BODY๐COUNT๐ Part 5.
On my laptop ๐ช, trying to remember the password after being confused ๐. Dakika ishirini baadae bado sikuwa nimekumbuka password ya kuifungua๐. Hii ni baada ya kupata another three boxes written valium, zaleplon, triazolam and zolpimist extended release ๐ฒ๐ฒ. Nilianza kushindwa kilichokuwa kinaendelea ๐ค. Mara hii sikutaka kumuamsha Recho ๐ช.
Nilishinda kwa laptop only to find out that she had changed the password,, Wait mbona niandikie mate na wino ungalipo๐ค. "Where is my phone?" I asked myself.
Haraka nilifika kwa room nikampata Recho ameamka yupo kwenye simu yangu yuaisorora๐ช.
ME: Can I have my phone please,, just a minute?
HER: Babe kwan bado uko na number ya Ian,, naona amekutext hapa et uwe careful,, why๐ค??
ME: Ian?? Who's Ian?
I pretended not to know him,, at that time nilikuwa nimeanza kufunguka macho๐. Nilichukuwa simu na mara hiyo nikaingia Google, oh my gosh ๐๐ญ๐ญ.
I was left speechless after I found the meaning of valium and the other pills๐ญ. Valium is a pill for sleeping, but when taken overdose, it can kill you slowly ๐ญ๐. Hii dawa ndo watu huekewa kwa vyakula,, first, inaua memory yako usikumbuke chochote๐ญ, kwa hiyo mtu anaweza kuwekea kwa food na aende,, after one week ndo wewe unakufa, no one will suspect๐.
But mbna Recho anifanyie ivi๐, nimemkosea nini mm?? Obviously I knew ni yeye koz hakuna mtu nilikuwa naye before ๐๐. Hata hivyo I decided to act smart but my heart couldn't manage to bear the pain๐ญ. Sometimes I found myself crying rivers๐ญ. Ndio nilimkosea mamangu wa kambo, lkn sidhan kama nilihitaji kupitia hayo mateso yote, after paying Recho's bills for two good years ๐.
A week later, Recho was still thinking that nilikuwa bado sikumbuki chochote,, this chick could talk to anyone, flirting, organizing dates with other guys, alijuwanga ikipita siku moja nitakuwa nimesahau๐ญ.
"Do you deserve this Sky? Si una nyumba yako, what is holding you here, already umejuwa haupendwi๐๐ญ" my heart whispered to me๐.
Kweli niliona kuishi mbali na Recho ni sawa dunia na kuisha๐ญ. I loved that girl with my everything, kilichokuwa kinanipa kiwewe nii... Mbna anifanyie ivo๐ญ??,
Siku mbili baadae moyo wangu ulishindwa kuweka uchungu uliokuwa mzito kama nta๐๐. I decided to approach her..
HER: Babe, you know I love you right๐๐. Kwanza jana hukunipa ile pesa nilikuomba ya kuenda party ya classmate wangu๐ช๐ช.
ME: But si pia wewe unajuwa sijaingia kazi kwa siku tatu sasa๐. Nikiingia nitakupa๐.
HER: Si ukope babe,, hata kama ni kwa zenka, nimeona unapewa 10k๐. Ukiingia kazi utawarudishia๐.
"You mean nikope pesa nikupatie uende party๐ค, Recho what about our future??" I asked.
She laughed loudly, "okay relax babe, no one knows about tomorrow right? Let's enjoy today๐๐, tommorow is not promised" she charmed .
ME: It's okay, ebu hiyo simu yako๐.
Hapo hakuresist koz alijuwa hata akinipa password yake, keshoye nitakuwa nimesahau๐. Alishangaa kuona sijamuuliza kitu lakn nimeifungua simu,, sema kuingia kwa watzap๐ญ๐.
Hehee, hapo ndo kulikuwa na kila kitu, Recho was chatting with a girl saved Samantha ๐ฒ. They were discussing about me๐ญ.
RECHO: please why is he taking too long, you said in three days atakuwa amekufa...
SAMANTHA: It seems damu yake ni nzito sana dear,, Be patient ๐. Sky gonna finally be death๐๐.
RECHO: Lakn haoneshi dalili,, kwanza kwa bed, this boy is a monster ๐.
Samantha: Chunga asikufie juu yako,, Jacob, Smith na Ricky watamiss hiyo nunu yako mammy๐๐.
Recho: Mbona umesahau Carly na yule sponsor wa fourth year๐๐. Aki hawa watu wataniua๐๐..
Recho alishangaa kuniona nikilia,, "Babe after all these two years ๐ญ, what did I do?" I asked.
HER: What babe,, why are you crying ๐ฒ. Let me see? Oh my God, oh my ๐๐, babe ulijuwaje password ya WhatsApp ๐. Ngร i (she sat down).
I said nothing, just took my phone, few clothes and my laptop nikaishia kwngu๐๐. It seemed like love wasn't my thing ๐ญ. That was my hardest and painful moment in my life ๐ญ. Nilifikiria kujiua huenda ningeebukana na machungu ya dunia๐.
Hata heri ya KANTHA, sasa mbna Recho anataka kuniua๐ญ, what have I done ๐๐ญ, nililia kama mtoto lkn hakuna aliyekuwa karibu kunivuta machozi๐๐ญ.
Recho hakuwacha kunifwata,, this time aliogopa kuja kwangu,, kukol tu na matext..
Nilistay kwa nyumba for three days, no food no anything, just crying and sleeping.. hii aliwatia jirani wasiwasi ikabidi wakamwambia caretaker wetu๐๐,, saa tatu usiku hivi, niliskia mtu akipisha mlangoni๐ญ. Kuenda kuamka kwa bed nikaanguka,
ME: Rechooo, sitaki tena๐ญ๐ญ.(bado niko chini)
"It's me Essie, caretaker ๐. Please open the door for me ๐, what happened??" She asked..
Sauti yangu ilinisaliti kwa mara ya kwanza,, nilifungua mdomo ukabaki ivo,, kufungua macho nikamwona Esther amesimama mbele ya bed yangu๐.
HER: SKY what is wrong,, amka.. Ngร i Shillaaaaah๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ, please come..
she called my neighbor who had moved to our plot recently.. they carried me outside. Shillah akaleta juice, waliniambia baadae et nilikunywa 5litres pekee yangu๐๐.
Essie (caretaker) asked Shillah to check out on me,, hakuwa anaenda kazi kwa hiyo alishinda akinitembelea the whole day..
Shila : Sky leo utakula nini?? Mm nimepika waru kwa wali๐.
ME: Me niko sawa,, nisikue mzigo kwako please.. you are being so nice to me..
Shillah: but am not complaining ๐. You know in this world,, nothing is permanent, leo naeza kuwa nazo kesho niombe๐. Alfu nilikuwa na swali pia?
Simu yangu ikagiriza kwa bed,, "sorry just a minute ๐" nilisema huku nikiingia nyuma ya pasia..
Shillah: ๐ค๐คmbna tena ukachange sura?? Kwan ni nani alikuwa anapiga??
ME: Don't mind Shee, okay uliza sasa, ulikuwa na swali gani๐.
HER: Mbna the other day ulikuwa ivo,? What is eating your mind up.. ulifutwa kazi, ulifiwa na relative ama ulikuwa mgonjwa??
ME: So kuna huyu dem..........
Niliwekelewa kofi na Shilah ๐ญ๐ญ.
HER: Hata nilidhani ni kitu ya maana,, nani sahi huwa analia jua ya dem๐ช๐ช.. Sky are you mad,, yani mapenzi ndo inataka kukuua๐. Usiniambie chochote kuhusu mapenziโ๏ธโ๏ธ.
Hapo ndo Shee alinifungua macho,, "yani mm najililia huku pekee yangu na mwenye amenicheat ako tu happy na wanaume wengine,, no more trusting.. in a relationship, everyone cheats. Kulia ni uamuzi wako wewe mwenyeweโ๏ธโ๏ธ" nilijiambia mwenyewe..
Shee: What are you thinking about?? Food ndo hii๐.
ME: So you said no one is loyal nowdays๐ค๐ค.
HER: Ni wewe umesema sio mm,, but kupata msee loyal ni ngumu kama kupumua na mdomo ulimi ukiwa nje na umefunga mapuaโ๏ธ. Wait so unajaribu๐.
ME: Oh my goodness, it's impossible ๐.
Shee: Yes umesema it's impossible ๐ค๐ค..
Recho akakol tena๐ช๐ช.. "Sky ignoring someone will not make her regret, let her know that you are still doing fine๐๐" she begged me to just receive the call..
ME: Hello?
VOICE: beb please,, am missing you, come home๐ญ๐ญ. Let's talk and solve this.. am sorry ak๐ญ.
ME: Sorry I died the way you had planned.. and for your information, Sky is someone's now๐ช๐ช. Continue entertaining those men with your ๐...
Shee: ๐ฒ๐ฒ๐ฒ.
RECHO: Whaat๐ญ. please ni mabeshte wangu ndo walikuwa wananiadvice kukuacha๐๐. Ilikuwa ngumu kudate na msee alidrop out form two Na mm niko University ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ.
ME: So nimegraduate lini ndo unanitaka tena??
I hanged up the call, "Shee can you imgn?" I asked her ๐ช.
HER: eti uko na mtu already. Who??............
To be continued . Leo usipite bila kuweka alama bana๐๐. Then am having hard time kuandika story jioni aki wakuu ... masaa ya job imechange so naingia kejani late sana๐ญ. Hadi nimeanza kufikiria kutake break kidogo๐. Nimetaka advice yenu, twendelee na morning episode pekee ama tuchukue break kiasi๐ฅฐ. Wewe unaona aje?
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi








Maoni