SITOSAHAU ALIVYONIPAKIA MKONGO KUNIKOMOA
PART: 01
Kwa majina naitwa Cathe naomba twende wote.
Ilikuwa siku ya jumamosi mida kama ya saa 3 hivi za asubuhi huku nikiwa naamka kitandani ndipo simu yangu ilipoita..
Taratibu huku nikiwa najinyoosha, nilichukua simu ile kuona nani anapiga ndipo nilipokuta ni rafiki yangu Dicky ambaye mda mwingi alikuwa ananitongoza lakini kiukweli sikuwahi kumuelewa kabisa .
Nilipokea simu yake kisha tukaanza kuzungumza,
"Heloo.." nilitamka
"Heloo mrembo nimekumis kweli " Dicky alitamka.
"Mhh..uongo mbona ulikuwa hunitafuti?" Nilimuuliza.
"Mambo yalikuwa mengi kidogo vipi za siku?"
"Ni nzuri, nisaidie hata vocha basi.." nilimwambia.
"Ohoo haina shida nakutumia tukimaliza kuongea ."
",Asante.."
"Vipi upo nyumbani?" Aliniuliza.
"Ndiyo .."
"Unafanya nini?" Aliniuliza.
"Ndo nataka niamke nifanye usafi mda huu" nilimjibu
"Ohoo ratiba yako ikoje leo?" Aliniuliza.
"Sina ratiba yoyote ntakuwepo nyumbani leo.." nilimjibu
"Ohoo njoo basi nyumbani unitembelee"
"Mhh sina hata nauli..."
"Nauli siyo shida nakutumia.."
"Siku nyingine maana leo sijajipanga kutoka nyumbani..."
"Njoo kuna zawadi yako nimekuandalia utaikuta nadhani utaipenda pia.."
",Jamani zawadi gani?" Nilimuuliza.
"We njoo utaikuta.."
",Nitumie picha niione..."
",Nataka iwe surprise kwako ..." alitamka.
"Mhh..niambie basi...".
"We njoo..."
"Kwanza sina nauli..."
"Sh. Ngapi nikutumie..?"
"Wewetu utakayoona inanitosha"
"Sawa mda huu nakutumia" alitamka kisha akakata simu.
Baada ya mda wa dakika kama 4 hivi, meseji ya muamala wa sh elfu 30 kutoka MPESA iliingia.
Kiukweli sikuamini kama angeweza kunitumia kiasi hicho cha pesa.
Mda huohuo nilijikuta nashangilia peke yangu kisha nikamtumia meseji,
"Asante nimeiona"
Mda si mrefu alijibu meseji yangu,
"Nawe asante kwahiyo unakuja saa ngapi?"
"Nitakwambia mida ya mchana hivi.." nilimjibu.
"Niambie mda huu ili nipange ratiba yangu vizuri.. "
"Basi mida ya saa 10 hivi ntakuja..."
"Karibu sana..."
"Asante. "
Baada ya chatting hizo, niliweka simu chini kisha nikaanza kufanya usafi.
Baada ya kumaliza, nilioga kisha nikaenda kwa Wakala kutoa pesa na kununua Chips yai pamoja na mishikaki .
Siku hiyo nilifurahi kweli huku nikiwa na shauku ya kujua zawadi ipi ameniandalia Dicky nyumbani kwake.
Ilipofika saa 9 za mchana, nilianza kujiandaa kwenda kwake ndipo kwa mbali roho yangu ilipopata hofu na kujiuliza,
"Hivi hatanisumbua kweli nikienda kwake?" Nilijiuliza kisha nikarudi chumbani na kuvaa chu**pi 2, skinitaiti 1 na Suruali aina ya jeans ambayo ilikuwa inanibana sana.
Niwe tu mkweli sikuwa nampenda Dicky wala moyo wangu haukuwahi kuvutiwa naye .
Baada ya kuwa nimejistiri, nilimtaarifu kuwa nakuja na mda si mrefu nilipanda bajaji kwenda kwake Magomeni nikitokea Kimara.
Mnamo mida ya saa 10 na robo, nilifika kwake kisha nikasimama mlangoni na kubisha hodi.
Mda huohuo, Dicky alitokea ndani akiwe amevalia pensi huku akiwa emeweka mikono mifukoni.
" Karibu ndani" alitamka
"Asante..",niliitikia kisha nikaingia ndani.
Baada ya kuingia ndani, Dicky aliingiza viatu vyangu ndani kisha akafunga mlango.
"Mbona unafunga mlango?, sikai kwa mda mrefu nataka niondoke maana kuna sehemu nataka niende" nilimwambia huku kwa mbali pensi yake ikiwa inatuna kwa mbele kadri mda ulivyozidi kwenda
"Hapa kuna mbu ndo maana nafungaga mlango..." alitamka huku akionekana kama ananisogelea hivi.
"Sawa zawadi yangu iko wapi?" Nilimuuliza huku nikiangaza sebuleni kwani alikuwa amepanga chumba na Sebule.
"Ohoo unaitaka mda huu?" Aluniuliza.
"Ndiyo..." nilimjibu.
"Njoo uiangalie..." alitamka kisha akafungua mlango wa chumbani.
Baada ya kufungua mlango, nilipiga hatua chache kisha nikabaki nimesimama ndipo aliponiambia,
"Ingia uiangalie ."
"Mhh..nilitee hapa sebuleni chumbani hapana.." nilitamka huku kwa mbali nikiwa nawaza.
"Kwani unaogopa nini?" Aliniuliza
"Hapana.." nilimjibu.
",Ingia sasa..."
Kwa aibu niliingia chumbani humo ndipo mda huohuo alipofunga mlango wa chumba hicho na kuchomoa funguo kwenye kitasa.
"Hee!, kwanini unafunga mlango?" Nilimuuliza kwa mshangao.
"Karibu kitandani kuna zawadi yako..." alitamka kisha akataka kunishika..ndipo..
ITAENDELEA...
JE ILIKUWAJE?
USIKOSE SEHEMU IJAYO..
KUPATA MWENDELEZO NA KUISOMA MPAKA HAPO MWISHO NJOO WHATSAP
0781111897 KISHA ANDIKA " KUKOMOANA"
watsapp Group πβ¬οΈ
https://chat.whatsapp.com/IXRdSC9HY5I4DlI8NnT8tP.