Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
42 views
VYOTE NDANI GONGA94
CHAKULA CHA MUME
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
CHAKULA CHA MUME
Dadaangu Siku zote kwenye maisha ya ndoa ,mume huwa ni mgeni rasmi na siku zote mgeni rasmi hufanyiwa maandalizi rasmi.
Mke akimzoea mume humuona wa kawaida na kamwe wayo la mgeni rasmi hutoweka akilini mwake na kumfananisha na watu wengine katika nyumba.
Labda akijua au kukaririshwa kuwa mlo ni Mara tatu tu kwa siku, pengine kwa kufuata mila makuzi na mazingira Anayoishi na kushindwa kumfanyia mume yafuatayo
chakula chepesi cha asubuhi. ..
Hii ni kabla ya chai pindi mume aamkapo kitandani na kumaliza swala za asubuhi (chemsha tumbo)
??Chai ya Rangi yenye viungo asilia vya chai
?? Uji mwepesi wa mchele au ulezi
?? maziwa fresh
Chochote utakacho Andaa fuatisha na tunda kdg
Penda kuandaa vitafunwa vyako mwenyewe, siyo kutegemea mkate dukani kila siku
Mume atafunga choo
Bure dadaangu
Kadhalika usitegemee vitafunwa vya barabarani ambavyo hujui maandalizi yake.
Epuka vitafunwa vya kukaanga Mara kwa Mara, bali pendelea (natural food) yaani vitafunwa asilia. Pia epuka Kumlisha mume kiporo hata kama anapenda.
Chakarika apate mbadala wake na hicho kiwe Mara moja atakipenda zaidi.
MTUNZE MUMEO DADA
Hakika mwanamke mwema ni uwaridi mbele ya Mumewe, hupenda kuliangalia kila Wakati na Ndio bora ya starehe ya dunia kwa Mumewe.
Yapo mengi natamani wanawake wajifunze na wajue kuwa hakuna mwanaume bahili kwa Mwanamke mwenye ujuzi wakuteka udhaifu wa mume.
Dada ujachelewa bado chukua hatua ya kujiunga na group ujifunze mengi kuhusu mausiano na ndoa Bora.
Tukutane kwenye group
0769228130
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke har...
A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame — Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. It’s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a
. Harivansh Rai Bachchan, one of India’s most respected Hindi poets, looks calm and dignified, while his son Amitabh sta...
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just...
Dadaangu Siku zote kwenye maisha ya ndoa ,mume huwa ni mgeni rasmi na siku zote mgeni rasmi hufanyiwa maandalizi rasmi.
Mke akimzoea mume humuona wa kawaida na kamwe wayo la mgeni rasmi hutoweka akilini mwake na kumfananisha na watu wengine katika nyumba.
Labda akijua au kukaririshwa kuwa mlo ni Mara tatu tu kwa siku, pengine kwa kufuata mila makuzi na mazingira Anayoishi na kushindwa kumfanyia mume yafuatayo
chakula chepesi cha asubuhi. ..
Hii ni kabla ya chai pindi mume aamkapo kitandani na kumaliza swala za asubuhi (chemsha...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chakula-cha-mume
Maoni