VYOTE NDANI GONGA94
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 9 Nililala kichwa kikiwa kinawaka moto
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ila yale maji ya moto yalikuwa yananipa uafadhali kwenye mwili wangu ilinifanya nipate nguvu kidogoo lakini
Asubuhii yake boss aliaamka tu baada ya kujiandaa akaja chumbani kwangu kuongeaa na mimi "Sorry father's gal ninaenda kumaliziaa safari iliyonileta huku samahani ila naomba niendee kwenye safari iliyoniletaa huku pole kwa kuumwa hakikisha unakula lakini sawa kipenzi?, nikirudi tutaongeaa kila kitu sawa malaika auu kuna shida?" Nilimtizama tu nikatisika kichwa kuwa hakuna alinikiss kwenye paji la usoo ila nilikuwa nahisi moyo wangu haujafunguka kwake kabisa yaani, nilikuwa nahisi sijampenda na sijui kupenda coz sijawahi mtu pekee ambae najuaa nampenda ni baba yangu pekee ndio mtu pekee ninaehisia nampenda na sio nje ya hapo nisiongope licha ya kwamba ni mzuri ila sijahisi kama nampenda bado
Aliondoka nilibaki hotelini mwenyew nilikuwa sina jinsi zaidi ya kukaa tu kwa kutuliaa niangalie katuni nilikaa mpkaa nikalala leo nilikula na nilikuw nina nguvu pia sikutaka mengine zaidi ya hapo
Alikuja boss wangu sasa ilikuwa ni mida ya jioni alinileteaa tena chakula akanisaidia kuniliza baada ya hapo alinambiaa anataka kuongea na mimi nilikubali tu kuongeaa nae, sikuwa na jinsi ya kujikwamuaa zaidi ya kuongeaa nae kabisa nilikubali kumsikiliza
"Okay nataka niwe muwazi kwako na muadilifu najua nimekukoseaa sana Angel pengine mtazamo wetu ulikuwa tofauti ila kabla ya kueleza mitazamo yetu ambayo ilitofautiana kihisia nataka kukulezeaa ukweli wa maisha yangu pia, mimi kwetu tupo wawili tu yaani mimi na marehemu mdogo wangu na baba yangu hayupo tena RIP dad" nilimpa pole kwa kifiwa na baba yake "kwetu mimi ni wa pekee na ndio jicho la mama kama wewe ulivyojicho kwa baba yako, ila tofauti yawezekana ikawa ni wadhifa tu kwamba kwetu wanapesa na wanamali pia ila ni watu poaa na yule executive manager Suzy ni mtoto wa uncle wangu ndio maan anacheo kikubwa sana na anajishauaa msimuone vile pengine ni kwasababu mimi ndugu yakee usijali kuhusu hiloo ndivyo alvyo kwa watoto wa kike kwakweli sio mtu wa kupoa kabisa kwa wanawake sijui ni kwanini yaani ila ndio yupo hivyoo hapendi wadada wanizoeee"
"Kwanini ile siku Airport uliniongopea sasa kwa maan ulisema baba yako na mama yako wapo" niliuliza "Sorry nilikudanganya ila saa tuje kwenye point Angel mimi nakupenda sana yaani kama kuna mtu anakupenda basi ni mimi nakupenda mnoo Angel, ujue ulinivutia siku ya kwanza kabisa nilivyokusikiaa afu wewe ni mremboo hujuii tu napenda wanawake wasiojiwekea make up usoni nawapenda sana yaani ndio maana nikajikuta nakupenda kwa muda mfupi inaweza kuwa haraka ila mwanamke sahihi hapatikani kwa muda mrefu ni siku moja tu unaelewa kuwa huyu ni my type wewe ni my type nakupenda sana Malaika wewe ni wa kipekee sana nakupenda hisia ambazo ninazo kwako zinanikumbusha mbali nikuwa nahisi muda mrefu kwa mdada alipoteza maisha kwenye ajali, nilikaa single muda mrefu sana ila sasa nilivyokuona na kukusikia nimeeelewa tulizo la moyo wangu lipo wapi sasa niamini nakupenda sana Angel, nijibu tafadhari nikae na

MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-chapter
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *Chapter 14&15* "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17 Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18 Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18&20 Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 10 "Nijibu tafadhari jibu lako ndio amani ya moyo wangu tafadharii malaika wangu"
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia