Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
14 views
VYOTE NDANI GONGA94
Spika wa Bunge la Minnesota, Emerita Melissa Hortman na mumewe, Mark, wamepigwq risasi na kuuawa leo Jumamosi asubuhi nyumbani kwao huko Brooklyn Park
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.
Shambulio hilo kali limetikisa Minnesota huku mtu aliyejifanya kuwa Afisa wa Polisi alifanya shambulio hilo la risasi lililolenga nyumba za Wabunge wawili wa Chama cha Democratic.
Karibu saa mbili asubuhi, mtu mwenye bunduki alifyatua risasi katika nyumba ya Champlin ya Seneta wa Jimbo John Hoffman, ambapo mwanamume na mwanamke walipigwa risasi.
Muda mfupi baadaye, nyumba ya mwakilishi Melissa Hortman huko Brooklyn Park pia ilishambuliwa.
Takribani watu watatu wamepigwa risasi, na mshukiwa bado hajakamatwa.
Mamlaka zinachukulia mashambulizi hayo kama yamechochewa kisiasa, na msako wa Jimbo zima unaendelea.
#KitengeUpdates
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sik...
Spika wa Bunge la Minnesota, Emerita Melissa Hortman na mumewe, Mark, wamepigwq risasi na kuuawa leo Jumamosi asubuhi nyumbani kwao huko Brooklyn Park
.
Shambulio hilo kali limetikisa Minnesota huku mtu aliyejifanya kuwa Afisa wa Polisi alifanya shambulio hilo la risasi lililolenga nyumba za Wabunge wawili wa Chama cha Democratic.
Karibu saa mbili asubuhi, mtu mwenye bunduki alifyatua risasi katika nyumba ya Champlin ya Seneta wa Jimbo John Hoffman, ambapo mwanamume na mwanamke walipigwa risasi.
Muda mfupi baadaye, nyumba ya mwakilishi Melissa Hortman huko Brooklyn Park pia ilishambuliwa.
Takribani watu watatu wamepigwa risasi, na mshukiwa bado hajakamatwa.
Mamlaka zinachukulia mashambulizi hayo kama yamechochewa kisiasa, na msako wa Jimbo zima unaendelea.
#KitengeUpdates
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/spika-wa-bunge-la-minnesota-emerita-melissa-hortman-na-mumewe-mark-wamepigwq-risasi-na-kuuawa-leo-ju
Maoni