kila mara alikua akipiga simu
kimapenzi,
hakuona aibu Alisikika akiongea mbele ya
prisca
"Baby wangu, usiku wa leo niko available. Usilete rafiks kama yule wa jana, si mzuri kama wewe si
unajua mini napenda watoto wazuri.
Prisca alijisikia vibaya lakini hakutaka
kuonyesha alimkazia macho kwenye TV kama
vile hasiksi chochote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya
Siku moja Jimmy alirudi usiku wa manane akiwa
na wanawake wawill Walikuwa walicheka
cheka, wamevaa nguo za ajabu mmoja akiwa amemshika bega na mwingine amemkumbatia
walipofika sebuleni, alikuta Prisca amekaa kwenye kochi akitazama tamthilia Aliwaangalia
kisha akatingisha kichwa Jimmy alimuangalia Priaca kwa jicho la dharau,
"Hujalala bado? Unangoja nani?"
Prisca alijibu bila hasira wala woga:
"Inafikiri nilikuwa hakusubiri wewe?
Sasa ulikuwa unasubiriwa
nani?
Nilishakwambia fanya mambo yako mimi sia
mume wako.
Alafu Leo kuna wageni kwahiyo tupishe nenda chumbani kwako,
Prisca alinyanyuka polepole akapita kati yao bila hata kuwaangalia usoni. Allingia chumbani kwake akajifungia na kuzima taa
Ndani ya moyo wake, alihisi kitu kikimsokota
siyo sababu ya upendo, bali ni zile dharau za
mwisho kutoka kwa Jimmy hakujua kwanini
Jimmy anamfanyia vituko na kumdhalilisha
mbele ya wanawake zake
Asubuhi aliamka mapema na kwenda jikoni
akaandaa kikombe cha chai kisha akakaa
mezani na kuanza kunywa.
Jimmy alishuka kutoka chumbani kwake akamuona Prisca akiwa na kikombe kimoja.
"Nahitaji chal
Kawaamble wanawake zako wakupikle.
Jimmy alinyamaza, akatabasamu kwa dharau. "Nakuona unajifunza misimamo, Lakini
kumbuka, hapa bado ni kwangu"
Lakini tulikubaliana tuwe kwenye misimamo
Jimmy alivuta kiti skokas na kumkazia macho usoni, Prisca hakujali macho ya jimmy aliendelea kunywa chai yake taratibu
Hivi ndivyo mke anapaswa kuishi na mume
wake?
Prisca akicheka lodΓ³go
Mume? Unazungumzia mume aina gani
wewe?
Kama upo kwangu upo kama nani? Mahirika mwenzangu kibiashara, rafiki, mfanyakazi au
mke?
Katika hicho hakuna hata kimoja. Sisi ni watu
tusiojuana ndio maana kila mtu anafuata
maisha yake bila kumshirikisha mwenzie.
Alijibu Prisca kisha akasimama na kuchukua
mkoba wake ili aondoke kwenda chuo. ile
anataka kuondoka Jimmy walimshika mkono na
kumvutia kwake, Prisca alienda kutulia kwenye
kifua cha Jimmy na jimmy alitingisha mikono
yake kwenye kiuno cha Prisca.
Unataka nini kwangu? Wake wanawake wawill
hawajakutosheleza?
Hivi hujui kama kila mmoja anaradha yake?
Sasa nataka kuonja ya kwako mke wangu
bandia
Prisca aliachia tabasamu la kejeli kisha.
akasema
Nenda kaichore ya kufanana na yangu alafu kamalizane nayo ya kwangu abadani hizi kuiona
wala kuitumia.
Jimmy alimkazia macho na kujiuliza huyu binti
anajiamini vipi kumjibu vile.
Prisca aljitoa kwa nguvu kwenye mwili wa Jimmy kisha akaondoka.
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments