Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
01 Oct 2025
18 views
VYOTE NDANI GONGA94
Kiungo wa zamani wa wa timu ya taifa ya Nigeria na PSG ya Ufaransa Jay Jay Okocha (52) ameweka wazi maisha yake miaka 17
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
baada ya kustaafu kucheza soka 2008 na kueleza kuwa ya tofauti sana.
Okocha ameeleza kuwa maisha yake yalianza rasmi baada ya kuacha soka ila anakiri ni maisha magumu unakuwa uwanjani mashabiki 60,000 wanaimba jina lake siku inayofuatia unakuwa nyumbani peke yako mpweke.
Maisha ya soka hayana kiinua mgongo wewe ndio serikali wewe ndio kila kitu ila nashukuru nilijifunza maisha ya kweli baada ya kustaafu soka.
Niliamua kufanya uwekezaji wa kujenga manyumba na kununua ardhi sikuwa na tamaa ya kufanya kitu nisichokijua kitu ambacho kinanipa amani ya moyo.
Nilikuwa natumia pesa zangu za kusaini mikataba kuwekeza halafu bonasi ndio nilikuwa natumia kuendesha maisha, mgawanyo huo ndio umenipa heshima na utu baada ya kustaafu soka.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Unatoka Golini timu yako ikiwa inaongoza bao 3-2 tena dhidi ya Real Madrid
unaenda Kusaidia mashambulizi kwenye Mpira wa Kutengwa ...Siyo kwamba Mpo nyuma la hasha bali nyie ndiyo mnaongoza πππ ...
Nigerian Grammy-award-winning singer Burna Boy has stepped in to support the families of four children trag!cally k!ll3d in a mass shoot!ng at a birthday party in Stockton, California.
Burna Boy pledgEs to cover funeral costs for children k!ll3d in U.S mass shoot!ng Nigerian Grammy-award-winning singer B...
*TUNU NA UTAMU WAKE* *1-3* SEHEMU YA : 01 Mimi nimekua na kulelewa na kaka tu. Wazazi wetu walifariki zamani sana, enzi izo nilikua nina miaka 10 na kaka alikua na miaka 20
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ . Kulea mtoto mdogo kama mimi haikua rahisi kwake, ukizingatia na yeyee pia alikua mbioni kuelekea ch...
Kiungo wa zamani wa wa timu ya taifa ya Nigeria na PSG ya Ufaransa Jay Jay Okocha (52) ameweka wazi maisha yake miaka 17
baada ya kustaafu kucheza soka 2008 na kueleza kuwa ya tofauti sana.
Okocha ameeleza kuwa maisha yake yalianza rasmi baada ya kuacha soka ila anakiri ni maisha magumu unakuwa uwanjani mashabiki 60,000 wanaimba jina lake siku inayofuatia unakuwa nyumbani peke yako mpweke.
Maisha ya soka hayana kiinua mgongo wewe ndio serikali wewe ndio kila kitu ila nashukuru nilijifunza maisha ya kweli baada ya kustaafu soka.
Niliamua kufanya uwekezaji wa kujenga manyumba na kununua ardhi sikuwa na tamaa ya kufanya kitu nisichokijua kitu ambacho kinanipa amani ya moyo.
Nilikuwa natumia pesa zangu za kusaini mikataba kuwekeza halafu bonasi ndio nilikuwa natumia kuendesha maisha,...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kiungo-wa-zamani-wa-wa-timu-ya-taifa-ya-nigeria-na-psg-ya-ufaransa-jay-jay-okocha-52-ameweka-wazi-ma
Maoni