Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
13 views
VYOTE NDANI GONGA94
RS Berkane kwenye Mashindano Kombe la Shirikisho Barani Afrika
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UNAAMBIWA SIMBA waliamua kutumia nguvu kidogo dhidi ya RS Berkane kwenye Mashindano Kombe la Shirikisho Barani Afrika wakaenda mbali zaidi wakajitoa kwenye Kombe la Muungano na ili wawekeze nguvu kwenye mashindano ya ndani na badala yake wametolewa kwenye Kombe la CRDB Cup, Mpaka sasa hawana uhakika kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu. Kiufupi kuna uwezekano wa kutoka PATUPU Msimu huu huku watani zake YANGA wakiwa na uhakika wa kubeba TREBBLE.
.
FT: SIMBA SC 1-3 SINGIDA BLACK STARS
67’—⚽️ Jean Charles Ahoua
16’—⚽️ Jonathan Sowah
34’—⚽️ Emmanuel Keyekeh
48’—⚽️ Emmanuel Keyekeh
.
✅ SIMBA SC wanatolewa kwenye Mashindano ya CRDB Cup na Fainali ya Mashindano hayo itakuwa ni kati ya YANGA SC dhidi ya SINGIDA BLACK STARS.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA Episode 1
Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita nji...
RS Berkane kwenye Mashindano Kombe la Shirikisho Barani Afrika
UNAAMBIWA SIMBA waliamua kutumia nguvu kidogo dhidi ya RS Berkane kwenye Mashindano Kombe la Shirikisho Barani Afrika wakaenda mbali zaidi wakajitoa kwenye Kombe la Muungano na ili wawekeze nguvu kwenye mashindano ya ndani na badala yake wametolewa kwenye Kombe la CRDB Cup, Mpaka sasa hawana uhakika kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu. Kiufupi kuna uwezekano wa kutoka PATUPU Msimu huu huku watani zake YANGA wakiwa na uhakika wa kubeba TREBBLE.
.
FT: SIMBA SC 1-3 SINGIDA BLACK STARS
67’—⚽️ Jean Charles Ahoua
16’—⚽️ Jonathan Sowah
34’—⚽️ Emmanuel Keyekeh
48’—⚽️ Emmanuel Keyekeh
.
✅ SIMBA SC wanatolewa kwenye Mashindano ya CRDB Cup na Fainali ya Mashindano hayo itakuwa ni kati...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/rs-berkane-kwenye-mashindano-kombe-la-shirikisho-barani-afrika
Maoni