Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

WATOTO MAPACHA, Kipande cha ,,,, 12
Gonga94 ยท Stories

WATOTO MAPACHA, Kipande cha ,,,, 12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
WATOTO MAPACHA,
Kipande cha ,,,, 12

Wakati mama Celena anaendelea kumshangaa Celina na mama yake kichaa ,

Gafra yule mama kichaa yaani Celina akamuona mama Celena ,kwa sped ya ya farasi na nguvu zote yule mama kichaa akajitoa mikononi mwa mama stefano na kumrukia mama Celena na kumdosha chini ,
Akaanza kumparula na makucha yake malefu ,huku akiunguruma kama simba,

Ngruuuuh ,,ngruuu,,,""
Watu waliokaribu yake akiwemo baba stefano na mama Stefano wakajitahid kumtoa na kumwacha Nisha ,lakini wapi,
Celina alipiga kelele huku anasema ,

"Muacheni aniuwe kabisaa ,,""
Ndio oo animalizieee,,""
Watu walishangaa ,kwani maneno alioyatoa Celena ni kama akili zilirudi , sasa hakuna aliemuamini wote walimuona kichaa tu ,
Madocta wakaja haraka na upesi wakijua kichaa cha Celina kimepamba moto ,sasa ikawa ni namna ya kumshika ili achomwe sindano ya usingizi ilikuwa ni vigumu maana alikuwa na nguvu za hatari,
"We unataka mimi nife si ndio ,"**"?
Mama Celina kichaa alimwambia kwa hasira mama Celena huku akiwa kamkandamizia kwenye ukuta ,
" Jamani tusaidiane kumshika atamuua mama wa watu ,"
Nesi mmoja aliongea na wote kwa pamoja wakamvamia nakumkamata kwa nguvu huku doctor akimchoma sindano ya usingizi ,
Celina alikuwa analia tu huku akiita mamaa ,
Mama Celena aliamka pale huku bado anamshangaa yule mtoto aliefanana na mwanae , yaan hakuna utofauti wowote mpaka kulia kwake ni kama Celena tu ,
"Tunaomba utusamehe jamani ,huyu ni kichaa ,,"
Mama Stefano aliomba msamaha bila kujua kuwa huyo wanaemuomba msamaha ndio chanzo cha mambo yote,

"Inamaana huyu akili zimeanza kurudi ,,"?
Sasa itakuwaje, na hawa aliokuwa nao ni akina nani,,"?
Mama Celena aliwaza huku akijifuta futa ,
Hakuamini kama angekutana na kipigo cha Celina,

Niacheniiii,,""!! hivyo nishetani ,tena mjaalaana huyo oo,,""uuuwiii,
"Nakwambieni huyu haiingii peponi hata mlango wa Pepo akae shetani ,,"""!!!
Celina alilalamika tena aliongea kwa pointi ,tatizo lake tu alikuwa hapangilii maneno ,watu wakamuona ni chizi tu anaropoka,
Mwisho mama Celina alilegea na kulala baada ya kuchomwa sindano ya usingizi ,

Familia nzima ya baba $tefano hwakujua kwanini Celina kichaa alimvamia yule mama ,wao walijua ni ukichaa wa Celina ndio umepelekea kumvamia yule mama ,

"Dah ntamwambia nn mume wangu jinsi nilivyoumizwa hivi ,"
Aliwaza mama Celina huku akiondoka eneo hilo na macho yake bado yakimuangalia Celina ,
"Au nilizaa MAPACHA na mtoto mmoja akaibiwa ,"? Sasa hapa ndo naamini alichoniambia mwanangu Celena , "
Bado mama Celena alikuwa anawaza ,
Mama Celena aliingia kwenye gar huku mawazo kibao ,
Alijiuliza kwanini Celina alimtambua yaani pamoja na ukichaa wake lakini amemjua,au akili zake zimeshaanza kurudi ,?
Aliegemea kiti huku akihema ,maana siku yake ilianza vibaya ,
Alikumbuka kipindi cha nyuma jinsi alivyokuwa anamtesa ,
Siku moja Celina alichoka kukaa uwani akajisogeza kwa kusota mpaka sebuleni ,sasa alipokuwa anasota alijaa vumbi na akaenda kukaa kwenye sofa ,
Maria alipomuona alikasirika ,na hakuuliza alimpiga makofi ya nguvu ,Celina wawatu akadondoka chini ,hakuishia hapo alimpiga mateke na kum buruzia nnje ,masikini Celina hakuwa na nguvu ya kufanya chochote ,na ukichanganya na uzezeta wake ,alilia tu ,
Celina hakujua akaseme kwa nani maana mumewe ndo kwanza alizidisha mapenzi kwa Maria ,na ilifika wakati mumewe hakutaka kumuona ,japo waliishi nyumba moja ,

""Hichi kizezeta si kife tu mi nijinafasi,""?au nikiwekee sumu ,,""?
Maria aliwaza siku moja alipomuona Celina anasota kufuata chakula alichomuwekea ,

Maria kutokana na chuki tu akamfuata Celina na kumpokonya kile chakula na kukimwaga chini,

"We mpuuzi unatakiwa ufe ,,sio unakula chakula unajaza tumbo tu kufa hufi,,""
Maria aliongea huku akimsindikiza na bonge lakofi,
Celina alilia tu maana nikweli alikuwa na njaa tokea juzi yake hakupewa chakula ,hakuwa na nguvu viungo vyake vilikuwa kama vimepalalaizi,

"Wee dada unaitwa ,,ukalipie fail ,,""
Mama Celina alistuliwa na nesi ,

"Aah nilikuwa mbali kweli kimawazo ,,""nisameheni,,"!
Mama Celena alisema huku akishuka kwenye gari .

Mama Celena alilipa kila kitu yaani alimlipia yule kijana aliemgonga matibabu yote, na kuondoka eneo hilo la hospital, huku akiwaza lazima amfuatilie Celina ajue anamahusiano gani na yule mtoto aliefanana na mwanawe ,

Wakati huo , Celena yeye alikuwa shule na akawa amekumbuka michezo walizokuwa wanacheza na Stefano kule nyumbani kwa kina Stefano,
" Leo lazima niende kwa kina Stefano , Celena japo kwao ni matajiri Sana lakini alijihisi amani na Raha kuwa nyumbani kwa kina Stefano maana alicheza anavyotaka bila kujua kuwa hapo ndio nyumbani kwao kabisa yaan kwa baba na mama yake mzazi ,

KUMBUKA story hizi zote utazipata kwa elfu moja tu ,0655772653 ,njoo whtsap,

Je wakikutana itakuwaje ,kumbuka Kuna Celena na Celina, usichanganye , Celina ni mpole ila Celena ni mtundu Kama Stefano ,
Usikose ,13 nibalaa ,

Itaendelea,
Tangazo - Bilionea ndani ya hoteli full story mwandishi babie love
Bilionea ndani ya hoteli full story mwandishi babie love
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WATOTO MAPACHA, Kipande cha ,,,, 12

WATOTO MAPACHA,
Kipande cha ,,,, 12

Wakati mama Celena anaendelea kumshangaa Celina na mama yake kichaa ,

Gafra yule mama kichaa yaani Celina akamuona mama Celena ,kwa sped ya ya farasi na nguvu zote yule mama kichaa akajitoa mikononi mwa mama stefano na kumrukia mama Celena na kumdosha chini ,
Akaanza kumparula na makucha yake malefu ,huku akiunguruma kama simba,

Ngruuuuh ,,ngruuu,,,""
Watu waliokaribu yake akiwemo baba stefano na mama Stefano wakajitahid kumtoa na kumwacha Nisha ,lakini wapi,
Celina alipiga kelele huku anasema ,

"Muacheni aniuwe kabisaa ,,""
...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/watoto-mapacha-kipande-cha-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi watoto-mapacha-kipande-cha
Story,: watoto MAPACHA Kipande cha ,,    ,,  19
Story,: watoto MAPACHA Kipande cha ,, ,, 19
WATOTO MAPACHA,      kipande Cha 13
WATOTO MAPACHA, kipande Cha 13
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest