Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ10
Gonga94 ยท Stories

MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Jasmine alinyanyua begi la Leon kwa utulivu, akitembea huku akimfuata .
Leon akatembea haraka kuelekea kwenye gari lake la kifahari. Akafungua mlango, kisha akamkodolea macho Jasmine ambae alikuwa kasimama.
โ€œIngilia haraka tunachelewa.
Jasmine alipanda akakaa kwenye kiti cha pembeni ya dereva, leon akafunga mlango kisha bar akaenda kupanda na kuwasha gari.

Safari yote ndani ya gari, kimya kilitawala. Leon alishika usukani kwa nguvu, macho yake yakiwa barabarani lakini akili yake ilikuwa ikisumbuliwa na kitu kimoja busu la Jasmine. Kila alipojaribu kulisahau alishindwa hasa alipokuwa akimuona yupo karibu yake.
Jasmine, kwa upande wake, alikaa akimuanga Leon taratibu, macho yake yakiwa na uhakika wa ushindi. Aliinua mdomo wake na kusema kwa sauti nyororo:
โ€œBossโ€ฆ unajua leo umependeza sana. Nikisema hujui kuvaa, nitakuwa mnafiki. Lakini nikisema hujui kupendaโ€ฆ nitakuwa sahihi kabisa.

Leon akamgeukia akimkazia macho kwa hasira.
โ€œJasmine, nakushauri uache huu mchezo wako. Kuna mambo ya kitoto na kuna maisha ya kweli. Mimi siyo mwanaume wa hiyo michezo yako.

Jasmine akatabasamu, akavuta pumzi kwa utulivu kisha akajisogeza kidogo karibu naye.
โ€œMimi pia sichezi, Boss. Nataka tu nikufanye ukubali kitu ambacho tayari moyo wako unaamini. Unaweza kunidanganya kwa maneno, lakini macho yako kila mara yananiambia ukweli.
Leon alijisikia damu zikimchemka. Alitaka kumfokea lakini badala yake, akajikuta akishika usukani kwa nguvu zaidi kana kwamba anapigana na nafsi yake.

Walipofika kwenye hoteli kubwa ya kifahari walishuka wote.
" Hii ndio sehemu ya mkutano?
" Ndio . Jasmine nakuomba kwa mara nyingine tena usije ukanifanya michezo yako ya ajabu huku kuna watu wa heshima.
" Kweli leo upo serious yani mpaka imetangulia neno samahani! Basi boss wangu wala usijali nitakulinda heshima yako kama boss wangu.

Walipoingia ukumbini, kulikuwa na watu wa heshima pia walionekana kwenda na masecretary wao, Jasmine akatembea pembeni yake kwa ujasiri, kana kwamba ana haki ya kuwa pale. Walifika sehemu kuna dada mmoja mrembo alimfuata leon wakakubaliana huku Leon aliachia tabasamu ambalo Jasmine hakuwahi kuliona .
" Jamani leon nilikumiss sana.
" Nilikumiss pia miss Leyna, vipi hali yako ipo sawa.
" Nipe imara sana hofu yangu ni kwako mr handsome.
Leon akicheka kidogo
" Niko poa sana , nimefurahi kukuona tena.
Walishikana mikono wakawa wanatembea kuelekea kwenye meza iliyoandaliwa kwaajili ya mkutano .
Kitendo kili kilimuumiza na kumvunja moyo Jasmine aliamini kuwa haba thamani ya kuwa na Leon kile alichokuwa anaongea kila siku ilikuwa anamaanisha.
Alibaki nyuma huku akiwa kabeba begi la pc .
Leyna aligeuka nyuma akamuangalia Jasmine alafu akauliza.
" Huyu ni nani?
" Secretary mpya anaitwa Jasmine.
" Ok.
Waliendelea kutembea mpaka walipofika kwenye meza kubwa ya duara Leon alivuta kiti akakaa na yule mwanamke akakaa pembeni yake huku akiwa inasimamiwa na binti mmoja ambae alionekana kama security wake
Na Jasmine alisimama kando ya Leon.
Alifungua mkoba na kutoa laptop ya Leon na kuiweka mezani.

Kikao kilianza watu walikuwa makini kufuatilia .
Jasmine alipokuwa kasimama kuna mwanaume mmoja alikuwa anamuangalia sana na walipokutana macho aliachia tabasamu na Jasmine hakuwa na hayana alimuonyesha tabasamu ndogo.

Baada ya mkutano kuisha huyo
Mwanaume aliyejulikana kama Mr. Gilbert mfanyabiashara kijana tajiri na anayejiamini alinyanyuka na kutembea moja kwa moja kwenye meza ya Leon. Akiwa na tabasamu la kujiamini, akampa Jasmine mkono.
" Habari mrembo.
" Salama.
" Naitwa Mr Girbet nitafurahi kama utapenda tufahamiane.
Jasmine akatabasamu alafu akajitambulisha.
" Naitwa Jasmine.
" Waoooo jina zuri sana kinaendana na jinsi ulivyo . Wewe ni mzuri Jasmine.
Jasmine alikuwa anatabasamu tu wakati huo leon alikuwa akimuangalia kwa hasira.
" Samahani Jasmine tunaweza kuungana pamoja kwenye chakula cha mchana?
" Sasha nipo na boss wangu Mr Leon.
Girbet alimuangalia Leon alafu akasema.
" Tafadhali mr Leon naomba ruhusa ya kupata chakula na secretary wako.
Kabla Leon hajajibu Leyna akamjibia.
" Kwakuwa hakuna kazi kwa sasa mruhusu aende naye na mimi nitakupa chakula cha mchana na wewe.
Jasmine hakuona haja ya kukataa aliona bora akabadilishane mawazo na watu wengine kuliko kukaa kuona Leon akitoa tabasamu la upendo kwa mwanamke mwingine.
Walipotaka kuondoka Leon alimshika mkono Jasmine.
โ€œHapana. Leon alisema kwa sauti ya chini l macho yake yakimkazia Gilbert kwa ukali wa simba.
โ€œHuyu ni secretary wangu. Yuko hapa kwa ajili ya kazi, siyo kwa ajili ya starehe au kwenda kula.

Jasmine akamkodolea macho Leon, moyo wake ukicheza kwa furaha ya siri. Tabasamu dogo likatokeza midomoni mwake

Full 1000
Whatsp 0784468229
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ10

Jasmine alinyanyua begi la Leon kwa utulivu, akitembea huku akimfuata .
Leon akatembea haraka kuelekea kwenye gari lake la kifahari. Akafungua mlango, kisha akamkodolea macho Jasmine ambae alikuwa kasimama.
โ€œIngilia haraka tunachelewa.
Jasmine alipanda akakaa kwenye kiti cha pembeni ya dereva, leon akafunga mlango kisha bar akaenda kupanda na kuwasha gari.

Safari yote ndani ya gari, kimya kilitawala. Leon alishika usukani kwa nguvu, macho yake yakiwa barabarani lakini akili yake ilikuwa ikisumbuliwa na kitu kimoja busu la Jasmine. Kila alipojaribu kulisahau alishindwa hasa alipokuwa akimuona yupo karibu yake.
Jasmine, kwa upande wake, alikaa akimuanga Leon taratibu, macho yake yakiwa na uhakika wa ushindi. Aliinua mdomo...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mr-arrogant-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-arrogant
MR ARROGANT SEHEMU YA KUMI NA TATU*
MR ARROGANT SEHEMU YA KUMI NA TATU*
MR ARROGANT 17&18*
MR ARROGANT 17&18*
MR ARROGANT 14&15*
MR ARROGANT 14&15*
MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
MR. ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ 9
MR. ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ 9
MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž ๐Ÿ”ฅ 8
MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž ๐Ÿ”ฅ 8
MR. ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ* *1----2* *
MR. ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ* *1----2* *
MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ* ______________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*
MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ* ______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*
MR. ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ 3
MR. ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ 3
MR ARROGANT 14&15*
MR ARROGANT 14&15*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.9K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.53K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.93K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.65K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest