SITOSAHAU ALIVYONIPAKIA MKONGO KUNIKOMOA PART: 02
PART: 02
ILIPOISHIA,
"Hee!, kwanini unafunga mlango?" Nilimuuliza kwa mshangao.
"Karibu kitandani kuna zawadi yako..." alitamka kisha akataka kunishika..ndipo..
SONGA NAYO....
Baada ya kuniambia nikaribie kitandani, nilistajabu sana kwani Dicky nilikuwa namuheshimu sana kama Rafiki yangu.
Kwa mbali nilianza kuona kama kuna dalili mbaya anataka kunifanyia ndipo kijasho chembamba kilivyoanza kunitoka kwani kiukweli nilikuwa bado sijawahi kulala na mwanaume yeyote.
Niliangaza macho yangu huku na kule kisha nikamuuliza,
"Zawadi gani ambayo haionekani mpaka kitandani"
Baada ya kuambiwa hivo, alinyanyuka kitandani hepo ndipo nilipobaki na mshangao mkubwa kwa nilichokiona.
Pensi yake kwa mbele ilivimba na kuchongoka gafla huku kwa ndani kukionekana kama kuna mpini wa kutwangia.
"Mama yangu wee!" Nilijisemea huku nikiwa bado nimesimama chumbani humo.
"Sorry samahani sogea kidogo nikwambie jambo moja la siri.." alitamka huku akishikilia pensi yake kwa mbele
"Niambie kwani mpaka nije hapo? Nilimuuliza.
"Hapana ni siri ndo maana nataka usogee kwa karibu"
"Mhh...we sema tu" niliguna huku mapigo ya moyo wangu yakinienda mbio sana.
"Baby..kiukweli nakupenda sana, nipo tayari kwa lolote hata kukausha bahari lakini unipatie penzi lako nami moyo wangu utapona. Siwezi kuishi wala kulala bila wewe, please nakuomba sana" alitamka huku akiwa anavua Vest yake na kubakia kifua wazi
"Hee! Makubwa! Hii ndo Zawadi ambayo umeniitia chumbani humu?, nakuheshimu sana kama kaka yangu please nakuomba unisamehe kwa hilo" nilimjibu kisha nikataka kufungua kitasa cha mlango ili nichomoke chumbani humo lakini ufunguo haukuwepo.
"Please nimeumia sana moyo, nimefanya kila kitu kwako nakuomba kwa leo nione hata paja lako tu ...nitaota hata mwaka mzima...niko vibaya sana.." alitamka.
"Nikuuulize kitu..?" nilitamka.
"Uliza mama"
"Kwanza una malengo gani na mimi ?" Nilimuuliza huku nikiwa nawaza kwelikweli.
"Malengo yangu ni kukufanya wewe uwe mke wa pekee katika dunia hii, mke ambaye nitakukabidhi moyo wangu, mke ambaye nitakukabidhi yongo na figo zangu, unizalie watoto waniite baba nawe wakuite mama" alitamka huku akionekana kujikuna kwenye mpini wake ambao ulionekana kuvimba kadri mda ulivyokuwa unasogea.
"Mhh...asante kwa hilo Mola akipenda itakuwa hivyo ila kwa sasa sitaki na sikotayari kuwa kwenye mahusiano na mtu yeyeyote..." nilitamka.
"Mbona ulikuwa unaniambia unanipenda baby?, please niko vibaya sana yaani siwezi kuishi kwa leo nakuomba unistiri hata dakika 5 tu" alitamka
"Hee!, dakika 5 za kufanya nini?" Nilimuuliza kwa mshangao huku nikijuta kwanini nimekuja kwake.
"Nadhani ushaelewa hapo. Kitendo cha kukuona tu mwili wangu wote umenisisimka sana kiasi kwamba nashindwa hata nisemeje...please nakuomba sana" alitamka.
"Tabia yako siyo nzuri ndo maana nilikuwa sitakagi kuja kwako, sasa ndo nini hii?, mimi kwa leo haiwezekani hata kidogo yaani haiwezekani" nilitamka kwa sauti
"Kwanini?, shida nini kipenzi?" Aliuliza kisha akataka kunikumbatia.
"Nipo kwenye siku zangu lakini pia by the way hata nisingekuwa kwenye siku zangu isingewezekana, najiheshimu sana nakujitunza sana. Sipo tayari kufanya mapenzi mpaka nitakapoolewa" nilimjibu.
"Please nakuomba nioneshe hata paja tu ..roho yangu itatulia.."alitamka huku akiwa kama anahaha mithili ya Kuku anayetaka kutaga.
Nilibaki kushangaa kwa jinsi Alivyogeuka kwani sikuwahi kumtegemea kama ni mtu wa namna hiyo.
"Naomba nifungulie mlango niondoke nitakuja siku nyingine maana kuna wageni wanakuja kunitembelea..." nilimwambia
Baada ya kumwambia hivyo, alikaa kimya mithili ya bubu huku akinisogelea.
Nilijaribu kusogea nyuma kinyumenyume lakini mwishowe nilijikuta nimejishikiza kwenye ukuta hali iliyomfanya Dicky anikumbatie kwa nguvu sana.
"Baby...baby...please ...nakupenda...." alitamka huku akianza kunishika kwenye maziwa yangu ambayo ndo kwanza yalikuwa yameanza kukua huku yakiwa yamechongoka mithili ya Yai.
Baada ya kunishika, nilisikia mshutuko mkali sana ambao sikuwahi kuupata , nilianza kuhangaika ili nijinasue mikononi mwake lakini alikuwa na nguvu ndipo nilipoamua kumtisha.
"Niache...!, niache nitakupigia kelele kuwa unanibaka...!, utafungwa miaka 30..., niache mimi" nilitamka lakini hakutaka kuniachilia huku akiingiza mkono wake ndani ya brazia yangu...
JE NINI KILIENDELEA?
NJOO WHATSAP 0781111897 KISHA ANDIKA " KUKOMOANA"
KUPATA
MWENDELEZO MPAKA HAPO MWISHO
Watsapp Group ๐โฌ๏ธ
https://chat.whatsapp.com/IXRdSC9HY5I4DlI8NnT8tP
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi



Maoni