Menu






Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
Tangazo - EARN MONEY TO DAY
EARN MONEY TO DAY

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 16

30th Nov, -0001 Views 24

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ??

NO: 16

Tulipomaliza walikuwa wameshiba tuliwabeulisha baada ya hapo tuliwabembeleza wakalala

Tuliwalaza kisha mama Chris alikuwa anataka kujua uliwezaje kuja nao toka kwenu

Nilimwambia nilipanda tax kisha alinipeleka hadi stend niliomba msaada wa kupokewa mabegi na dereva wa tax hadi kwenye bas

Kisha nikamfuata nyuma nikiwa nimewabeba mwenyewe

Nilikuwa sitaki mtu anisaidie watoto nilikuwa naogopa kuibiwa nibora waniinie mabegi ila sio watoto

Hadi wenye kiti nawanangu niliposhuka mbezi pia niliwaomba makonda wanishushie nikachukua tax waliniwekea kwenye tax

Hadi naingia hapa kwanza nilianzia mahali tulipokuwa tunakaa sikumkuta na dereva wangu wa tax hakuniacha

Hadi chuoni nilipoambiwa Chris yupo ndio nikamruhusu anishushe

Chris pia alinipokea mabegi tu watoto hakuweza kuwagusa

Nilipofika hapa ndipo nikawaluhusu kwakuwa nilijua hapa ni nyumbani kwao

Mama Chris alifurahi sana na kunisifu kwa kuniambia wewe ndio mama bora unaweza kuwalinda wanao

Nilifurahi kusikia kisha Chris akaniambia twende chuoni kwenu tufuatilie

Nikamwambia sawa tulimuaga mama na kwenda chuo

Alihakikisha naludishwa chuo tena

Nayeye alikuwa fild tulikuwa tunapendana sana

Asubuhi ananipeleka chuo kwanza mimi kisha anaenda zake fild yeye

Na mamaake aliajili wadada wakuwatizama kina carita

Na ilikuwa na amani sana niliwasiliana na mama na kumuambia kuwa watoto wamepokelewa na mimi nimeludi chuo tena

Mamaangu alifurahia sana na nilimwambia wamepewa majiba kulwa anaitwa carena na doto carita

Mamaangu alifurahia sana na kuniambia mtakuwa na maisha bora sasa nashukulu mungu kwa hilo

Nikamwambia pia nimevishwa na pete ya uchumba

Mama aliniambia funga na ndoa ya kanisani ukija huku uje ukiwa umwfunga ndoa ila sio kwa sasa

Nikamuuliza kuwa ulisha mwambia kuwa hawa watoto sio wahuyo mbaba

Mama akanijibu hajui bado na sitaki ajue sasa

Nilifurahi nikamwambia ukinihitaji nipigie hii namba au kama unashida yeyote niambie

Mamaangu alifurahi sana na kuniambia naradhi nawewe mwanangu kuwa na maisha mazuri

Nilifurahi sana niliendelea na chuo na Chris alipomaliza fild

Endelea kufuatilia.....................
Tangazo - Bonasi ya kibabe sana asilimia 500

Bonasi ya kibabe sana asilimia 500
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 16  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ni-hisia-taam-sana-no-16



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
MWENDELEZO SOMA HAPA

Maoni

You're not logged in


Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ni-hisia-taam-sana-no
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ????  NO: 03
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ???? NO: 03
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ??  NO: 04
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 04
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA   NO: 15
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA NO: 15
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ????  NO: 18
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ???? NO: 18
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA  NO: 17
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA NO: 17
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest