Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* 17 -- 18 Chapter 17  Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi
Gonga94 Β· Stories

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* 17 -- 18 Chapter 17 Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

Elton alianza kunifundisha mambo mengi hasa. mapishi. Akanifundisha kupika wali, pilau, ndizi pamoja na mchuzi wa nyama & kuku. Aliniambia anataka niwe nampikia siku akichoka baada ya kurudi kazini.

Apo tayari mwezi ukaisha na ule mkataba wetu uliishia pale. Elton alilipa deni langu lote na Nilikuwa huru kusafiri nje ya Arusha. Ila sikuona kama kuna haja ya kuondoka ikiwa furaha yangu. ilikua ni Elton. Hata ule mpango wa kurudi nyumbani niliuhairisha.

Sasa siku moja ilikuwa Jumapili, Hatukuenda popote. Tuliamka mapema, tukapika chakula cha mchana pamoja, tukala kisha tukakaa sebuleni kuangalia movie.

Nililaza kichwa changu kwenye mapaja ya Elton yani full burudanil Ilikua ni kawaida yetu kujiachia kiasi kile. Mara ghafla mlango ulifunguliwa na mtu ambaye hakubisha hodi.

Nilipogeuka nikamuona mwanamke mmoja mwenye umri sawa wa mama yangu. Elton alipomuona, alishtuka Akasema taratibu, "Mom"

Ndo nikajua oooh kumbe huyu ndiye mama yake Elton. Nilifurahia kumuona mama mkwe wangu mtarajiwa ila sasa Mama mkwe mwenyewe alini nyali. Hakufurai kutuona pamoja akauliza, "Na huyu mwanamke ni nani?"

Elton akatabasamu "Mama, huyu ni Gina mpenzi wangu"

"Mpenzi wako?! Kwa ruhusa ya nani? Nani amekuruhusu uwe na mwanamke wa namna hii?" Mama ni anafoka huyoo

Elton akasema "Hakuna aliyenipa ruhusa lakini Mom, mimi nampenda Gina"

"Noooo! Siwezi kukubali huu uhusiano. Chochote kinachoendelea baina yenu kiishe. mara mojaaa!....na wewe binti! Kesho nisikuone kwenye hii nyumba! Uondokeee kama sijakuondoa mimi

Elton akasimama "Mom, huwezi tu kuja nyumbani kwangu ghafla na kuniambia nivunje uhusiano wangu"

"Kama mimi ni mama yako, utasikiliza. ninachosema. Kama sivyo, basi endelea na huu upuuzi wako. Kufikia kesho asubui nataka huyu

msichana awe ametoka hapa. Na unajua nilivyo Elton Baada ya kusema hivyo, mama yake akachukua begi lake na kuelekea chumba cha wageni.

Nilibaki nimesimama pale, nikitokwa machozi. Elton akanigeukia na kuanza kunibembeleza "Please usiweke maneno ya mama moyoni. Nitazungumza naye"

"Lakini Elton, ni mama yako. Lazima umsikilize. Sitaki kuwa chanzo cha nyie kugombana"

"Gina nakupenda Manaa. Sitaki mwingine zaidi yako. Nataka uwe mama wa watoto wangu. Nitazungumza na Mom vizuri, ataelewa! Please niamini okay??"

Nikatikisa kichwa "Sidhani kama ataelewa Elton. Alinionyesha chuki tu kwa macho. Ila maybe ukiongea atakuelewa kama ulivyosema basi ngoja tuone Nilijikuta nikitoka sebuleni nikielekea chumbani uso umelowa machozi.

Elton hakuweza kuvumilia machozi yangu, alimfuata mama yake kwenye chumba cha wageni. Nikaanza kusikia wanabishana na kwa. jinsi Elton ana hasira za karibu nikaona niende nikaamue ugomvi kabla hajafanya jambo baya. Nilisogea hadi mlangoni ila nikasita kuingia baada ya kusikia kile walicho kiongea

Mama Elton alisema "Umesahau kwamba tulishapanga ndoa yako? Tushachagua msichana mzuri, mwenye heshima, kutoka familia nzuri. Sasa ni upuuzi gani huu unafanya??"

"Sijali kuhusu iyo ndoa. Huyo msichana

mwenyewe hujawai kumuona, sijawai kumuona na yeye pia hajawai kunional Unaongea tu na wazazi wake kwenye simu, una hakika gani kama ana heshima na adabu! Come on Mom. Nampenda Ginah ama huoni??"

"Yawezekana kweli sijawal kumuona huyo binti ila Baba yako na Baba wa huyo binti walikulia kijiji kimoja walipokua wadogo. Yani sio urafiki tena bali ni undugu walionao. Na toka zamani

waliapa na kuahidiana kuwa lazima watoto wao waje kuoana. Kwa bahati mbaya walipokuja mjini wakapotezana, ila walipokutana tena. wakapanga kuendeleza ndoto zao. Kwaiyo Elton

hili swala haliepukiki! Lazima utamuoa uyo binti utake usitake. Alafu Huyu msichana ulie nae. hana hadhi ya kuwa mkwe wa familia yetu!"

Elton akapiga kelele, "Mom please! Nampenda Gina, siwezi kumuacha"

Mama yake akamwangalia kwa ukali "unanifokea sio?? Kwa taarifa yako ndoa lazima Itafungwa na Kesho asubuhi nataka huyu Gina. asiwepo hapa. Usinifanye nifanye kitu kibaya. Unajua vizuri nikiwehuka nakuaje"

Niliposikia maneno hayo, moyo wangu ulivunjika vipande vipande. Nilirudi haraka chumbani, nikaanza kulia kwa uchungu zaidi. Elton alikuja. baadaye usiku akajaribu kunifariji.

"Please usiogope. Nitazungumza na mama tena, usije ukafikiria kuondoka"

"Sawa" niliitika Lakini ndani ya moyo wangu nilijua kuwa nilipaswa kuondoka. Sikupenda kuona mama na mwana wanagombana kwa ajili yangu.

Asubuhi ilipofika, niliandaa kahawa ya Elton kama kawaida! Alikunywa kahawa kisha alinibusu na Akaniambia nikae tu ndani, atarudi mchana then akaenda kazini.

Sikujali alichosema, Nilianza kukusanya virago vyangu haraka haraka maana Nilijua njia pekee ya kumaliza ule ugomvi wa mama na mtoto ni mimi kuondoka.

Mama Elton alikuwa bado amelala kwa hiyo nilivyo ondoka yeye hakujua kabisa. Nilikodi boda ikanipeleka mpaka stendi nikiwa sijui niende wapi. Nikawaza nirudi nyumbani??? Ama niende kwa nani??

Nikiwa kwenye mawazo mara kuna gari jeusi lilisimama mbele yangu. Mwanzo nilidhani ni

Elton kanifuma ila baada ya kioo kushushwa nikahisi kujikojilea. Alikuwa ni Baba yangu, Nikajiuliza "amejuaje niko hapa?"

Unajua nini kilitokea baada ya hapo? Subiri kidogo... nakuja.

Sehemu ya kumi na nane

Nilikuwa na hofu sana nusu nikimbie "Ginah, Ingia kwenye gari sasa hivi" Baba alifoka nikaona hapa hakuna haja hata ya kukimbia.

Dereva alishuka na kuchukua mizigo yangu akaipakia kwenye gari, akanifungulia mlango ambapo nilikaa siti ya nyuma pamoja na baba.

"Unajua nimekuwa nikikutafuta kwa muda gani? Ulidhani sitakupata sivyo?"

Nikasema "Sorry Dad, Samahani sana".

"Wewe kweli niwa kutia aibu familia yangu. Umenirudisha nyuma kwa namna ambayo sikuwa nadhani unaweza kufanya. Ulidhani kukimbia nyumbani ndio suluhisho? Shida ilikuwa ni wewe kubadilika. Kama ungebadilika, kila kitu kingekwenda vizuri lakini hukutaka kubadilika. Uliamua kuongeza mafuta kwenye moto. lia sasa hivi sijali, tunarudi nyumbani na unaolewa mara moja. Hakuna kusubiri"

Nilikaa kimya Nikilia kwa sababu nilikwenda kuolewa na mtu ambaye sikua namjua. Pia nililia kwa sababu niliondoka bila hata kumuaga Elton

Wakati tulikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam, simu yangu ilianza kuita, Ilikuwa ni Elton anapiga. Baba alichukua simu yangu na kuizima,

akasema

"Huyu ndo mwanaume anaekupa kiburi sio??"

"Hapana, baba"

"Tutaona mwisho wake! Sikio kamwe haliwezi kuzidi kichwa

Sikujibu Nikaamua kimya maana nilikua nina mawazo sana na nguvu ya kubishana na Baba sikua nayo.

Haya bhana Tukafika Dar es Salaam saa tano usiku. Baada ya mwezi mzima na wiki mbili za kukimbia, hatimaye nilirudi tena nyumbani. Mama alikuwa akitusubiri nje.

Aliponiona, akaangalia kwa huzuni! Kikubwa Alifurahi kuona niko sawa lakini hakuweza

kuficha hasira yake kwangu. "Ah, sawa basi kama uko salama, Sasa tuanze maandalizi ya harusi Akaingia ndani huku baba akimfuata nyuma.

Mimi Nikaenda chumbani kwangu, nikaoga kisha nikalala. Kwa jinsi nilivyo mmiss Elton wangu sikupata usingizi kabisa. Nilitaka angalau kusikia sauti yake ila ndo ivyo, Mzee alininyang'anya simu.

Kesho yake Asubuhi wazazi wangu hawakutaka nile nao breakfast mezani sababu bado walikua wamenikasirikia ivyo walituma dada wa kazi aniletee chai yangu chumbani.

Hata sikula sana, nilidonoa donoa kidogo Kisha

nikarudisha tray jikoni. Nilivyoviacha niliviweka kwenye friji kisha vyombo vichafu nikaviosha. Hili ilishangaza kila mtu mnajua?? Mpaka mama alishangaal Apo mwanzo Sikuwai kuosha hata kijiko changu, nilikua nawaachia wafanyakazi.

Lakini leo eti naosha vyombo, nasafisha kabisa. na sinki! Hill ni maajabu

Mchana napo nikaingia jikoni kumsaidia dada mpishi kupika. Wakati huo baba alikua kazini ni Mama na mimi pamoja na wafanyakazi ndo tuliokua nyumbani..

Basi Mama akawa ananiangalia bila kunimaliza. Mwishoni akashindwa kuvumilia akaniita, tena akawa anaongea kwa upole kushinda jana alivyo nipokea

"Nini kimekubadilisha? Umekuwa tofauti sana, Gina"

"Ni Maisha tu mama"

"Umebadilika kuwa mtu bora, Hilo ndilo. tunalotaka kutoka kwako Ginah! I am happy for you!"

"Sawa mama"

"Kuolewa pia ni suluhisho pekee tuliloliona. Alafu kingine, Baba yako na huyu rafiki yake wametoka mbali sana na hii ni ahadi

waliyowekeana kitambo sana kwaiyo ni ngumu mno kuvunja ahadi! Kwalyo sitaki usituchukie mimi na baba yako"

"Siwachukill Na mimi nipo tayari kwa lolote"

"Nafurai kusikia ilo" mama alitabasamu kisha akaenda sebuleni

Jioni pia niliendelea kusaidia jikoni. Tukapanga

meza pamoja, na Baba aliporudi aliona nikipanga na kuandaa chakula, akashangaa lakini haikubadilisha mpango wake wa mimi kuolewa.

Hali ilikua ivyo ivyo kwa wiki nzima, niliamka mapema, nikafanya usafi, nikawa nafua na kupasi nguo zangu mwenyewe! Mchana nilienda kupika pamoja na Dada Mpishi mpaka tukaanza kuzoeana.

Mbali ya yote hayo nilimkumbuka Elton! Nilimuomba Mungu huko alipo ampe nguvu sababu najua alikua akipitia kipindi kigumu mno. Najua pengine nilimkosea kuondoka bila taarifa lakini sikua tayari kuona anagombana na familia yake kisa mimi, especially mama yake mzazi.

Basi ijumaa jioni Baada ya chakula cha usiku, Baba akaniambia nijitayarishe kwa sababu kesho yake tulipaswa kwenda kukutana na familia ya mume wangu mtarajiwa. Kutakua na utambulisho mfupi kisha siku hiyo hiyo. nitavalishwa pete ya uchumba.

Niliitikiwa tu "sawa" Nikaenda kulala.

Kesho yake pilika pilika zikaanza. Mama alininunulia gauni zuri la kuvaa kisha wakaja watu wa make-up wakanipodoa pale nikatoka chicha kama sio tembele

Ilipotimu saa tisa kila mtu alikua kashajiandaa hadi Shangazi angu wa Dodoma alifika kumsapoti Mama.

Tulitoka tukiwa kwenye msafara wa magari matatu. Moja liliwabeba, mama, baba na shangazi! Gari la pili lilinibeba mimi peke yangu!

Gari la tatu lilibeba majirani zetu wachache ambao Mama hakutaka kuwaacha nyuma.

Unajua nini kilitokea baada ya hapo? Subiri kidogo... nakuja.
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* 17 -- 18 Chapter 17 Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi

.

Elton alianza kunifundisha mambo mengi hasa. mapishi. Akanifundisha kupika wali, pilau, ndizi pamoja na mchuzi wa nyama & kuku. Aliniambia anataka niwe nampikia siku akichoka baada ya kurudi kazini.

Apo tayari mwezi ukaisha na ule mkataba wetu uliishia pale. Elton alilipa deni langu lote na Nilikuwa huru kusafiri nje ya Arusha. Ila sikuona kama kuna haja ya kuondoka ikiwa furaha yangu. ilikua ni Elton. Hata ule mpango wa kurudi nyumbani niliuhairisha.

Sasa siku moja ilikuwa Jumapili, Hatukuenda popote. Tuliamka mapema, tukapika chakula cha mchana pamoja, tukala kisha tukakaa sebuleni kuangalia movie.

Nililaza kichwa changu kwenye mapaja ya Elton yani full burudanil Ilikua ni...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-nilegezee-kamba-17-18-chapter-17-mapenzi-yangu-na-elton-yalikuwa-mazuri-kupita-maelezo-nilifu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-nilegezee-kamba
 *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*    *19&20*  FINAL  Kwa takribani masaa mawili tuliyatumia njiani mpaka kufika tulipokua tunaenda. Apo kwenye
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *19&20* FINAL Kwa takribani masaa mawili tuliyatumia njiani mpaka kufika tulipokua tunaenda. Apo kwenye
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12  Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12 Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *14&15*  Maneno ambayo Elijah alinambia yalinivunja moyo vibaya sana. Niliapa nikasema lazima nimulize Elton akirudi. Nilihitaji kujua sababu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *14&15* Maneno ambayo Elijah alinambia yalinivunja moyo vibaya sana. Niliapa nikasema lazima nimulize Elton akirudi. Nilihitaji kujua sababu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13  Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13 Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  Asubuhi tuliamka wote, tukicheza na mito kama watoto. Elton alikuwa ananikimbiza chumbani na kila aliponikamata alinikumbatia na kunibusu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Asubuhi tuliamka wote, tukicheza na mito kama watoto. Elton alikuwa ananikimbiza chumbani na kila aliponikamata alinikumbatia na kunibusu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*  Chapter 9  Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 9 Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8  Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8 Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  Ile simu ya Siku ya kuripoti kituo cha polisi ikafika. Nilipaswa kwenda peke yangu, ila Elijah akaniambia atanipa kwa gari
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Ile simu ya Siku ya kuripoti kituo cha polisi ikafika. Nilipaswa kwenda peke yangu, ila Elijah akaniambia atanipa kwa gari
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*   Chapter 7  Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 7 Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA SITA*  Kabla hata sijamjibu kitu, akanirukia na kuanza kunishika shika hadi Mwili wangu ukaanza kulegea.
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA SITA* Kabla hata sijamjibu kitu, akanirukia na kuanza kunishika shika hadi Mwili wangu ukaanza kulegea.
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😫😫πŸ₯±* *1-5* * *SEHEMU YA KWANZA*  Ilikua kama wiki mbili zimepita tangu nirudi kutoka Canada. Nililazimishwa kurudi nyumbani kwa sababu baba aligundua kule sikusoma kabisa. Nilikuwa...

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

552
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

536
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

440
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

390
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

307
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

238
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

188
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

135
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

102
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

95

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.02K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.26K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72
@majario LIVE

Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest