Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*VERY HANDSOME*   *๐ŸŒธLover boy๐Ÿ’“๐Ÿ’“ *_________________________________*  *SEHEMU YA 06*
Gonga94 ยท Stories

*VERY HANDSOME* *๐ŸŒธLover boy๐Ÿ’“๐Ÿ’“ *_________________________________* *SEHEMU YA 06*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Enhe kumbe mimi sijui ndio nasikia leo nilimjibu
Ndio hata mimi nina kazi yangu napokea mshahara nimekuja kujiendeleza tu nilisoma mwisho diploma...
Ohoo basi ndio maana una akili sana nilimjibu
Kawaida tu mbona hata wewe unazo mara mvua ikakata nilimuaga Gerson nikawa nafungua mlango ila nikashindwa..
Ngoja nikusaidie kufungua alisogea akapitisha mkono ili afungue mlango tukajikuta tunagusana...
Nilihema kwa kasi hadi mapigo ya moyo ๐Ÿ’“ wangu Gerson akasikia.
Alifungua mlango wa gari ๐Ÿš— kisha akatabasamu ๐Ÿ˜ kuna mtu unampenda? Aliniuliza
Hapana simpendi mtu yoyote kwanini umeniuliza hivyo ?
Kwa sababu macho na moyo ๐Ÿ’“ wako vinaongea na ninasikia.... Gerson aliongea
Umejuaje? Niliuliza
Najua tu kwasababu nimesomea na saikolojia kwahiyo naelewa...
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Upo vizuri hongera sana nilimjibu huku nacheka..
Asante ๐Ÿ™ ila ni vizuri ukamwambia huyo unayempenda ukweli kabla hajaambiwa na wengine....
Nilishusha pumzi kisha nikamuangalia usoni Gerson....
Unadhani ni rahisi kumwambia mtu nakupenda Gerson ๐Ÿค” ....
Yah chelewachelewa utakuta mwana sio wako.
Sawa nashukuru kwa kunileta nyumbani.
Usijali ila usimwambie mtu kama nina gari au nimekuleta nyumbani.
Sawa....
Nilishuka kwenye gari nilimuangalia anavyogeuza hadi gari likapotea ndipo na mimi nikaingia ndani..
Nilienda chumbani nikajitupa kitandani akili yangu ikawa inamuwaza sana Gerson nikajikuta nampenda sana kiasi kwamba akisimama na mtu au kuongea moyo ๐Ÿ’“ wangu unaenda kasi kisha nachukia sana..
Moyo wangu tulia naomba usipende tafadhali huyu kaka atakuja anitese kwa kweli...
Moyo koma hivi vitu vina wenyewe nilipitiwa na usingizi hadi wenzangu waliporudi nyumbani..

We nawe hebu amka unalala kwani unaumwa mbona umeondoka chuo mapema vipi unaumwa? Penina aliniuliza.
Ndio nilibanwa na tumbo la kuhara we nikaona cha kufia nini ngoja nitimkee
Pole haya pumzika maana tumeshangaa ghafla tu umeondoka kwenye discussion ...
Asante ๐Ÿ™ niliwadanganya nikaendelea kulala kumbe wivu tu unanisumbua tena kwa mtu ambae hata sijawahi wala hajawahi kunitamkia neno nakupenda...
Usiku usingizi ulikata nikaamka nikakaa sebuleni nikawa naangalia tv huku nasoma meseji ikaingia kwenye simu yangu..
Vipi unaendeleaje na tumbo by Gerson maana sikuwa na namba yake..
Naendelea vizuri kidogo nashukuru.
Sawa basi kesho nitakuja nikuone katibu wangu....
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Usijali hadi kesho nitakuwa sawa nahisi nitakuja chuo..
Sawa nikutakie usiku ๐ŸŒƒ mwema.
Na kwako pia nilifurahi baada ya kuchati na HB wa darasa...

Kesho yake asubuhi niliamka mapema nikaelekea chuoni nikawaacha wenzangu wanajiandaa.
Nilifika mapema nikamkuta Gerson yupo darasani amekaa na laptop ๐Ÿ’ป yake yupo bize..
Nilimsogelea nikamsalimia sasa hivi nilikua nishamzoea..
Hivi unalalaga hapa hapa chuo au ?. Nilimuuliza kwanini umeniuliza hivyo
Maana nashangaa umewahi ghafla nielekeze basi maswali mliyojadiliana jana...
Itaendelea
Tangazo - CHUKUA BONASI YAKO
CHUKUA BONASI YAKO
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*VERY HANDSOME* *๐ŸŒธLover boy๐Ÿ’“๐Ÿ’“ *_________________________________* *SEHEMU YA 06*

Enhe kumbe mimi sijui ndio nasikia leo nilimjibu
Ndio hata mimi nina kazi yangu napokea mshahara nimekuja kujiendeleza tu nilisoma mwisho diploma...
Ohoo basi ndio maana una akili sana nilimjibu
Kawaida tu mbona hata wewe unazo mara mvua ikakata nilimuaga Gerson nikawa nafungua mlango ila nikashindwa..
Ngoja nikusaidie kufungua alisogea akapitisha mkono ili afungue mlango tukajikuta tunagusana...
Nilihema kwa kasi hadi mapigo ya moyo ๐Ÿ’“ wangu Gerson akasikia.
Alifungua mlango wa gari ๐Ÿš— kisha akatabasamu ๐Ÿ˜ kuna mtu unampenda? Aliniuliza
Hapana simpendi mtu yoyote kwanini umeniuliza hivyo ?
Kwa sababu macho na moyo ๐Ÿ’“ wako vinaongea na ninasikia.... Gerson aliongea
Umejuaje? Niliuliza
Najua tu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/very-handsome-lover-boy-_________________________________-sehemu-ya-06

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi very-handsome-lover-boy-_________________________________-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.9K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.53K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.93K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.65K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest