Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ†. part 9.
Gonga94 ยท Stories

BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ†. part 9.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Oh god,, hapo ndo nilikumbuka nilikuwa nimepewa barua na Essie ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Tangu niifiche kwa nguo zangu ndo niisome usiku na nikasahau๐Ÿ˜ญ. Kwani Essie alikuwa ameandika nini???. Adi mm mwenyewe nilishtuka kuliko shillah.

ME: Calm down please,, hatutaelewana kama utaendelea kushout ivi๐Ÿ™๐Ÿผ. Hata mm sijaisoma hiyo barua๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ. Let me see...

HER: see what? Sky hujawahi nidanganya๐Ÿ˜ช. What's going on between you and Essie??

For the first time nilijuwa Shee was a short tempered girl.. she neither allowed me to read the letter nor listened to me..

"Hey Shee it seems umejam sana,, go relax tutaongea baadae, koz wewe unataka nikwambie ukweli na nikianza kuongea unanikatiza tena๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ" I calmly requested.

Alienda akakaa kwake for 1hr ndo nikaamua kwenda huko๐Ÿ’“. For real I didn't know what Essie had written. Pia Nilikuwa na haja sana ya kujua..

ME: Hey Shee,, can I come in please..

HER: Wait kwanza am naked ๐Ÿ˜ฑ. Okay ingia sasa๐Ÿ˜ช.

ME: You mean it's a crime to see your fruitful body......

HER: Sky usianze zako tena.. niambie.

Shee hakuwa na viti pia,, so I asked her if neza kaa hapo kwa bed ๐Ÿ™๐Ÿผ. Hata kama alikubali, niliona bado alikuwa amenijamia๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ.

HER: Unaonanga mm nikikuuliza ruhusa ndo nikae kwa bed yako?? Keti hapo tu...

ME: Please Bess,, you are being too harsh to me ak, sijui hiyo barua inasema nini, nilipewa jana nikasema ningeisoma jana usiku but nikasahau, can I see it๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ.

Tulikaa na Shee masaa matatu bila kusuluhisha mambo,, for me that was a red flag, huwezi date na mtu hataki mzungumze wakati Kuna misunderstanding ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ช.

HER: Why are you silent sky,, ongea nisikie.

ME: Am going to my house.. if you feel like I also have go through the letter,, utaniletea sawa.. it seems mm kukaa kwako imekuwa budden๐Ÿ™. Lkn juwa tu mm sijui chochote kuhusu hiyo barua umekatalia๐Ÿ’”๐Ÿ˜ช.

"So ivo ndo umeenda?? Haukunywi chai??" Shee aliniuliza nikiwa natoka mlangoni..

ME: Chai haina faida kama hatuko in good moods.. hata wewe unajuwa hilo lakn hutaki kuelewa๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ. Hivi ndo wewe hubehave mkikosana na mtu???

HER: what do you mean??

Nilitoka nikaingia kwangu only to find Essie sitting on my bed๐Ÿ˜ช. Sasa hizi ni gani tena, sikumuongelesha I just took my phone nikaamua kuingia base ya pool๐Ÿ’ช.

Nikiwa base text iliingia kutoka kwa Shillah.. "so haukuingia kwako sky, tena unaacha mlango ivo sasa ni watu kuingia tu na kutoka๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช,?? "

I replied, "who has entered my house again?".

HER: Who else can enter your house kama sio huyo Girlfriend wako๐Ÿ˜ช!

ME: Oyah shillah,, hadi sahi mm sijajua nia yenu kwangu๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ. Kama bado ako huko, enda muongee muambiane ukweli, nikirudi utaniambia๐Ÿ˜ช.

Nilipoona text ingine ikabidi niilenge,, sikuwa kwa mood ya kuchat. Kidogo ingine ikaingia๐Ÿ˜ฑ
"Eti tuongee,, niongee na nani,, naenda kumtoa huko akitaka aambie mamake anifukuze kwa hii plot,, Sky nyumba yako sio ya kila mtu๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช" bado sikurply..

Nilikaa base mpaka saa tano ikielekea saa sita mchana,, in my mind nilijuwa Shee ataacha kunipikia so nilienda kujipikiaโœŒ๏ธโœŒ๏ธ. Kufika nilipata ameweka kufuli kwa mlango yangu๐Ÿค”๐Ÿค”. Sikutaka niende kwake tena but ikanibidi..
Ngo ngo ngo

HER: Nani huyo,, wacha nikuje... Akh nilikwambia hapa usikongange mlango,, ingia tu, wewe ni tofauti na wengine ๐Ÿค—.

ME: Pole basi,, uliniwekea ufunguo??

SHEE: Ingia ukae kwanza,, nataka tuongee kidogo๐Ÿ™. Nimeona there's no need ya kunyamaziana๐Ÿ’“๐Ÿ’“. Sisi ni watu wakubwa.

ME: I have to cook please.. wewe kam kwangu kama unataka tuongee๐Ÿ˜ช.

Her: Haya basi nenda ukafungue na kijiti๐Ÿ˜ช. Sina ufunguo, ju inaonekana wewe pia umependa huu mchezo wa kunyamaziana sindio??

Hapa kila mtu alikuwa na mahasira zake,, hakuna aliyetaka kupembeleza mwengine,, ningejuwa shee kumbe kalikuwa kamepika nyama that day๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ. Sijui kwann nilikuwa nahastate kukaa๐Ÿ™ˆ. Mtoto alinipakulia lunch nikajipata nimeanza kusmile kimoyomoyo๐Ÿ’“.

ME: You mean all this is for me and myself alone??

SHEE: We kula sky๐Ÿ˜ช.

Kuuma ugali mara ya tatu, shee aliamka na kuanza kunipangia nguo zangu kwa bag yake๐Ÿ˜ฑ. "Hey nguo zangu zinado nini kwako? What are you doing?" I asked.

Shillah: Sky utakula ama utashinda hapa ukiongea๐Ÿค”. Ebu leta hii ugali uongee umalize kwanza ndo ukule๐Ÿ˜ช.

I don't know why she was acting so serious like that,, hiyo iliniforce nipush na ugali hadi ukaishaโœŒ๏ธโœŒ๏ธ. "Nijibu sasa,, Ngร i hadi ulibeba gas na sufuria zangu๐Ÿ˜ฑ?" Nilishangaa.

Sasa sikuwa nimeobserve kila mahali๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ. Shillah had moved everything to her house; mattress, sheets and pasia yangu๐Ÿ˜ฑ. "What is going on??? Mbna umehamisha vitu zangu??"

HER: From today,, tutakuwa tunakaa hapa na wewe๐Ÿ˜ช. Kama mtu anaweza jifanya hapa et ju yeye hukuwachia rent...... Sky si ulisema hujui chenye huwa anataka kwako? Good, tumgonjee humu humu ndo tujue chenye huwa anataka๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.

ME: Shilla Shilla Shilla.. sasa tutalala aje wawili kwa bed moja๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ. You know very well that weren't dating........

Her: Ngoja ifike usiku nitakuonyesha venye tunafaa kulala,, barua ndo hiyo๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.

,๐Ÿ’”๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ. Don't forget to LIKE ๐Ÿ˜ญ,, mlisema sina nyota ya mapenzi, hii ni nini๐Ÿ˜‹๐Ÿ™ˆ.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Sasa nakupenda fully episode
Sasa nakupenda fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ†. part 9.



Oh god,, hapo ndo nilikumbuka nilikuwa nimepewa barua na Essie ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Tangu niifiche kwa nguo zangu ndo niisome usiku na nikasahau๐Ÿ˜ญ. Kwani Essie alikuwa ameandika nini???. Adi mm mwenyewe nilishtuka kuliko shillah.

ME: Calm down please,, hatutaelewana kama utaendelea kushout ivi๐Ÿ™๐Ÿผ. Hata mm sijaisoma hiyo barua๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ. Let me see...

HER: see what? Sky hujawahi nidanganya๐Ÿ˜ช. What's going on between you and Essie??

For the first time nilijuwa Shee was a short tempered girl.. she neither allowed me to read the letter nor listened to me..

"Hey Shee it seems umejam sana,, go relax tutaongea baadae, koz wewe unataka nikwambie ukweli na nikianza kuongea...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/body-count-part-9

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi body-count-part
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 3.
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 3.
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 2
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 2
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ†  part 10
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 10
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 1.
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 1.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 4.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 4.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 7
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 7
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 5.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 5.
BODY๐Ÿ‘ COUNT๐Ÿ† Part 8.
BODY๐Ÿ‘ COUNT๐Ÿ† Part 8.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 6.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 6.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.24K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

1.06K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

853
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

444
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

329
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

326
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

295
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

237
SHAMIRA 105 na 106

SHAMIRA 105 na 106

205
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

187

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.8K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.53K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.95K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.78K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA: Post Mpya
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:
@majario LIVE

1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa...

SHAMIRA 107 Hadi 109 Post Mpya
SHAMIRA 107 Hadi 109
@majario LIVE

Sehemu ya 107 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema acha na masuala ya mtoto bwana apa nipo mimi na wewe plsss mpenzi . Nikajikuta nacheka tu akanmbia daah ukicheka...

Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™ Post Mpya
Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™
@majario LIVE

โ€œSawa, subiri kidogoโ€ฆ kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, kila mtu anasherehekea halafu sasa wanaambiwa: 'Hapana, samahani, Morocco ndio washindi 3-0!' Unatania?" "Yaani, hii ndiyo...

 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
@majario LIVE

O8 Unamaanisha hii simu๐Ÿ“ฑni yangu ๐Ÿค” nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru ๐Ÿ™ sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie....

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72
@majario LIVE

Sehemu ya 70 Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange...

LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest