Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MPANGAJI  ...  01  🍏🍏  Hakuna mpangaji yoyote ambaye alikuwa anafahamu asili ya Yule mpangaji mwenzao
Gonga94 Β· Stories

MPANGAJI ... 01 🍏🍏 Hakuna mpangaji yoyote ambaye alikuwa anafahamu asili ya Yule mpangaji mwenzao

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, hata jina lake la β€˜Sele’ wapo waliosema halikua jina lake halisi, lakini yote kwa yote Sele kama unavyoweza kusema alikua mpangaji wa kudumu wa mzee Mhina, miaka ilikatika na sio mzee Mhina wala wapangaji ama watoto wake walijua kazi halisi ya Sele.

Wapo waliosema sele alijihusisha na kazi ya kuzibua vyoo huko mjini mbali na hapo, wengine walisema sele Alikuwa mtu wa β€˜kitengo” na kama ilivyo kawaida ya wabongo basi wengine walizua kuwa sele ni jahili mzoefu,
Kwanza Sele asingetoka nje ya chumba chake bila kuitwa, na kwakuwa chumba chake kilikua ni selfu basi huwezi kujua kama sele yupo ndani au ametoka.

Mama mwajuma hawezi kusahau yeye na wapangaji wenzake walivyoumbuka siku hiyo walitumia masaa zaidi ya mawili kumsengenya Sele kwa sauti ya juu kabisa.

β€œTena nakuambia huyu Sele itakuwa anafuga majini, mwanaume gani huwezi kumkuta yuko nje na wenzake, nyumba haina redio wala tivii halo halooo!”.

β€œhalafu hata siku moja sio mwanaume wala mwanamke aliwahi kuingia hicho chumba!”

β€œhakuna hata ndugu yake mmoja aliyewahi kuja hapa nakuambia mwaka wa sita huu mimi niko hapa!” wapangaji wenzake walikua wakiendelea kumzodoa sele,

Mama Mwajuma alikua amekazana kuongoza maongezi hayo bila kujua sele alikua ndani akiwasikiliza tu,
Ni mpaka pale waliongea hadi wakachoka ndipo Sele alitoka akiwa na mkoba wake.

Alimsalimia mama Mwajuma kwa heshima kama ilivyokuwa kawaida yake kisha akatoa elfu tano na kumpa mama Mwajuma ambaye alishikwa na kigugumizi.

β€œhii hela ya umeme utampa kaka Efraimu hapo tutaonana baadae” alisema Sele akitoka zake..
Huku nyuma wale wanawake waliangua kicheko
β€œtumeumbuka shoga, umbea huuu”
Alisema aisha akirudi ndani kwake..

****************************
Kama kawaida siku hiyo saa tatu usiku Sele alirejea zake nyumbani kwake aliwapita wanawake kadhaa waliokuwa bado hawajamaliza kupika vyakula vyao vya usiku, aliwasalimia kana kwamba hakuna chochote kilichotokea asubuhi ile kisha akafungua mlango na kujitosa ndani.

Huku nyuma vicheko vilisikika kama kawaida lakini aliwapotezea, hakuwa na muda wa kubishana nao kwanza ukimtoa Ephraim, wapangaji wengine walimkuta akiwa pale, kwanini ahangaike nao.

Usiku wa manane Sele alistushwa na kelele za wapangaji huko nje ya chumba chake alijaribu kutega sikio kusikiliza vizuri na kugundua ulikua ugomvi wa mke na mume tu, kama kawaida hakujishughulisha na ugomvi usiomhusu akavuta shuka lake na kulala.

Alfajiri alistuka mlango wake ukigongwa kwa nguvu na Ephraim , alimtambua sauti yake
β€œlabda ni pesa ya umeme” aliwaza akitoka akivaa β€œmalapa” yake na tisheti kisha akafungua mlango na kutoka
β€˜OI, broo’ alisema Sele
β€˜kuna kikao mshkaj njoo chap β€˜ alisema Ephraim akirudi zake, kwa muda wote aliokaa pale hakuwahi kumuelewa Sele, kuna wakati alijaribu kumzoea lakini alijikuta akishindwa na hakuna hata siku moja alifanikiwa kukaa nae zaidi ya dakika tano.

Hata kwenye vikao vya usafi, umeme na maji, Sele hakuchangia chochote alisubiri makubaliano tu kisha alitoa pesa yoyote itakayokubaliwa.

Hata mzee Mhina alikua akimtolea mfano kuhusu ulipaji kodi, haijawahi kutokea Sele akapitisha mwezi bila kulipa kodi ya pango.

Tofauti na vikao vingine , siku hiyo mzee Mhina na balozi wa nyumba walikuwepo kwenye kikao cha siku hiyo kidogo sele alistuka lakini hakuonyesha mshangao wake wazi akasogea na kukaa kwenye mkeka kama wenzake.

β€œnadhani wotetupo sasa tuendelee ili wengine waende kutafuta riziki”
Alisema mzee Mhina. Wote waliitikia kisha Balozi akamkonyeza mzee Mhina kumuashiria atoe hoja kikao kianze
β€œ sasa ndugu zangu nimepata malalamiko kuhusu Bwana Sele hapa” alianza Mzee Mhina,

β€˜Jana usiku kulikua na ugomvi miongoni mwa wapangaji na walitoka na kupigana bado kidogo wauane, wapangaji wote walitoka kuamua na kusaidia lakini ndugu yetu Sele yeye wala hakujisumbua kutoka, sio jana tu lakini hata wakati ule chumba cha mama Isa kilipopata hitilafu Bwana Sele pia hakutoka kabisa.

Nakumbuka pia hata wakati wa sherehe ambayo niliandaa mimi mwenyewe wakati binti yangu Rehema akifunga ndoa Bwana Sele pia hakuhudhuria hivyo kwa mazingira haya naona kabisa kuna kitu huyu mwenzetu anacho anajaribu kutuficha nikaona balozi uje kidogo utusaidie,” alimaliza Mzee Mhina huku wapangaji wote wakipiga jicho kwa Sele.

β€˜ ooh Kijana wangu Sele, hebu niangalie, hivi kweli leo hii hata nikikuambia unitajie majina ya wapangaji wenzako utawajua kweli?’ aliuliza Balozi huku wapangaji wengine wakicheka.

β€œhuyu anamjua Ephraim tu ndio mwenzake huyoo” alidakia mama Mwajuma.

β€˜ Hapana nawajua wote!” alidakia Sele kisha akaendelea.

β€˜wewe ni mzee Lota, una watoto wanne , watatu wa kike na mdogo wa mwisho wa kiume, Yule ni Aisha na mumewe Mkude, Yule ni mama Mama Mwajuma na mume wake Ngoda, pale ni Isa, kule ni John na hapa ni kaka Ephraim na mke wake mama Joan’ alimaliza Sele huku akiwaacha wapangaji wote mdomo wazi, hususani huyu mpangaji John ambaye alikua na siku ya pili tu!

β€œWewe mwana wewe, umejuaje mpaka hawa wapangaji wapya? Umeona sasa Balozi tukisema sisi tunaishi na zimwi.. zimwi..” alidakia mama Mwajuma huku wapangaji wote wakiangua kicheko.

β€œ Mama Mwajuma, tumalize kikao ili usichelewe kumuandalia mgeni wako Ester anayekuja leo kutoka Lindi!” alisema Sele akitoka zake kurudi chumbani!

β€˜Bwana sele hatujamaliza lakini!” alisema Mzee Mhina lakini sele alirudi zake chumbani kumalizia usingizi wake,
β€œmakubwa haya, makubwa haya sasa kuhusu Huyu Ester huyu Sele kajuaje jamani” alisema mama Mwajuma huku akiondoka.

Kikao kile kilivuruga kabisa mtazamo wao kuhusu Sele, wapangaji waligawanyika huku wengine wakitaka afukuzwe, na wengine wakisema hawajaona kosa
β€œsasa afukuzwe kwa kosa gani?

Bili zote analipa, usafi analipa, kodi ya watu analipa, hawajawahi kugombana na mtu kaka wa watu, muacheni bhana!”

Alisema Ngoda na kisha kikao kikaishia hapo

Itaendelea...😁
Full 1000
wsp 0784468229

πŸ«πŸ’œ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MPANGAJI ... 01 🍏🍏 Hakuna mpangaji yoyote ambaye alikuwa anafahamu asili ya Yule mpangaji mwenzao

, hata jina lake la β€˜Sele’ wapo waliosema halikua jina lake halisi, lakini yote kwa yote Sele kama unavyoweza kusema alikua mpangaji wa kudumu wa mzee Mhina, miaka ilikatika na sio mzee Mhina wala wapangaji ama watoto wake walijua kazi halisi ya Sele.

Wapo waliosema sele alijihusisha na kazi ya kuzibua vyoo huko mjini mbali na hapo, wengine walisema sele Alikuwa mtu wa β€˜kitengo” na kama ilivyo kawaida ya wabongo basi wengine walizua kuwa sele ni jahili mzoefu,
Kwanza Sele asingetoka nje ya chumba chake bila kuitwa, na kwakuwa chumba chake kilikua ni selfu basi huwezi kujua kama sele yupo ndani au...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpangaji-01-hakuna-mpangaji-yoyote-ambaye-alikuwa-anafahamu-asili-ya-yule-mpangaji-mwenzao

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpangaji
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
🍏🍏  MPANGAJI 05  β€’β€’β€’  Sasa Esta alitafuta namna ya kuanza mazungumzo yake yale aliyoyaita rasmi, Aliweka komputa
🍏🍏 MPANGAJI 05 β€’β€’β€’ Sasa Esta alitafuta namna ya kuanza mazungumzo yake yale aliyoyaita rasmi, Aliweka komputa
MPANGAJI 04 🍏🫐  °°°°  Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida
MPANGAJI 04 🍏🫐 °°°° Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
MPANGAJI 02  🍏🍏🍏🍏🍏  Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku
MPANGAJI 02 🍏🍏🍏🍏🍏 Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku
SEHEMU YA 23  CHUMBA CHA MPANGAJI
SEHEMU YA 23 CHUMBA CHA MPANGAJI
MPANGAJI 03  🍏🍏🍏🍏🍏  Sele hakukaa hata kidogo aliondoka zake mara tu baada ya kumuacha Ester pale kwao, Sasa Ester
MPANGAJI 03 🍏🍏🍏🍏🍏 Sele hakukaa hata kidogo aliondoka zake mara tu baada ya kumuacha Ester pale kwao, Sasa Ester
MPANGAJI  ...  01
MPANGAJI ... 01
MPANGAJI 02  🍏🍏🍏🍏🍏
MPANGAJI 02 🍏🍏🍏🍏🍏
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

636
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

506
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

144
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

124
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

116
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

81
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

80
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

5

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest