Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NAWACHUKIA MASHANGAZI, SHANGAZI YANGU ALISHIRIKI KUNIUMIZA KIHISIA NA KWA KUNIVUA UTU NA THAMANI YANGU
Gonga94 ยท Stories

NAWACHUKIA MASHANGAZI, SHANGAZI YANGU ALISHIRIKI KUNIUMIZA KIHISIA NA KWA KUNIVUA UTU NA THAMANI YANGU

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilikuwa nakaa kwa SHANGAZI YANGU baada ya mama angu kufariki na baba angu kuondoka kwenda machimboni. Shangazi yangu hakuwa na mume ila alikuwa na watoto wa kiume wawili ambao walikuwa wanaishi kwa baba yao.

Kuna siku akaja na mwanume fulani nyumbani akaanza kumwambia huyu binti nimempenda nipe basi nimuoe. Shangazi akasema ongea naye akaja kuongea naye nikakataa. Shangazi akaniambia mkubali tu ana hela atakupa na atakusomesha mimi nimechoka kukusomesha. Jiongeze

Siku mmoja akaja na soda akanipa nikanywa kumbe ilikuwa na madawa nikalewa nikawa nasikia maumivu kwa mbali kushutuka niko kitandani na yule baba niliyemkataa na damu akinifanya damu zikanitoka. Bikra yangu ilitolewa na mwanaume ambaye alimlipa shangazi yangu pesa na akaniambia nikisema kwa mtu yeyote ile damu aliyoichukua atanifanyia kitu kibaya nife. Nilitamani kufa au kuondoka ila nikawa naogopa. Siku mmoja nikamkuta wanaongea na simu akimwambia nimalize pesa yangu sasa wewe nimekufanikishia mpango wako wa kumtoa bikra mbona humalizii pesa yangu lasivyo nitakushitaki umembaka. Nikasikia leo tena unataka ulale naye lasivyo uje na hela ya ziada halafu soda hatakubali tena kumpa kwasababu alishajua hilo. Nikasikia akisema nitaweka kwenye maji ya kunywa jagini basi nilivyosikia hivyo nikajua tu nikaa nje kwa muda kisha nikaingia ndani nikamkuta pale akanituma kwa rafiki yake ni mbali kidogo anajua mpaka nikarudi atakuwa ameenda mazingira yake sikurudi

Nikaenda kwao rafiki yangu nikamuita mama ake nikamwambia kwasababu yule mama alikuwa anafanyakazi hospital na alikuwa ananisaidia siku zingine hata nguo akimnunulia mwanaye nami ananinulia nikamwambia ukweli akasikitika sana na akanipeleka hospital nikapimwa magonjwa nikakutwa sina. Usiku ule akampigia baba angu akamwambia nimekuwa malaya hata silali nyumbani kisa sikurudi nyumbani basi kesho yake yule mama akasema hawezi kukaa na mtoto wa mtu bila wazazi wake kujua nikampa no ya baba akaongea naye kumbe shangazi alikuwa tayari kanitangaza umalaya kwa baba

Yule mama akamwelezea ukweli wote baba akaja nikamwambia kisa chote kile baba akasema nitakula nao sahani moja ila yule mama na mume wake wakamsihi asifanye kitu kibaya dada ake ila mimi nina kisasi kwa SHANGAZI nimeshindwa kabisa kusamehe na kusahau ule unyama wake nimekuwa nikisali sana nimesikia ana kansa ya shingo ya kizazi blind haikati anatoka damu mwanzo mwisho naamini ni Mungu kampa adhabu. Natamani sana nikae sawa nimemaliza masomo yangu ya kidato cha nne natamani niende mbali sana ambako hakuna mtu asiyenifahamu nikaishi huko ninapoishi sasa wananipenda sana ila sina amani kwasababu wanajua unyama niliotendewa najiona mtu kwao natamani niende mazingira mageni kabisa

Nimefikia hatua nawachukua mashangazi au nikisikia mtu anamuita mtu shangazi au anaowazungumzia watu hao kabisa natamani nisahau hilo tukio ila nashindwa kuna wakati namlaumu baba kunipeleka kwa shangazi bora angelipeka kwa bibi๐Ÿ˜ญ
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAWACHUKIA MASHANGAZI, SHANGAZI YANGU ALISHIRIKI KUNIUMIZA KIHISIA NA KWA KUNIVUA UTU NA THAMANI YANGU

Nilikuwa nakaa kwa SHANGAZI YANGU baada ya mama angu kufariki na baba angu kuondoka kwenda machimboni. Shangazi yangu hakuwa na mume ila alikuwa na watoto wa kiume wawili ambao walikuwa wanaishi kwa baba yao.

Kuna siku akaja na mwanume fulani nyumbani akaanza kumwambia huyu binti nimempenda nipe basi nimuoe. Shangazi akasema ongea naye akaja kuongea naye nikakataa. Shangazi akaniambia mkubali tu ana hela atakupa na atakusomesha mimi nimechoka kukusomesha. Jiongeze

Siku mmoja akaja na soda akanipa nikanywa kumbe ilikuwa na madawa nikalewa nikawa nasikia maumivu kwa mbali kushutuka niko kitandani na yule baba niliyemkataa na damu akinifanya damu zikanitoka. Bikra...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nawachukia-mashangazi-shangazi-yangu-alishiriki-kuniumiza-kihisia-na-kwa-kunivua-utu-na-thamani-yang

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nawachukia-mashangazi-shangazi-yangu-alishiriki-kuniumiza-kihisia-na-kwa-kunivua-utu-na-thamani-yang
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest