Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3       SEHEMU  YA 13
Gonga94 · Stories

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 13

SHUUUKA CHINIII,,,!
nikamuona bado anasua sua nikamwambia utaniuzi shuka chini unanichafulia gari langu , mke wangu akasema lakini nimekuja na mtoto , nikashangaa nikamwambia yuko wapi akanioneshea na kidole ,kweli nilimuona mwanangu akiwa kando ya nyumba nyingine iliyoko pembeni ya ile nyumba ninayojenga ,
Nilishuka nikatembea nikam beba mwanangu huku nikimuuliza kwanini umekuja na mama huku,? Akaniambia mama aliniuliza baba yako anaendaga wapi nikamwambia kuna nyumba anajenga tulishawahi kuja akaniambia tuje tuione ndo tukaja ,
Sikumlaumu sana mwanangu , nikam beba na kumuingiza kwenye gari ,
Sasa nikashindwa kumtoa tena mke wangu kwenye ile gari kwa kuwa mtoto nae alikuwepo lazima angejisikia vibaya ,nikawasha gari na kuondoka ,
Wakati tuko njiani mke wangu akaanzisha maongezi, kwa kuniambia mume wangu umenifundisha kitu naomba unisamehe kwa kila jambo nililokufanyia ,nakuahidi sitorudia tena ,sikumjibu niliendelea kuendesha gari maana sikutaka mtoto ajue kama tunaugomvi mimi na mama yake ,aliendelea kujiongeleaha wala sikumjibu , mpaka tunafika nyumbani , tuliingia ndani na mimi nikaingia zangu jikoni kwa ajili ya kuandaa chakula changu na mwanangu , akaja kule jikoni na kuniambia eti usijali leo ntakupikia chakula kitamu sana , nikamwambia unanipikia mimi au yule bwana ako wa asubuhi ,? Hakunijibu nahisi kama aliona aibu , nikamwambia kama hunijibu ondoka humu jikoni nikimaliza kupika uje upike chakula chako , nikamuona haondoki ndo kwanza ana andaa andaa sufuria ya wali, nilimwambia tena ondoka humu jikoni , akaniambia lakini si nilishakuomba msamah,,,,, kabla hata hajamaliza nilijikuta nimechukua prampein ile ya kupikia chapati nikampiga nayo ya kichwa TOKA NIMEKWAMBIA ,,, yaani sijui hata hasira zilitokea wapi ,
Mke wangu alitoka huku ameshika kichwa ile sehemu niliyompiga huku analia , aliingia mpaka chumbani kule kwa mtoto nikamsikia analia , kwa upande fulani huruma iliniingia nikatamani kwenda kumuomba msamaha ,lakini miguu iligoma kabisa , nikapika wali njegere kwa Nazi weee kitu kilinukia mpaka mtaa wapili ,
Nikala na mwanangu tukashiba nikampeleka kulala na mimi nikaenda kulala kwenye V8 langu si unajua kipya kinyemi ,
Wakati nimejipunzisha zangu nasikiliza mziki taratibu sms ikaingia alikuwa ni mke wangu eti anaomba nimsameha anajua nnahasira lakini anaomba tu msamaha tuish kama zamani ,
Sikuweza kumaliza sms hiyo nikazima simu nikajipunzisha ,
Asubuhi nikawasha simu yangu nikakutana na mesegi kibao zote za mke wangu hata sikuhangaika kuzisoma nikazifuta , nikamuona anamuandaa mtoto kwa ajili ya shule ,nikampita tu ye ndo akanisalimia za asubuhi nikamjibu salama nikaingia zangu kuoga ,
Nilitoka kuoga nikaingia zangu chumbani nikauchapa usingizi ,nilipoamka nikakuta amepika maziwa na chapati na supu et ameniwekea halafu yeye akaandika kikaratasi eti kula mume wangu ushibe,
Mi hata sikula ,
Nikapika vyangu nikala , ilifika saa 8 hivi au 9 kwenye kumi kumi kasoro Nakumbuka , nikapigiwa simu namba ngeni ,nikapokea kumbe alikuwa afande , akaniambia njoo kituoni kuna jambo , mkeo kakamatwa ameleta fujo kwenye duka la watu la vipodozi, nikashangaa nikamwambia nakuja , niliwasha V8 langu nikaenda mpaka kituon nikashangaa mpaka polisi wananiangalia , maana ile gari ni kama ya mkuu wa wilaya au m bunge kama sio waziri fulani , nikasikia polis mmoja akimwambia mwenzake unamkumbuka huyu jamaa si tulimuweka ndani juzi juzi kumbe ni mtu mwenye pesa zake aisee ,
Siku jali nikapita mpaka kwa mkuu wa kituo ,nikamkuta mke wangu kakalishwa chini aliponiona akaanza kusema eti mume wangu lile duka letu kuna mtu anasema la kwakee , mlango ukafungwa huku ndani tukiwa mimi yule afande na mke wangu , sikuyajali sana maneno ya mke wangu nikamsalimia afande kwa kumkumbatia ( kumbuka huyu afande ni yule alienisaidia kipindi kile ,)naye akanikumbatia sasa mi si nikaongeza manjonjo nikam busu afande mdomoni yule afande akaniwahi kwa kunishika nyuma ya kichwa na kunikandamizia mdomoni kwake tukawa tunanyonyana mate ,
Nikamuona mke wangu anatoa macho kama kaona muvi ya kutisha ,
Tuliachiana huku yule afande akisema I love you , nami nikajibu I love you too, tukakaa kwenye viti huku mke wangu akiwa haamini kila kitu anachokiona ,
Afande alimwita afande mwingine akamwambia amchukue mke wangu ampeleke mahabusu kwa sababu muda ule anamaongezi na mimi , mke wangu akanyanyuliwa kama mwizi huku akiniambia nisaidie mume wangu , mi nikamwambia kwanza sijaja kwenye kesi yako mi nimekuja nnamaongezi na huyu mke wangu ,nikamuoneshea kidole afande , mke wangu akaanza kulia akapelekwa mahabusu huku akilia kwa sauti ,Akisema jamaanii naombeni mwambieni mume wangu anisamehe nimekoma mieeee ,,!!!

Nini kitaendelea. Usikose uhondo huu ????????

Koment ziwe nyingi

ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 13

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 13

SHUUUKA CHINIII,,,!
nikamuona bado anasua sua nikamwambia utaniuzi shuka chini unanichafulia gari langu , mke wangu akasema lakini nimekuja na mtoto , nikashangaa nikamwambia yuko wapi akanioneshea na kidole ,kweli nilimuona mwanangu akiwa kando ya nyumba nyingine iliyoko pembeni ya ile nyumba ninayojenga ,
Nilishuka nikatembea nikam beba mwanangu huku nikimuuliza kwanini umekuja na mama huku,? Akaniambia mama aliniuliza baba yako anaendaga wapi nikamwambia kuna nyumba anajenga tulishawahi kuja akaniambia tuje tuione ndo tukaja ,
...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilimdanganya-mke-wangu-nimefukuzwa-kazi-kumbe-nnalikizo-miezi-3-sehemu-ya-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilimdanganya-mke-wangu-nimefukuzwa-kazi-kumbe-nnalikizo-miezi
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3  SEHEMU YA    15
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 15
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3          SEHEMU YA  17
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 17
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3            SEHEMU YA  18      ...
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 18 ...
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3       Sehemu ya 03
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 03
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3     SEHEMU YA   16
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 16
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3  Sehemu ya  04&05
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 04&05
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA 06
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 06
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3                SEHEMU YA   07&08
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 07&08
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   10
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 10
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI,     KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3,
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI, KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3,
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA 11&12
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 11&12
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3      SEHEMU YA   09
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 09
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   14
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

933
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

178
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

132
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

116
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest