Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NITAWATAJIRISHA KWA MWAKA MMOJA TU NA WATARUDI KWENYE UMASKINI WAO
Gonga94 · Stories

NITAWATAJIRISHA KWA MWAKA MMOJA TU NA WATARUDI KWENYE UMASKINI WAO

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Katika zama za Nabii Musa (a.s.), ambaye ni Kalimullah (Aliyezungumza na Mwenyezi Mungu), iliishi familia maskini yenye mume na mke. Umaskini uliwakumba kwa miaka mingi sana, wakaishi maisha magumu kwa subira.

Siku moja walipokuwa wamelala kitandani, mke akamuuliza mume wake:

“Mume wangu, je, Musa si Nabii wa Mwenyezi Mungu na ni Kalimullah?”

Mume akasema: “Ndiyo.”

Mke akamwambia:
“Basi kwa nini tusimwendee tumlilie hali yetu ya umasikini? Tumwombe amuombe Mola wake atutajirishe ili angalau tuishi kwa raha katika muda uliobaki wa maisha yetu.”

Mume akasema:
“Wazo zuri, ewe mke wangu”

Asubuhi ilipofika wakaenda kwa Nabii Musa (a.s.), wakamlalamikia hali yao na kumtaka amuombe Mola awatajirishe.

Musa (a.s.) anaenda kumuomba Mungu

Musa akaenda kukutana na Mola wake na kumueleza hali ya ile familia maskini.
Na Allah, Mjuzi wa siri zote, akasema:

“Ewe Musa, waambie nitawatajirishia kwa fadhila Zangu, lakini kwa MUDA WA MWAKA MMOJA TU.
Baada ya mwaka, watarudi kwenye hali yao ya awali ya ufukara.”

Musa akawarudia na kuwaambia kuwa Allah amekubali, lakini utajiri huo ni kwa mwaka mmoja tu.

Wakaandika furaha kubwa moyoni.
Kweli riziki nyingi zikaanza kuwajia mahali wasipopajua.
Wakawa miongoni mwa matajiri wa watu wao, maisha yao yakabadilika na wakaishi kwa neema.

Wazo la mke

Mke akamwambia mume:

“Kumbuka tumetajirishwa kwa mwaka mmoja tu. Baada ya muda huo tutarudi kwenye umaskini. Basi hebu tufanye jambo la wema kwa watu ili tukirudi kuwa maskini, watu watukumbuke kwa wema wetu, wasitukatae tukitaka msaada.”

Mume akasema: “Umesema kweli.”

Walivyofungua milango saba ya ukarimu

Wakatengeneza nyumba kwenye makutano ya barabara za wasafiri.
Kulikuwa na njia saba, wakafungua milango saba, kila mlango ukielekea upande wa barabara.

Wakaanza kuwakaribisha wasafiri waendao na wanaorudi, mchana na usiku, kwa chakula na ukarimu.

Siku zikapita, miezi ikapita, mwaka ukamalizika, na bado hawakuwa maskini tena.
Waliendelea tu na kazi yao ya kuwalisha na kuwakirimu watu.

Musa anashangaa

Musa akashangaa:
“Mola, uliwawekea mwaka mmoja tu wa utajiri!
Lakini sasa mwaka umepita na bado wanaishi kwa neema.”

Mwenyezi Mungu akajibu:

🎇 Jibu la Allah ambalo linafunua siri ya ukarimu 🎇

“Ewe Musa, Nimewafungulia mlango mmoja wa riziki Yangu,
na wao wamefungua milango saba kuwapa riziki waja Wangu.

Ewe Musa … NIMEWAACHA WAWE MATAJIRI DAIMA KWA UKARIMU WAO.
Je, inawezekana mja wangu awe mkarimu zaidi kuliko Mimi?”

Subhanallah!
Wewe ndiye Mkamilifu wa ukarimu na rehema, ee Mola wetu.

Funzo la Hadithi Hii

Toeni sadaka! Sadaka! Sadaka!
Ewe Allah, ifanye hadithi hii iwe sadakat jaria kwa niaba yangu, wazazi wangu, familia yangu, maiti wetu na Waislamu wote.

Kama umesoma kisa hiki baasi usiondoke bali acha athari kwa kuandika moja miongoni mwa majina matukufu ya Allah Subhaanahu wataala ☝️ ♥️

#SufianMzimbiri
Tangazo - Bilionea ndani ya hoteli full story mwandishi babie love
Bilionea ndani ya hoteli full story mwandishi babie love
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NITAWATAJIRISHA KWA MWAKA MMOJA TU NA WATARUDI KWENYE UMASKINI WAO

Katika zama za Nabii Musa (a.s.), ambaye ni Kalimullah (Aliyezungumza na Mwenyezi Mungu), iliishi familia maskini yenye mume na mke. Umaskini uliwakumba kwa miaka mingi sana, wakaishi maisha magumu kwa subira.

Siku moja walipokuwa wamelala kitandani, mke akamuuliza mume wake:

“Mume wangu, je, Musa si Nabii wa Mwenyezi Mungu na ni Kalimullah?”

Mume akasema: “Ndiyo.”

Mke akamwambia:
“Basi kwa nini tusimwendee tumlilie hali yetu ya umasikini? Tumwombe amuombe Mola wake atutajirishe ili angalau tuishi kwa raha katika muda uliobaki wa maisha yetu.”

Mume akasema:
“Wazo zuri, ewe mke wangu”

Asubuhi ilipofika wakaenda kwa Nabii Musa (a.s.), wakamlalamikia hali yao na kumtaka amuombe Mola awatajirishe.

Musa (a.s.) anaenda kumuomba Mungu

Musa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nitawatajirisha-kwa-mwaka-mmoja-tu-na-watarudi-kwenye-umaskini-wao

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nitawatajirisha-kwa-mwaka-mmoja-tu-na-watarudi-kwenye-umaskini-wao
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.48K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.56K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.11K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.11K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.04K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest