Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 10  "Nijibu tafadhari jibu lako ndio amani ya moyo wangu tafadharii malaika wangu"
Gonga94 ยท Stories

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 10 "Nijibu tafadhari jibu lako ndio amani ya moyo wangu tafadharii malaika wangu"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nilimtizama nikaamua kumjibu ukweli wa moyo kwanza niliitoa mikono aliyokuwa kanishika nikakaa kwa kutulia ili nimpe jibu lake sasa

"Samahani wewe ni boss wangu ndio maan umesema tunautofauti mkubwa wa kihisia wewe ni boss wangu na mimi ni mfanyakazi wako na wewe pengine unanichukuliaa mimi kama mtu wa muhimu sijui kama ni kweli ila si belieave kwenye mapenzi maisha yangu yote nimekaa sina mpenzi wala nani na sijawahi kupenda na sijui kupenda kama mpenzi kwasabau nimezaliwa sina mpenzi wala rafiki maisha yangu yananitosheleza sitaki kuingia kwenye ushusiano ambao sipo tayari kuwa naoo hivyoo tafadhali usijisumbue pia nitachukulia ulichokifanya kwangu kama ni taamaa za kimwili na pengine ukaribu wetu wa ile siku umezaa jambo jipya samahani sana nisikukwaze nikikwambia nakupenda nakudanganya wewe ni mkaka mzuri tu naaamini utapa..." alinidaka

"Wait Angel you still know that upendo wangu kwako ni tamaa zangu binafsi za kimwili I am sorry mam mimi nakupenda wewe sio leo kesho na hata kesho kutwa I'll still love you, wew niliokupata ni wa thamani sana sitaki kukuacga wala kukupoteza, haya nambie nina kasoro gani kwangu mpaka useme etty huwezi kuwa na mimi why Angel"

"Samahani ila baba yangu mara zote huwa ananambia mapenzi ni hayalazimishwi sawa mapenzi huja yenyewe kama yakitaka na hakuna anaeweza kuyalazimisha mapenzi sawa naomba unielewe tafadhari" nilimwambia kwa utaratibu japo bado nilikiwa naongea sauti ya kitoto

"Okay nimeelewa but why kila muda ni baba, baba,baba Angel kwani mimi sina wazazi samahani Angle nakuomba kaa chini na unielewe vizuri nini namaanisha na mimi nahitaji kutoka kwako sawa madam?, ila nakuahidi utanipenda kwa maaan mimi ndio mwanaume wa kwanza kwako nashangaa mwanamke mimi nakuwa mwanaume wako wa kwanza na bado hutaki kuwa na mimi kwenye mahusiano?" "Sorry haijalishi kuwa nini ni nini na nini ni nini samahani naweza kuwa na mwanaume yoyote hata kma sina hyoo ambayo umeitoaa wewe kwanza ni tayari umevunja hata uamanifu wangu niliokuw nao kwa baba yangu amekuwa....." akanidaka

"Angel huchoki kila siku baba baba, baba enough of your dad now it's your time," aliongea kwa sauti kali mwisho akaishusha sauti yake sasa akanishika mabega "samahani kama nimekukwaza ila jiandaee ukikaa sawa tunaondokaa samahani lakini au bado ulikuwa unataka kwenda kupiga picha?"

"Ndio na nipo sawa sasa keshoo nitaenda kupiga picha nikamuoneshe baba yangu kama kweli nilikuwa huku asante" "Sawa baki salama kukiwa na shida unaweza kuja chumbani kwangu karibu kwangu ni kwako malaika" hyooo malaika ni anapenda kuniita

baba ila na huyu nae kaanza kuniita malaika

hovyoo

Itaendelea.....
Tangazo - Bilionea ndani ya hoteli full story mwandishi babie love
Bilionea ndani ya hoteli full story mwandishi babie love
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 10 "Nijibu tafadhari jibu lako ndio amani ya moyo wangu tafadharii malaika wangu"

nilimtizama nikaamua kumjibu ukweli wa moyo kwanza niliitoa mikono aliyokuwa kanishika nikakaa kwa kutulia ili nimpe jibu lake sasa

"Samahani wewe ni boss wangu ndio maan umesema tunautofauti mkubwa wa kihisia wewe ni boss wangu na mimi ni mfanyakazi wako na wewe pengine unanichukuliaa mimi kama mtu wa muhimu sijui kama ni kweli ila si belieave kwenye mapenzi maisha yangu yote nimekaa sina mpenzi wala nani na sijawahi kupenda na sijui kupenda kama mpenzi kwasabau nimezaliwa sina mpenzi wala rafiki maisha yangu yananitosheleza sitaki kuingia kwenye ushusiano ambao sipo tayari kuwa naoo hivyoo tafadhali usijisumbue pia nitachukulia ulichokifanya kwangu kama ni...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-chapter-10-nijibu-tafadhari-jibu-lako-ndio-amani-ya-moyo-wangu-tafad

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-chapter
 *NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   *Chapter 14&15*  "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *Chapter 14&15* "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12  "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12 "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17  Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17 Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*    Chapter 18  Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18 Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
 *NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 18&20  Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18&20 Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*    Chapter 9  Nililala kichwa kikiwa kinawaka moto
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 9 Nililala kichwa kikiwa kinawaka moto
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8  Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 7  Nilikuwa nina maumivu makali sana nilikuwa naumiaa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 7 Nilikuwa nina maumivu makali sana nilikuwa naumiaa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*  Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest