Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
30 Nov -0001
77 views
VYOTE NDANI GONGA94
"NIKABIDHI VYOTE DEAR!" ๐Nipe wako moyo, niishi kwa amani. Nikabidhi lako pendo,
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"NIKABIDHI VYOTE DEAR!"
๐Nipe wako moyo, niishi kwa amani.
Nikabidhi lako pendo, nipate heshima.
Nipakate Kama yai, moyo wangu utulie.
๐ฅWema ni asili yangu, huruma ni maumbile yangu.๐
Upendo ndio siraha yangu, upole ndio ngao yangu.๐
@@@@@@@@
๐ Ila wasiwasi ndo ugonjwa kwangu hasa nisipofahamu uzima wako. "U HALI GANI MY DEAR?."
Ila siyo lazima unijibu. ๐Hata ukitikisa kichwa tu., Inatosha.
๐ Ulalapo, niote nikuote.
I love you ๐
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitaj...
"NIKABIDHI VYOTE DEAR!" ๐Nipe wako moyo, niishi kwa amani. Nikabidhi lako pendo,
"NIKABIDHI VYOTE DEAR!"
๐Nipe wako moyo, niishi kwa amani.
Nikabidhi lako pendo, nipate heshima.
Nipakate Kama yai, moyo wangu utulie.
๐ฅWema ni asili yangu, huruma ni maumbile yangu.๐
Upendo ndio siraha yangu, upole ndio ngao yangu.๐
@@@@@@@@
๐ Ila wasiwasi ndo ugonjwa kwangu hasa nisipofahamu uzima wako. "U HALI GANI MY DEAR?."
Ila siyo lazima unijibu. ๐Hata ukitikisa kichwa tu., Inatosha.
๐ Ulalapo, niote nikuote.
...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nikabidhi-vyote-dear-nipe-wako-moyo-niishi-kwa-amani-nikabidhi-lako-pendo
Maoni