Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
16 views
VYOTE NDANI GONGA94
Simba Wamedhulumiwa na CAF na Huo Ndio ukweli,Berkane walijua wakicheza Benjamin Mkapa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"Simba Wamedhulumiwa na CAF na Huo Ndio ukweli,Berkane walijua wakicheza Benjamin Mkapa hawawezi kuchomoka wakaamua kuwatumia CAF kubadilisha uwanja ili iwe rahisi kwao kuwafunga Simba lakin hii Imeonyesha na kudhihirisha ukubwa wa Simba Barani Africa, uongozi wao unatakiwa kujiapanga na hizi figisu kwa mara nyingine"
"Simba ndio timu ambayo inaogopeka na karibia asilimia 90 ya vilabu vikubwa barani Africa, kama Simba ingekuwa timu ndogo kama Yanga au Azamfc kwenye bara la africa hakuna timu ambayo ingetengeneza mazingira ya kuikimbia Simba pale Benjamin Mkapa kama walivyofanya Berkane lakini kwasababu Simba ni dude kubwa barani africa lazima wapinzani waogope kucheza dhidi yao pale Benjamin mkapa"
"Sioni Sababu Simba kuwa na hofu kucheza Amani Complex kwasababu wana kikosi kizuri na ukiangalia hata mchezo uliopita sio kwamba Berkane walikuwa hatari sana, magoli mawili ambayo Simba walifungwa yalitokana na kukosa umakini kwa wachezaji wa Simba kwa dakika 15 za kwanza but baada ya kufungwa walitulia na wakacheza vizuri,ambacho nawashauri Simba watulize akili wajiandae vizuri hata pale Amani Complex Berkane anapigika bila shida yoyote
Kama unasema Berkane walikuwa hatari niambie nafasi gani bora sana ambayo Berkane walitengeneza ukiacha nafasi mbili za kwanza ambazo walipata magoli mawili" Mchambuzi Alex Ngereza ✍️
#halisimediatz #halisinewsflash
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuand...
Simba Wamedhulumiwa na CAF na Huo Ndio ukweli,Berkane walijua wakicheza Benjamin Mkapa
"Simba Wamedhulumiwa na CAF na Huo Ndio ukweli,Berkane walijua wakicheza Benjamin Mkapa hawawezi kuchomoka wakaamua kuwatumia CAF kubadilisha uwanja ili iwe rahisi kwao kuwafunga Simba lakin hii Imeonyesha na kudhihirisha ukubwa wa Simba Barani Africa, uongozi wao unatakiwa kujiapanga na hizi figisu kwa mara nyingine"
"Simba ndio timu ambayo inaogopeka na karibia asilimia 90 ya vilabu vikubwa barani Africa, kama Simba ingekuwa timu ndogo kama Yanga au Azamfc kwenye bara la africa hakuna timu ambayo ingetengeneza mazingira ya kuikimbia Simba pale Benjamin Mkapa kama walivyofanya Berkane lakini kwasababu Simba ni dude kubwa barani africa lazima wapinzani waogope kucheza dhidi yao pale...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/simba-wamedhulumiwa-na-caf-na-huo-ndio-ukweli-berkane-walijua-wakicheza-benjamin-mkapa
Maoni