Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
27 Sep 2025
30 views
VYOTE NDANI GONGA94
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kapendeza
"Mbwa huyu analeta nguo anasahau viatu...." Alilalamika huku akijaribu kutafuta viatu vinavyo endana na nguo
Ile anafungua mlango alikutana na gari
"Hii gari imefika hapa saa ngapi hata nisisikie muungurumo" Alimuuliza Suzy
"Si kila gari ni lazima litoe muungurumo...." Suzy aliongea akimpa ishara ya kuingia kwenye gari
Basi Jasinta aliingia akakaa kama Boss hivi.
Safari ya kwenda Montana Hotel ilianza
Mike aliachia tabasamu baada ya kumuona Jasinta
"Hilo tabasamu usoni mwako vipi"
"Nimefurahi tu kukuona"
"Kati ya bidhaa mbili nilizokuuzia ni ipi imekufurahisha zaidi mpaka unitoe dinner"
"Nafurahi sana kuuziwa Ciara"
Jasinta alicheka hasa baada ya kujua Jessa hana nafasi kwenye moyo wa Mike
"Kwa kuwa nilikupa kitu cha kukufurahisha itapendeza kama na wewe utanisaidia kitu kimoja"
"Kama nitakusaidia hicho kitu sitakupatia zawadi niliyodhamiria kukupatia"
Jasinta alitikisa kichwa chake kuashiria hana ulafi na zawadi ukilinganisha na kitu anachotaka kufanyiwa
"Ni kitu gani hicho unataka nikufanyie...."
"Muuze Jessa sehemu yoyote ile unayoona inafaa, sitaki akae hapo kwako. Nahitaji Ciara aishi kwa amani.... uwepo wa Mtoto wangu siku zote huwa unamfanya Ciara ajitoe kupita kiasi"
"Ni kama unataka kumtelekeza Mtoto wako....."
"Mimi ni Mama wa ajabu sana ukilinganisha na wengine....sina kawaida ya kukumbatia vitu vinavyo ni chukulia poa, huenda aina hii ya roho ndio Ciara alichukua kutoka kwangu"
"Ciara ni Mwanamke asiyekuwa na aibu hata kidogo....aina hii Mwanamke inanifaa Mimi kwa sababu kuna muda huwa naitembelea dunia. Nahitaji mtu jasiri kupita kiasi, mfano mzuri ni Suzy"
Basi Jasinta ni kucheka tu hasa akifikiria Jessa hana jipya tena
Siku iliyofuatia Mike aliitisha kikao na Watumwa wake.
Ulikuwa ni mwisho wa mwaka, mara nyingi huwa ana kawaida ya kuwaweka baadhi ya Watumwa huru.
Alianza kutoa msamaha kwa Watumwa waliokaa kwake kwa muda mrefu.
Jessa alikuwa amekaa karibu na Katy akichezea nywele zake
Mike alimgeukia
"Nitakuuza kwa rafiki yangu anayekaa Urusi....siku ya kesho utaondoka mahali hapa"
Kauli hii iliwashtua watu wote, ni mara ya kwanza kwa Mike kuuza Mtumwa na si kununua
"Ni kitu gani umezungumza" Katy aliuliza
"Jessa ni Mtumwa mrembo kuliko wote hapa, rafiki wangu wa Urusi kampenda hivyo kuliko akae hapa kama Mtumwa itapendeza kama ataenda kumtumikia rafiki yangu..." Mike aliongea
Jessa alimgeukia Ciara, ni kama alikuwa ana mbebesha mzigo kuhusu hili
Itaendelea 💥
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
JAMANI BINAMU SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA Ilpofika mida ya saa sita nikasikia mlango wangu ukigongwa
taratibu,nikainuka kwenda kufungua mlango huku nikijua aliyekuwa anagonga ni binamu yangu Baada ya kufungua mlango nili...
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa pared, leo jioni kutakuwa na ugeni, hivyo mjiandae"
Tulitoka mbio na kuelekea pared, mara tuu baada ya kamanda kumaliza kuongea hivyo, tulikuwa kwenye mazoezi, vikosi ...
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
boss wangu sijui alifunguaje mlango labda pengine alikuwa na card ya malangoni maan asubuhi yeyee ndio alieyetoka nilik...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
Nilibonyeza kengere nikaona kimya mmhh huenda hakuna mtu humo ndani nitakaa hapa hapa mpaka waje🤣🤣 Nilikaa pale getini ...
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋 Chapter 18 Mida Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekana Kuwafatiliaa Kina Madam Linda Saraah Na Jordan. Leo.Mr Mask Anaonekanaa Kutembea
Na Risasi katikaa kazi yake akiwaa na lengo la kuu la kuuwa familiaaa yotee, Mda huo kweli familiaa ile inaonekana kuto...
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
kapendeza
"Mbwa huyu analeta nguo anasahau viatu...." Alilalamika huku akijaribu kutafuta viatu vinavyo endana na nguo
Ile anafungua mlango alikutana na gari
"Hii gari imefika hapa saa ngapi hata nisisikie muungurumo" Alimuuliza Suzy
"Si kila gari ni lazima litoe muungurumo...." Suzy aliongea akimpa ishara ya kuingia kwenye gari
Basi Jasinta aliingia akakaa kama Boss hivi.
Safari ya kwenda Montana Hotel ilianza
Mike aliachia tabasamu baada ya kumuona Jasinta
"Hilo tabasamu usoni mwako vipi"
"Nimefurahi tu kukuona"
"Kati ya bidhaa mbili nilizokuuzia ni ipi imekufurahisha zaidi mpaka unitoe dinner"
"Nafurahi sana kuuziwa Ciara"
Jasinta alicheka hasa baada ya kujua Jessa hana nafasi kwenye moyo wa Mike
"Kwa kuwa nilikupa kitu cha...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea-18-mida-ya-jioni-ilipowadia-jasinta-alivaa-nguo-aliyoletewa-na-mike
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 03 "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19 "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA (01-05) SEHEMU YA : 01 "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 17 Ciara hakuonesha hofu hata kidogo, mjeledi uliokuwa mkononi kwa Mike haukumtisha
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 07/08 Wakati kisu kinanolewa, Ciara alijitahidi kupika chakula alichohisi kitamfaa Katy (Mama yake Mike)
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 12 "Ni kama hujafurahia Mimi kuwa hapa...." Jessa aliongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06) "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 09..10. "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 14,15 Mike alimuweka Ciara kitandani kwake kisha akaanza kumbusu kwa lazima.....hakuishia hapo alianza kupambana kumvua nguo ili wafanye mapenzi,
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13 Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 04...5 Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili
Maoni