PAMELA NA KIPINI Enzi zile vitabu vingi vya shuleni vilikuwa vizuri sana na vilisheheni hadithi nzuri na zenye kuvutia na vilitia hamasa sana kwa wanafunzi kujifunza.Hadithi zenyewe zilikuwa:-
10th Sep, 2025 Views 10
.Siku ya gurio Katerero
.Utamu wa Mua umezamisha meli
.Mama mbuzi na watoto Saba
.Bibi tarabushi
.Kaka kanzi na bibi kuku
.Hadithi ya Kalume Kenge na mbwa wake
.Safari ya Bulicheka na mke wake Lizabeth
.Pamela na kipini
.Hadithi za Andunje
.Sadiki na Sikili
.Awafu mwenye nguvu
.Watoto wageuka mawe
.Nk.
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
PAMELA NA KIPINI Enzi zile vitabu vingi vya shuleni vilikuwa vizuri sana na vilisheheni hadithi nzuri na zenye kuvutia na vilitia hamasa sana kwa wanafunzi kujifunza.Hadithi zenyewe zilikuwa:-  >>> https://gonga94.com/semajambo/pamela-na-kipini-enzi-zile-vitabu-vingi-vya-shuleni-vilikuwa-vizuri-sana-na-vilisheheni-hadithi-nzur
Maoni
Click here to login and comments