Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
Gonga94 ยท Stories

CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

CHUMBA CHA MPANGAJI

ILIPOISHIA.....
"""" Nasraaaaaa!!! Nikikushika nakuuua mjinga weweeee....
Aliongea Rehema huku analia na kufungua mlango wa gari lake..

Rehema aliondoka pale kituoni akiwa kama amechanganyikiwa...
Alifika katikakati ya mji na kupaki gari kwanza huku anawaza ni upande gani aende..

Alisoma mshale wa mafuta ya gari ulikuwa umeshuka sana..
Aliamua kupitia sheli na kujaza mafuta,
Taratibu alieondoa gari lake kuelekea nyumbani alipouacha Mwili wa mama yake saidi..

*****
Rehema alifika na kukuta geti lipo wazi ikimaanisha kuna gari liliingia mule ndani muda si mrefu,
Alishtuka sana Rehema na kupaki gari lake njee kisha yeye kuingia ndani kwa kujihami akiwa ameshika silaha yake mkononi..

Alifika na kusukuma mlango wa sebuleni kisha kuingia ndani.. Alitazama kila pande na kuona matone tu ya Damu lakini mwili wa mama yake Saidi haukuwepo..

"" "" Mungu wangu... Huu mwili umeenda wapi tena jamani...
Aliongea Rehema kwa mshtuko huku ameshika mdomo wake..

""" Kama kuna mtu humu ndani ajisalimishe upesi....
Aliendelea kuongea Rehema kwa hofu huku anatetemeka sana...

Rehema alipiga hatua hadi kwenye mlango wa kingia chumbani kwa saidi,
Aliusukuma na kuingia ndani, alitazama kila pande na kukuta kupo sawa tu,

*****
Alitoka na kwenda kwa Nasra....
Alisukuma pia mlango kwa hukihami na Hofu nyingi sana...

Aliingia ndani akiwa ameitanguliza bastola yake..
Alitazama kila pande lakini hakukuta kitu chochote mule ndani..

Chumba kilikuwa cheupe utadhani hakukuwa na mtu aliewahi kuishi mule ndani.

****
"" " Au huyu binti ni jini jamani.?? Aliwaza Rehema huku anatetemeka na kuufunga ule mlango wa Nasra...

Alienda kwa Saidi kisha kufunga mlango pia..

****
Alifunga na Mlango lwa sebuleni kisha kutoka na kufunga geti...

Alichukua funguo zote na kuondoka nazo..

Rehema alienda kwanza nyumbani kwake Area C na kuoga kisha kubadili nguo..

Alivaa Top Nyekundu na Skin-jeans ya blue kisha kuweka nywele zake sawa na kutoka kwenda maeneo ya Starehe kwanza kupeleleza kama angepata habari zozote kuhusu tukio..

Mara nyingi wahalifu baada ya tukio huwa wanakimbilia sehemu za Sterehe. Alimini lazima huko angepata tu taarifa zozote...

******
Baada ya Rehema kutoka tu nyumbani kwake, breki yake ya kwanza ilikuwa ni Royal Vilage ambapo kulikuwa na Live band kwa usiku ule..

*****
Baada ya Kudifa, Rehema alipaki Gari na kujiweka sawa kisha kuingia ndani...

Rehema alienda kaunta na kuagiza Chupa ndogo ya konyagi na Soda aina ya Siprite, ilikuwa ni soda baridi ili kupunguza makali ya pombe ile..
Alipewa na kulipia kisha kwenda kukaa kwenye kona huku anatazama bendi na mazingira yalivyokuwa....

****
Rehema alimimina unywaji wake kwenye glass na kuanza kunywa taratibu..

Baadhi ya watu walianza kumtazama Rehema wakishangaa ni Binti wa namna gani anakunywa konyagi kwa kujiamini kiasi kile...

Konyagi ilikuwa ni pombe kali mithili ya Gongo, ni nadra sana kuona binti akinywa pombe kali za namna ile.

*****
Kuna mtu mmoja alikuwa amekaa pembeni,
Baada ya kumuona tu Rehema, yule mtu alishindwa kuangalia Bend na kujikuta anamtazama tu Rehema..

Rehema pia alijua hilo na yeye pia alianza kumuangalia yule kaka kwa jicho la kuibia...

******
Yule jamaa alimuita muhudumu na kumnong'oneza huku akimuonyesha upande alipokuwa amekaa Rehema..
*

Baada ya kuelekezwa, yule dada alijiweka sawa na kwenda kumfuata Rehema..

****
"" " Dada Samahani.. Kuna yule kaka mwenye Shati ya Draft kaniagiza, anasema kama hautojali anaomba aje kukaa na wewe meza moja au unae mgeni unamsubiri.???
Aliongea muhudumua huku anamtazama Rehema..

" "" Bila shaka.. Mwambie aje tu, alijibu Rehema na kujiweka sawa...

****

Muhudumua alitabasama n kurudi kwa yule jamaa..

Alimuelekeza na jamaa alitoa noti moja ya Elfu kumi na kumpa muhudumu kama Asante..

***
Yule jamaa aliinuka na kwenda kukaa pembeni ya Rehema na kumuagizia konyagi nyingine kichupa kidogo kama kile cha mwanzo...
Aliagiza na kuku mzima wa kuchomwa kisha kuanza kupiga story na Rehema..
*******

"" " Dada, kwa majina naitwa 'Leonidas Msechu'.. Sijui wewe unaitwa nani Dadaangu..
Aliongea yule kaka

" "" Mimi naitwa Rachel Marco
Alijibu Rehema akidanganya jina lake.....

"" " Unajina zuri sana pia nimevutiwa na unywaji wako dadaangu..
Unajiamini sana na upo mwenyewe alafu unakunywa vinywaji vikali kiasi hiki, je ukizidiwa nani atakupeleka nyumbani??
Aliongea yule kaka..

*
" "" Hahhaahahha.. Ni kawaida tu, mbona huwa nakunywa lile kubwa na silewi.. Nimeanza kunywa muda mrefu sana ndio maana hazinipi shida..
Nakushangaa wewe mwanaume unakunywa Serengeti Lite, unalewa kweli au umekuja kupoteza muda.???

Aliongea Rehema huku anatazama sana Shati la yule kaka baada ya kuona matone kama matatu ya damu kwenye sehemu ya shati upande wa kushoto mwa kifua cha yule kaka....

"" "
Hapana bana.. Mimi nakunywa sana tu sema hapa nimeanza tu kulainisha koo.. Na leo nimepiga dili la pesa ndefu sana kwahiyo nipo tayari tunywea na ikiwezekana tuondoke pamoja tukatulie sehemu dadaangu au unasemaje.???
Aliendelea kuongea yule kaka...
.....

""" Kwani umepiga dili gani.??
Alidakia Rehema kutaka kujua kiundani zaidi.. Alishaanza kuhisi huenda kuna jambo anajua yule jamaa..

Dodoma ni mji mdogo sana ni rahisi kwa mhalifu kukamatwa kwa muda mfupi tu...

*****
"" " Hahaahha.. Ni dili za kiume tu, mtoto wa kike hupaswi kujua bana..
Wewe unatakiwa kula pesa tu, hutakiwi kujua zilipo toka..
Aliongea yule kaka..

" "" "
Hahahahahah. Jamani we kaka. Lakini kweli, wadada kazi yetu ni kula tu kwasababu hata kutafuta pesa hatuwezi acha tudange tu..
Aliongea Rehema na kufungua kichupa kipya cha konyagi kwasababu kile cha mwanzo alisha kimaliza..

Alimimina kidogo kwenye glass yake na nyingine alimimina kwenye glass ya jamaa kisha kumchanganyia na bia...

*****
*SEHWMU YA 29*
*****

Waliendelea kunywa huku wanapiga story mbili tatu....

Walikunywa sana hadi yule jamaa akaanza kucheka hovyohovyo tu..

"" " Dada unajua wewe ni mrembo sana..
Nikikushika ninakukula hadi unyee.. Nakupiga hadi nakupeleka kwa mpalange au utaninyima mbwaaa wewe..?????
Aliongea yule jamaa akiwa ameanza kuzidiwa na pombe kichwani...

" "" " mimi nitakupa popote unapotaka kikubwa uniachie pesa ya kutosha tu ndio maisha ya mjini hapa..
Aliongea Rehema..

" "" Basi tunaweza kwenda.. Nitakupa laki mbili ya usumbufu,

Mbwaaa najua hujawahi kushika hiyo hela tangu umeanza umalaya wewe mshenzi..
Alafu unalo tako maridhaaawa..

Aliendelea kuongea yule kaka nakuingiza mkono mfukoni kisha kutoa noti kadhaa na kumpa Rehema azihesabu..

"" "
Ipo ngapi hapo.. Aliuliza yule kaka..

" "" Ni kama laki Tatu na nusu.....
Rehema alijibu..

"" " Hizo ni zako.. Basi Mwambie huyo muhudumu atufungie huyo kuku tutaenda kula home....
Beba na pombe zetu tutaenda kumalizia nyumbani pia....
Tutakunywa sana baada ya kujigijigi kama Jogoo na mtetea.....
Aliongea yulwe jamaa na kuinuka...

" "" Kaa kwanza nisiburi nikakojoe.
Aliongea Rehema na kuinuka yeye...

Rehema alitoka njee na kuwasha gari lake kisha kwenda kulipaki sehemu nzuri na kulipia kwa mlinzi kisha kupewa risiti, aliaga atakuja kulichukua asubuhi...

Baada ya hapo Rehema alirudi ndani na kumchukua jamaa wake kishaa kuondoka..

"" " Usije kuniumiza huko tunapoenda..
Aliongea Rehema..

" "" Umechukua hela mingi banaaa.. Lazima uuumie mbwaaaa.. Na ninao muhogoo wa kufa mtu...
Aliongea yule kaka....

Walitoka na kupanda gari la yule jamaa..

Gari la jamaa lilikuwa ni Noah New model, nyeusi na ilikuwa na vioo vyeusi....

***
Gari ilikuwa inanuka Damu sana...
Rehema baada ya kuingia tu alihisi lazima kuna kitu gari lile lilikuwa limebeba...

Baada ya kukaa kwemye siti, rehema alianza kusikia harufu ya mavi pia...

"" "" Hizi kazi zetu ngumu dadaangu.. Kuna mzoga tulienda kuuchukua unanuka sana..
Hadi sasa harufu haijaisha na nimepuliza pafyuma za kutosha humu ndani..
Aliongea yule kaka..

"" " Mmmmhhhh
Mbona hata hapanuki sana.??? Aliongea Rehema kumpa moyo yule jamaa..

Jamaa aliwasha gari hadi nyumbani kwake...

Alifika na kupaki gari vizuri tu japo alikuwa amelewa lakini kuendesha gari haikumshinda...

Waliingia ndani na kuweka vinywaji mezani..

******
Waliendelea kunywa huku Rehema akizidi kumjazia mwenzie konyagi...

Walitoa kuku na kuanza kula lakini jamaa alikula kama finyango mbili tu na kuanza kusinzia.....

Rehema alimshika yule jamaa na kumuingiza chumbani kisha kumlaza kitandani...

Rehema alirudi sebuleni na kummalizia yule kuku wote...
Alikula hadi akahakikisha ameisha babisa..

Baada ya kuona ameshiba vyema.. Rehema alishushia na maji kisha kurudi chumbani kumwangalia jamaa anaendeleaje...

****
Jamaa alikuwa anakoroma tu....
Rehema aliingia chooni na kuanza kuangalia mazingira kama yapo sawa..

Baada ya kuona kupo sawa..
Rehema alianza kupekua mabegi ya jamaa na kufanikiwa kukuta Risasi kama 20 za bastola...

Rehema alishtuka kidogo na kurudi nyuma..

Alisogea kitandani na kuanza kumpekua jamaa..
Alikuta kweli alikuwa na bastola kiunoni...

Rehema aliishika na kuikagua na kubaini ilikuwa bastola ya jeshi...

Rehema aliingiza mkono kwenye mfuko wa yule jamaa na kutoa walet...
Aliikagua na kukuta Kitambulisho cha jeshi...

"" " Good, kumbe ni mwanajeshi..
Aliongea mwenyewe Rehema na kurudisha vitu vya jamaa kama vilivyokuwa..

********
Rehema alitulia kidogo lakini baada ya muda alisikia Simu ya jamaa ikiita..

Aliitazama ilikuwa imeandikwa"
"Kamanda Nasra" "
Rehema aliitazama hadi simu ikakata...

Baada ya kukata tu.
Rehema alishika simu yake na kwenda sehemu ya majina ili kuona namba za Nasra kama ni yeye kweli au alikuwa Nasra mwingine.

" "" " Haaaaahhhh.. Nasraaa.. Kumbe ni yeye...
Aishtuka Rehema na kujikuta anaongea..

Rehema aliirudiaha simu yake mfukoni na kuendelea kuipekua simu ya yule jamaa..

Mbaya zaidi jamaa hakuweka Password kwenye simu yake..
Wanajeshi wengi huwa wanajiamini kwamba hakuna mtu wa kuishika simu yake hovyoo..

**
Rehema aliamza kupekua mesg moja baada ya Jingine..

Rehema alijikuta anabaki mdomo wazi baada ya kuona Mesg alizokuwa akichati jamaa na Nasra

Kumbe mpango wote wa kuanzi kuuliwa kwa Mama yake Saidi yule mwanajeshi ndio alikuwa akitumwa na Nasra..
Hadi baadae kuuchukua mwili wa yule mama aliande yuleyule mwanajeshi pia..

"" " Utasema yote mbwa wewe..
Aliongea Rehema na kumtazama jamaa akiwa bado anakoroma tu....

*****
*SEHEMU YA 30*
*****

*****

"" " Good... Aliongea Rehema na kuendelea kupekua simu ya yule jamaa...

Rehema alisoma mesga ya Mwisho ya yule jamaa kuandikiwa na Nasra ilikuwanasema hiviii.. " "" Ingia Whatsapp nimekutumia picha za yule malaya, ukimuona popote ua sawa kamanda.. "" "".
Rehema aliusoma na kucheka tu kisha kuingia Whatsapp..

Kweli alikuta picha zake kama Nne hivi zimetumwa kwa jamaa...

****
Rehema alimaliza kuzitazama zile picha na kuinuka taratibu kuingia bafuni kuoga kupunguza pombe kichwani kisha kurudi na kukaa karibu na jamaa..

****
Muda ulienda hadi inafika alfajiri, Rehema yeye alikuwa macho akimtazama tu jamaa hadi atakapo amka..

Ilivyofika saa 12 asubuhi, jamaa alianza kujitikisa kuashiria kwamba fahamu zinataka kumrejea na pombe zilikuwa zimepungua kichwani..

Rehema alishika bastola yake kisha kumuwekea jamaa shingoni...

"Jamaa alishtuka kidogo kwa ubaridi wa kichwa cha bastola uliokuwa umegusishwa kwenye shingo yake...

****
Taratibu jamaaa alifumbua macho na kumtazama Rehema...

" "" Vipi mchumba...
Aliongea jamaa..

Rehema alikuwa amekunja Sura na kuikoki Bastola yake..

Jamaa alishtuka sana baada ya kusikia mlio ule wa bastola kukokiwa karibu kabisa na masikio yake...

******
"" " Ukitikisika umeisha..
Aliongea Rehema na kutoa kitambulisho chake kwa mkono mmoja huku mkono mwingine ukiwa umeshika bastola....

" "" Mkuu mbona umenishikia bastola.???
Aliongea yule jamaa.

"" " Nahitaji kujua wapi anaishi Nasra.. Upesi amka uvae unipeleke..
Aliongea Rehema na kuruka pembeni ili kumpa nafasi jamaa aweze kuamka na kuvaa...

Rehema alikuwa bado ameishikilia vyema bastola yeke.

Jamaa aliamka na kuvaa upesi kisha kutoka akiwa ameweka nyuma mikono yake..

Alishajua kuwa Rehema ni mtu mkubwa sana kwahiyo walitofautiana sana hata kwenye mbinu za kijeshi..

*****
Walitoka na kuingia kwenye Gari,

Jamaa alipanda mbele na Rehema alikuwa siti ya nyuma huku kamuwekea jamaa bastola kisogoni..

Jamaa aliendesha gari kuelekea wapi alipo Nasra..

Gari lilitembea na kuanza kutoka njee ya mji wa dodoma..

Walifika Msalato na Gari lilikata kona kulia kwenye njia ya Vumbi...

*****
"" " Unauhakika huku ndipo Nasra alipo.???
Aliuliza Rehema..

" "" Ndio mkuu....
Alijibu yule jama..

*****
"" " Mwili wa yule mama mlio uchukua jana mmeupeleka wapi.???
Aliendelea kuongea Rehema..

" "" Tulikuja kuuchoma moto huku huku...
Jamaa alijibu kwa hofu sana huku anaendelea kuendesha gari...

*****
Rehema alitoa Simu yake mfukoni na kubonyeza kitufe cha ramani kisha kutoa taarifa kwenye ofisi za usalama Dodoma kuwa maafisa kadhaa wamfuate alipo kwakutumia Ramani..

Rehema aliirudisha Simu yake mfukoni na kuendelea kumtazama jamaa kwa umakini sana..

*******
Gari lilitembea na baadae kufika kwenye nyumba kubwa ambayo inasemekana Nasra ndipo anaishi kwa sasa..

Walishuka akiwa ametangulia yule jamaa kuelekea ndani..

**
Rehema aliirudisha bastola yake kiunoni na kuendelea kumfuata jamaa..

*****
Wakiwa wanaingia ndani, Rehema alishangaa jamaa kageuka upesi na kurusha teke zito ambalo Rehema alilikwepa na uinama chini..

Upesi Rehema aliruka na kumpiga jamaa Teka kifuani,
Jamaa akiwa anapepesuka bado, Rehema aliichomoa bastola yake kisha kummiminia jama risasi kama tatu kifuani..

Jaa alidondoka chini kama mfuko wa Chumvi.

******
Rehema aliingia ndani na kuanza kupekua kila kona lakini hakukuta mtu zaidi ya majivu tu kwenye moja ya vyumba, ikimaanisha kuna mtu alichomwa moto mule ndani

Rehema alirudi njee na kuchukua Simu yake kisha kumpiga jamaa picha kama nne hivi na kumtumia Nasra..

"" " Uliemtuma aje kuniua huyo hapo..
Bado wewe...
Rehema aliandika huo ujumbe baada ya kutuma zile picha...

Zile bicha zilifika na baada ya dakika kama mbili zilionyesha tiki ya blue kuashiri picha zimeshafunguliwa na Nasra ameziona..

Rehema alibaki online huku anatazama Nasra akityp jambo...

"" " Anaandika nini huyu mpuuzi,
Aliwaza Rehema...

*****
" "" Sawa Darling Hongera kwa mauaji.... Ujimbe kutoka kwa Nasra uliingia...

Lakini kaa ukijua kuwa Unapoenda kulala wewe, mimi ndipo natoka kuamka hapohapo..
Rehema umeanzisha vita usiyo iweza.. Jiandae my Dear.... Alituma tena Nasra ujumbe wa pili....

"" "" Haya nakuomba Pokea video mama anataka kukusalimia...

Uliingia tena ujumbe wa tatu kutoka kwa Nasra. ...

Rehema alizisoma na baada ya kumaliza tu kuzisoma, Simu yake iliita Video call humo humo Whatsapp..

Ilikuwa ni Video kapiga Nasra...

Rehema aliipokea huku anatetemeka kwa hofu...

Rehema alishtuka sana baada ya kupokea na kumuona mama yake akitabasamu.....

"" " Mwanangu.. Asante sana.. Mwili wa Binamu yako Sele umefika salama.. Tunajiandaa kwa mazishi...
Ameuleta huyu Rafikiyako Nasra.. Amekuja na wenzie wanaume wawili.....
Karibu sasa tupo tuna andaa chai...

Wageni wengine aliokuja nao wapo njee na baba yako wanachuna mbuzi.....

Aliongea Mama yake Rehema na baada ya kumaliza kuongea hayo, Nasra alishika simu.... "" " Pole Rehema kwa msiba mwingine unaokuja kutokea...
NASRA Aliongea kwa hasira na KUKATA ILE SIMU ....

****

Kumbe Nasra alishafika morogoro kwa akina Rehema na lengo kuu ni kuwaua wazazi wa Rehema...

Rehema alihisi kuchanganyikiwa baada ya kumuona mama yake laivu kwenye video call akiwa na Nasra..

Rehema alikimbia njee na kurudi ndani huku akiwa kama amechizika vile..

Alikimbia tena njee na kupanda gari..

Alishika tena Simu yake na kumpigia mama...

******
Mama yake hakuookea simu... Simu iliita tu hadi ikakata..
Rehema alipiga tena kwa baba yake lakini haikupokelewa...

Rehema alihisi kuchanganyikiwa zaidi na kuwasha Gari la yule jamaa kisha kuondoka nalo kurudi mjini huku anahema na kulia hovyohovyo...

Gari alilokuwa akiendesha Rehema lilipita pale Msalato kwa mwendo wa ajabu sana..

Watu walishika Midomo kwa woga baada ya kuona mwendo kasi ulio pita nalo gari lile analo liendesha binti........

*********
JE NINI KINAENDA KUTOKEA KWENYE MSIMU WA PILI WA SIMULIZI HII TAMUUUU.?????

*Usikose..*

Chakufanya lipia Ada yako kuepuka usumbufu wa hapa na pale...

*Wanao daiwa nitawatoa..*

Season Two inaanza Kesho Panapo Majaaliwa ya Mungu wetu Mkuu...

Leo tutaendelea na *Mjomba ulaaniwe* pamoja na *PREPO (school Night)*
Tangazo - Earn up to $2000 a day
Earn up to $2000 a day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one


CHUMBA CHA MPANGAJI

ILIPOISHIA.....
"""" Nasraaaaaa!!! Nikikushika nakuuua mjinga weweeee....
Aliongea Rehema huku analia na kufungua mlango wa gari lake..

Rehema aliondoka pale kituoni akiwa kama amechanganyikiwa...
Alifika katikakati ya mji na kupaki gari kwanza huku anawaza ni upande gani aende..

Alisoma mshale wa mafuta ya gari ulikuwa umeshuka sana..
Aliamua kupitia sheli na kujaza mafuta,
Taratibu alieondoa gari lake kuelekea nyumbani alipouacha Mwili wa mama yake saidi..

*****
Rehema alifika na kukuta geti lipo wazi ikimaanisha kuna gari liliingia mule ndani muda si mrefu,
Alishtuka sana Rehema na kupaki gari lake njee kisha yeye kuingia ndani kwa kujihami akiwa ameshika silaha yake mkononi..

Alifika na kusukuma mlango wa sebuleni...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chumba-cha-mpangaji-29-30-final-season-one

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chumba-cha-mpangaji
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
SEHEMU YA 23  CHUMBA CHA MPANGAJI
SEHEMU YA 23 CHUMBA CHA MPANGAJI
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.89K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.52K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.92K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.64K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest