Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BABA KWA NINI ULIMUUA MAMA YANGU?😭 ----- (01)  (Kama una Machozi ya Karibu Usisome 🥺)
Gonga94 · Stories

BABA KWA NINI ULIMUUA MAMA YANGU?😭 ----- (01) (Kama una Machozi ya Karibu Usisome 🥺)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Naitwa Magreth (Mage) kumbuka nilikuwa kidato cha pili kipindi hicho najiandaa na mitihani ya Taifa katika shule ya sekondari Tambaza, ilikuwa jioni ya saa kumi na mbili ikielekea saa moja giza likiwa limeshaanza kuingia tayari, ingawa huwa ninatoka mapema saa tisa lakini siku hiyo tulichelewa kwa ajili ya watu wa mazingira waliokuwa wametutembelea shuleni kwetu.

Kichwani sikuwa haba, nilikuwa nina akili za darasani na ndiyo maana nikachaguliwa kujiunga na shule hiyo maarufu ya Wasichana pekee ambayo ilikuwa miongoni mwa shule kumi bora zinazochukua watu wanaofaulu kwa maksi za juu kipindi hicho, zikiwemo Jangwani, Kisutu Girls, Zanaki na zingine za wanaume pekee kama Azania na za jinsia zote...

Nilifika nyumbani nikiwa nimechoka sana kutokana na purukushani za usafiri wa mjini, nikiwa hoi na kabla ya kufika kabisa mbele ya nyumba nilikaa kwenye baraza moja ya nyumba ya jirani kwa sekunde kadhaa mguu mmoja ukiwa unaniuma kutokana na kusimama kwa muda mrefu ndani ya daladala kutokana na foleni kubwa.

"Wewe mama naniliu umejikalisha huku unapitwa na mambo" nilisikia sauti ya mmoja wa wapangaji akimwambia mwenzake ndani ya nyumba hiyo.

"Mambo gani shoga yangu tena?"
"Ngumi huko nyumba ya pili"
"Nyumba ya pili wapi, ndo mambo ninayoyapenda mie hayo uuuwiii"
"Kwa kina Mage huko"
"Mage huyu anaepitaga pitaga na uniform za shule?" Waliongea, walipotaja jina langu moyo ukafanya paa!!

"Nyumbani kuna ngumi, haiwezekani" niliongea mwenyewe na kutupa begi langu la shule chini bila kulijali tena nikakimbia mbio kama nilivyo mpaka nyumbani ambapo nilikuta majirani mbele ya nyumba yetu wananong'ona nong'ona huku ndani nikisikia sauti ya mama akipiga makelele na baba akimgombeza

"Nitakuua wewe mwanamke, nitakuua" baba aliongea kwa hasira huku vikisikika vishindo ikionekana anampiga mama
"Niue tu niue tu, ndivyo ulivyozoea niue" mama alijibu huku akilia nami nikaufuata mlango na kujaribu kuufungua lakini ulifungwa kwa ndani nisingeweza kuufungua

"Baba muache mama Yangu" nilipiga makelele kama kichaa huku nikilia
"Mage binti yangu uuwii baba yako ananiua" mama alilia aliponisikia napiga kelele mlangoni.

"Jamani nisaidieni nifungue mlango tumsaidie mama" niliwaomba majirani.

"Mh nani anataka kesi, aku" mmoja aliongea huku wakitawanyika kila mmoja na kuniacha nje pale mimi mwenyewe nikiangua kilio baada ya kushindwa kumsaidia mama....

Kwa Simulizi zingine Tamu ingia hapa👉 Hadithi Za Chumbani

ITAENDELEA!!

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BABA KWA NINI ULIMUUA MAMA YANGU?😭 ----- (01) (Kama una Machozi ya Karibu Usisome 🥺)



Naitwa Magreth (Mage) kumbuka nilikuwa kidato cha pili kipindi hicho najiandaa na mitihani ya Taifa katika shule ya sekondari Tambaza, ilikuwa jioni ya saa kumi na mbili ikielekea saa moja giza likiwa limeshaanza kuingia tayari, ingawa huwa ninatoka mapema saa tisa lakini siku hiyo tulichelewa kwa ajili ya watu wa mazingira waliokuwa wametutembelea shuleni kwetu.

Kichwani sikuwa haba, nilikuwa nina akili za darasani na ndiyo maana nikachaguliwa kujiunga na shule hiyo maarufu ya Wasichana pekee ambayo ilikuwa miongoni mwa shule kumi bora zinazochukua watu wanaofaulu kwa maksi za juu kipindi hicho, zikiwemo Jangwani, Kisutu Girls, Zanaki na zingine za wanaume...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/baba-kwa-nini-ulimuua-mama-yangu-01-kama-una-machozi-ya-karibu-usisome

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi baba-kwa-nini-ulimuua-mama-yangu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

985
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

715
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

397
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

230
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

143
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

86
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5

71
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu

51
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL ⚽.

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL ⚽.

4
🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali

🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.66K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.81K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.29K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.89K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.81K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.56K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. 🔴 Maamuzi yaliyotangazwa: 💵 Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL ⚽. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL ⚽.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
@majario LIVE

“Dad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani” Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
@majario LIVE

Basi mimi nikaludi nyumbani nipo stressed kinoma , yani mawazo yamenijaa mnoo, nawaza inakuwaje sasa demu ndo kashanikazia ,ila naumia mnoo kwa ile hali yake na bado anaendelea kufanya biashara...

AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.👇 Post Mpya
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.👇
@majario LIVE

Kila mwanamke ana mzunguko wake lakini hii ndiyo mizunguko ambayo kila mwanamke lazima awe na mzunguko mmoja kati ya hizi:👇 1. MZUNGUKO WA SIKU 22. Huu ndo mzunguko mfupi kuliko mizunguko yote...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest