Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   10
Gonga94 · Stories

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 10

Tuliangaliana na afande akanipiga busu la shavuni kisha akaniambia lete hiyo simu niipokee,
Nikamwambia hapana ngoja iite mpaka ikate, nilianza kuhisi vitu fulani kama vya upendo hivi kwa afande ,maana ni kama alikuwa anafurahi zaidi vile tunavyomkomesha mke wangu , na yale mabusu daah , japo nilikuwa najihisi Raha kupigwa busu lakini kwa upande mwingine nilikuwa naona kama nazidi kujiweka mbali na mke wangu ,
Sim iliita ikakata mke wangu akapiga tena ikaita mpaka ikakata alipiga kama mala sita lakini sikupokea mpaka akaacha kupiga ,afande akasema hapo lazima aumie maana alikuwa anahisi wewe huwez pata mwanamke mwingine zaid yake , tulienda mpaka kwenye fukwe moja hapa mjini dar ,ilikuwa ni bichi nzuri sana na ilikuwa imetulia sana , tulikaa sehemu na tukaagiza madafu tukaanza kula huku tunapiga story za hapa na pale ,afande alinieleza history yake ya mahusiano kuwa nayeye alipitia changamoto nyingi sana , alimpenda sana kijana mmoja walikuwa nae chuo , na wakaahidiana kuowana pindi watakapopata kazi , akasema walieshimiana sana na kupendana sana nayeye afande akaweka matumaini yake kwa kijana huyo kuwa ndie atakaekuwa mumewe, lakini yule kijana alikuja kuoa mwanamke mwingine halafu yule kijana alimletea kadi ya mchango wa harusi yake , fikiria mpenzi wako anaoa halafu anakuletea kadi ya mchango wa harusi yake inauma kiasi gani ,? Afande aliongea huku akilia , nilimuonea huruma nikamfuta machozi , akaniambia tokea siku ile nikajua hakuna mwanaume mwenye mapenzi ya dhati kwa mwanamke sasa nilikuja kushangaa wewe jinsi unavyompenda mkeo licha ya mkeo kukufanyia visa kiasi kile, namimi nilimwambia kuwa yule mke wangu ndio mwanamke wangu wa kwanza na sijui kama nitamwacha kwa sababu nampenda sana , sijawahi kupenda mwanamke mwingine,
Nikamuona yule afande amebadirika sura akawa kama amechukia kusikia maneno yangu , akaniambia mi nilitamani kupata mwanaume mwenye upendo wa dhati kama uliokuwa nao wewe , maana kama ni mali ninazo ninanyumba na magari mawili ila sina mtu wa kunipenda kwa dhati wanaume wengi ni waongo waongo tu , mi nikampa pole na tukapiga story nyingi tu lakini kama alikuwa na kitu kinamsumbua ila hakutaka kuniambia ,
Tulitoka kule beach na akanipeleka mpaka nyumbani, nikamshukuru sana , akaniambia kama nnashida yeyote nimwambie tu nisiogope , nikamwambia nashukuru sana kwa msaada wake na Haina haja ya kuwasiliana tena ,nikamuona amebadirika na amepoteza uchangamfu ,sasa nikajiuliza huyu afande anashida gani mbona amechukia gafra , yule afande akaniuliza kwanini tusiwe tunawasiliana ,? Nikamwambia Haina haja wala sababu kwa kuwa nitajitahid kumludisha mke wangu awe kama zamani na naamini atanielewa tu, yule afande hakusema kitu akawasha gari nakuondoka ,
Niliifuta ile namba ya yule afande huku nikiamini mke wangu ndio kila kitu nitajitahidi tu nimrudishe kwenye mstari ,
Nakumbuka nilipika pilau nyama huku nikikata kachumbali nzuri niliamini kutokana na mke wangu alivyoniona na mwanamke mwingine anaweza kupoa na tukaombana msamaha , na mimi nilipanga kama ataniomba msamaha basi kesho nampeleka kule kwenye ile nyumba ,
Tulimsubilia mke wangu lakini nikaona mtoto anataka kulala ikabidi tupakue tu chakula tukaanza kula , wakati tunakula mke wangu akarudi akiwa na hasira sana , kwanza alianza kuongea tokea yupo kule mlangoni, unaniletea malaya zako mpaka kazini kwangu si ndio, nikamwambia akae kwanza tule, akanijibu ,,Nile upuuzi ?unahongwa na malaya halafu unakuja kumpikia mwanangu , sasa kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho kumpikia mwanangu uchafu wako huu , mke wangu aliongea akamwaga kile chakula chini , huna kazi huna kibarua unahongwa na Malaya zako unakuja kumpikia mwanangu upuuzi ,bado aliendelea kuongea , kitendo kile kilinikera sana ila nikajikaza tu , maana alikuwa anaongea mbele ya mwanangu ,nikamjibu na kumwambia mke wangu mi sijahongwa pesa hizi pesa ni za kwangu nimeamua leo nipike pilau kwanini unakuwa hivyo,? Usiniambie upumbavu wako kumbuka wewe umefukuzwa kazi kwa ajili ya wizi wako hizo pesa unatoa wapi kama sio kuhongwa na Malaya zako , ? Au kwa vile anagari unajua gari kalitoa wapi yule ,? Kama anatoa nyuma na wewe ukatoe upate gari ,
Mke wangu aliendelea kutoa maneno machafu , nikajua kumbe sijatatua shida bali nimeongeza matatizo ,nilimlaumu sana yule afande kwa kunipa mbinu kama zile, nilitamani kumwambia ukweli kuwa hata yule mwanamke sio mke wangu , tulipanga tu iwe vile nikashindwa nikanyamaza tu,
Ukweli nampenda sana mke wangu na najitahid kila njia arudi kwenye mstari lakini nashindwa , mke wangu alitoka na mtoto akaenda kumnunulia chips mi nikaokota lile pilau nikarudisha kwenye sahani nikaendelea kula ,
Nilikula lakini chakula kilinishinda nikainama tu chini nakuanza kulia , nililia mpaka mke wangu alipokuja nikajifuta machozi nikajifanya silii , " unajua unamwezi mmoja tu wa kukaa hapa kwangu sasa kwa vile umenionesha upuuzi wako utakaa hapa siku tatu tu , na utaondoka uniachie mwanangu , " aliongea mke wangu , niliamua nijishushe maana niliona sina jinsi nikapiga magoti na kumwambia mke wangu nisamehe tu maana mimi ndio nilikosea , lakini mke wangu hakutaka hata kunisikiliza ,aliingia ndani na kufunga mlango,
Nilikaa pale nikajuta , nakwambia ndugu msomaji maumivu ya mapenzi hayafananishi na chochote hata msiba hauko hivi, chunguza utaniambia ,
Nilimsikia mke wangu anaongea na simu halafu akafungua mlango akatoka , nikamuuliza unakwenda wapi ? Akaniambia tusifuatiliane kwani tumeshaachana na talaka anayo, nikabaki kimya ,
Mke wangu alitoka nje nikaona hebu namimi nitoke nimuone anaongea na nanani , nilipochungulia nikamuona mke wangu kakumbatiwa na lijamaa huku wananyonyana mate , niliumia na hasira zikapanda nikazunguuka nyuma ya nyumba nikachukua shoka nilizamilia kuuwa , nilitoka mpaka pale nje waliposimama namimi nikasimama na kumwambia yule jamaa aisee muache mke wangu , yule jamaa akaanza kucheka huku ananiambia ,sasa wewe huna kazi huna kibarua yaan wewe ni mama wa nyumbani , unafikiri mkeo pesa za kukutunza anatoa wapi,? Au lile duka la vipodozi ungeweza kulijaza namna ile ,?
Nilipandwa na hasira nikanyanyua shoka ,,,,,

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 10

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 10

Tuliangaliana na afande akanipiga busu la shavuni kisha akaniambia lete hiyo simu niipokee,
Nikamwambia hapana ngoja iite mpaka ikate, nilianza kuhisi vitu fulani kama vya upendo hivi kwa afande ,maana ni kama alikuwa anafurahi zaidi vile tunavyomkomesha mke wangu , na yale mabusu daah , japo nilikuwa najihisi Raha kupigwa busu lakini kwa upande mwingine nilikuwa naona kama nazidi kujiweka mbali na mke wangu ,
Sim iliita ikakata mke wangu akapiga tena ikaita mpaka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilimdanganya-mke-wangu-nimefukuzwa-kazi-kumbe-nnalikizo-miezi-3-sehemu-ya-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilimdanganya-mke-wangu-nimefukuzwa-kazi-kumbe-nnalikizo-miezi
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3  SEHEMU YA    15
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 15
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3          SEHEMU YA  17
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 17
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3            SEHEMU YA  18      ...
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 18 ...
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3       Sehemu ya 03
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 03
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3     SEHEMU YA   16
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 16
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3  Sehemu ya  04&05
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 04&05
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA 06
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 06
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3                SEHEMU YA   07&08
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 07&08
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI,     KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3,
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI, KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3,
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA 11&12
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 11&12
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3       SEHEMU  YA 13
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 13
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3      SEHEMU YA   09
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 09
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   14
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

944
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

197
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

135
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

131
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

120
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest