VYOTE NDANI GONGA94
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ???? NO: 18
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ????
NO: 18
Baada ya siku kadhaa Chris alinipigia na kunijulia hali
Tuliongea mengu na kuhusu watoto wetu
Ikawa ndio kawaida kila siku jioni tunaongea na Chris
Nilishangaa siku hiyo Chris hakunipigia sim nilipiga sana hakuwa online
Siku iliisha na siku nyingine tena iliisha
Baada ya siku kama nne anakuja kupatikana maramoja
Nikimuuliza anasema kuwa ninajisomea nakuwa bize sana mpenzi
Nikiongea na mamaake ananiambia kuwa nisihofu yukobize na kilicho mpeleka
Niliendelea kuwa mvumilivu hadi kunamuda nilikuwa nalia pekeangu
Sikumoja nilimpigia Chris video coll alipo pokea niliongea nae kwa kutazamana
Alikuwa kitandani yupo kifua wazi aliniambia yaani ninakuwa bize mno hivyo nakosa hadi muda wakuongea na wewe na watoto wangu
Gafla nilimuona mschana kwa pembeni alikuja bia kutarajia nae alikuwa kavaa kisidilia na kichupitu
Hivyo nilichukia nikakata ile sim na kutoka nyumbani nilienda nje na nyumbani nilienda kupungwa upepo huku nikilia sana kwa uchungu
Nilijifikilia kwa muda nikaona nitoke pale kwao niende nikapange mwenyewe kwanza tayari
Nilikuwa ninamshahara na nilikuwa ninajiweza kulipa kodi
Sikumwambia mamaake na Chris wala bibiake
Nilitafuta nyumba na nikahama bila kumtaarifu mtu niliwadanganya naenda morogoro nitarudi nikaondoka
Niliweka wadada kwaajili ya watoto na usafi walikuwa watatu
Niliwalipa vizurituu na tulikaa kwa amani na upendo nilikuwa na hasira sana na wanaume
Chris kila akipiga nakata na kwao wanamwambia nilienda kwetu kusalimia na watoto
Hivyo ilikatika miezi mitatu kimya sijaridi nyumbani hivyo aliona mama Chris aje ofisini kwetu kuulizia
Akaambiwa yupo kazini kilasiku lakini leo kaenda kriniki mpaka kesho
Kweli kesho yake alikuja kuniulizia akaambiwa nipo ofisini kwangu
Na akaja akanikuta nilipomuona nilisimama nikamkumbatia
Akaniuliza hujambo mwanangu
Nilimjibu sijambo shikamoo Mama
Aliitikia marhabaa vipi watoto wanaendeleaje
Nilimjibh hawajambo kabisa
Akaniuliza sasa mbona umetukimbia umtkimbia na watoto kweli Irene
Nilimjibh hapana mama nilienda kupumzika kidogi
Akaniuliza upumzike kwani pale kwetu kunashuguri nzito
Nilimjibu hapana mamaangu nilikuwa nimeboreka Chris alichonifanyia
Endelea kufuatilia...........
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NAWACHUKIA MASHANGAZI, SHANGAZI YANGU ALISHIRIKI KUNIUMIZA KIHISIA NA KWA KUNIVUA UTU NA THAMANI YANGU
Nilikuwa nakaa kwa SHANGAZI YANGU baada ya mama angu kufariki na baba angu kuondoka kwenda machimboni. Shangazi yangu h...
*NIMEKOMA MIMI 🙌* *19&20* Aisee ngoja niwaambie ukweli.. sijawahi kufurahia mapenzi kama jinsi ninavyo yafutaia ya Bishop Bishop
ananipenda kwell, anantreat vizuri, ananipa kila kitu ninachotaka. Kila akiwa free, ananipeleka out, tunajirusha kama h...
*NIMEKOMA MIMI 🙌* *1-5* *________________________________________* *SEHEMU YA : 01* Mapenzi ni kitu cha kijinga sana. Yaani yanaweza kukufanya ufanye ujinga ambao hata wewe hukuwahi kufikiria
unaweza kufanya. Na mimi ni mfano halisi wa ujinga huo. Ukiniuliza, nitakupa jibu simple kuwa maisha yangu ya mapenzi ...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* 17 -- 18 Chapter 17 Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi
. Elton alianza kunifundisha mambo mengi hasa. mapishi. Akanifundisha kupika wali, pilau, ndizi pamoja na mchuzi wa nyam...
FATE TO LOVE YOU 💓 16 MTUNZI UHURU MEDIA Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
Walienda kukaa bustani na kuongea mambo mengi sana. Hali ya hewa ilianza kuwa ya kiubaridi lakini hakuna alietamani kwe...
MY HEART BEAT 🥰 1-----5 SEHEMU..1 🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀 ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Safari yamaisha inamengi utayo yapitia mazuri au mabaya lakini mapenzi nayo ujumuika kwayale utayoyapitia ili kukamilisha ubinadamu.
Ungana nami kwenye stor yangu utaburudika nakughadhabika najua yote ndio tumeumbiwa wanadamu sisi. Nilikua nikiota ndot...
BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Okay, kaendelee na kazi, badae tutaongea vizuri." Mira alimkumbatia Gael kwa mapenzi yote lakini wa nyuma alimzomea
. Jioni Mira hakutaka kutoka na Gael, alisema anamgeni hivyo atawahi kurudi nyumbani. Gael aliamua kwenda dukani kwa mam...
BETWEEN SISTERS AND SECRET _____________________________________*6--7 *SEHEMU YA SITA* "Looh, msichana ana balaa yule! Kwahiyo anaona bora mapenzi kuliko undugu, na Mr. Gael wa watu alivyo mtaratibu na mu-handsome
vile. Ilikuwaje akaenda kuanguka kwa Mira? Mbona kazi anayo! Bora hata angempenda mrembo wangu Mia," Furaha alimtania M...
**Simulizi: Stuck With You (Mfungwa wa Mapenzi)** Amina alikuwa msichana mrembo, mwenye ndoto nyingi na moyo wa upendo.
Alikuwa amezoea maisha ya kawaida katika jiji la Dar es Salaam, akifanya kazi kwenye duka la maua la familia yao. Lakin...
Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
Skip Ad
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
share
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ???? NO: 18
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ????
NO: 18
Baada ya siku kadhaa Chris alinipigia na kunijulia hali
Tuliongea mengu na kuhusu watoto wetu
Ikawa ndio kawaida kila siku jioni tunaongea na Chris
Nilishangaa siku hiyo Chris hakunipigia sim nilipiga sana hakuwa online
Siku iliisha na siku nyingine tena iliisha
Baada ya siku kama nne anakuja kupatikana maramoja
Nikimuuliza anasema kuwa ninajisomea nakuwa bize sana mpenzi
Nikiongea na mamaake ananiambia kuwa nisihofu yukobize na kilicho mpeleka
Niliendelea kuwa mvumilivu hadi kunamuda nilikuwa nalia pekeangu
Sikumoja nilimpigia Chris video coll alipo pokea niliongea nae kwa kutazamana
Alikuwa kitandani yupo kifua wazi aliniambia yaani ninakuwa bize mno...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ni-hisia-taam-sana-no-18
#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle
Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn Share on Pinterest
 
Show Text
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ni-hisia-taam-sana-no
Maoni