Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 *UDHAIFU WA MR CEO (dawa ya nini wakati kwako napona)* 1  na  2
Gonga94 · Stories

*UDHAIFU WA MR CEO (dawa ya nini wakati kwako napona)* 1 na 2

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

____________________________________

*SEHEMU YA KWANZA*

Maisha ni fumbo kubwa sana, kuna watu tunaweza kuhisi kama wapo sawa kabisa kumbe wanamatatizo meng sana ambayo yanawakabili, kuwa na pesa, muonekano mzuri na jina kubwa hakumfanyi mtu kuwa na furaha, kuna muda tunatamani kuwa matajiri ila kuna wakati ukijua namna ambavyo utajiri na umaarufu unavyotesa basi utataman kuishi maisha ambayo unaishi leo....

Naitwa Shimena. nimesomea business administration katika chuo kikuu cha sauti mkoani mwanza, ila nikapangiwa nikafanye field kwenye moja ya kampuni maarufu sana jijini dar es salam, ilikuwa ni ndoto zangu kumuona ceo wa hio kampuni maana sifa zake zilikuwa zinaenea kila mahali, kutokana na uchapakazi wake, na namna ambavyo alivyo kuwa na pesa nyingi, ila imekuwa ni ngumu sana kumuona au kukutana nae, amekuwa hapendi kukutana na watu, hata kwenye mikutano ambayo itamtaka. akutane na watu wengi amekuwa akituma wawakilishi nasio kwenda yeye mwenyew...

Nilipofika kwenye ile kampuni nilikuwa navizia sana kumuona ila haikuwa rahisi kabisa kumuona, siku moja kulikuwa na kuna tafrija fupi ya kutambulisha bidhaa mpya ambayo ilikuwa ni nguo, ambazo zilikuwa zimebuniwa na hio kampuni, na walisema kuwa ceo atakuja ila atakaa dakika tano tu na sio zaidi ya hapo, kila mtu alikuwa na shauku ya kumuona, hata mimi nilikuwa mmoja wapo...

Kweli tafrija ikaanza na kuna muda ceo alikuwa anatakiwa kutia sahihi kwenye mkataba ambao ulikuwa unahusisha wawekezaji mbali mbali wa kampuni ambazo zilitaka kuweka ubia na kampuni ambayo tulikuwa tunafanya nayo kazi... Alipotokeza kila mtu akaanza kushangilia, nikashangaa amesalimiana na wawekezaji haraka haraka kisha akasimama na kwenda kuweka sahihi baada ya hapo akachukua glass ya mvinyo akanywa haraka haraka haraka na kuanza kuondoka upesi kana kwamba alikuwa anawahi sehemu, waandishi wa habari walitaka. kumpiga picha ila waliobahatika ni wale. waliompiga wakati anaingia ila wengine wote hawakupata bahati hio basi msemaji wake akasema kuwa alikuwa busy ana mkutano mwingine anatakiwa kwenda, na tukaelewa

Basi kuna muda nilikuwa nakula, lakin kinywaji kilinimwagikia bahati mbaya, nikanyanyuka na kutaka kwenda kujisafisha, ila kwakuwa nilikuwa mgeni, sikuwa najua hata sehemu ya kujisafishia ni wapi, nikawa natembea tembea, mara nikaanza kusikia sauti inalia kwenye moja ya chumba ambacho kilikuwa kipo eneo lile, nikataka kujua ile sauti ilikuwa inatokea sehemu gani, maana sikuwa naelewa, ndio nikafungua mmoja wa mlango nikamuona Yule ceo wa kampuni yetu akiw amejikunyata analia, na namna kelele zilivyokuwa zinazidi ndio alizidi kupiga kelele, nililielewa hilo, hivyo nikafunga mlango na baada ya hapo nikakaa pemben yake maana alikuwa amekaa chini na kuweka kichwa chake kwenye kifua changu na kuanza kumchezea nywele zake taratibu kwa ishara ya kumtuliza, na kweli alitulia, na ule wasiwasi na uoga ambao alikuwa nao wote ukaondoka, akanigeukia akaniangalia kisha akaniuliza, wewe ni nani?....

"samahan kwa kuja huku, nilikuwa natafuta sehemu pa kujisafisha ndio nikajikuta nimeingia hapa, nikaanza kujitetea kisha nikasimama na kutaka kuondoka, nikashangaa kanishika mkono kisha akaniuliza kuwa nani amekutuma, unataka kupeleka taarifa zangu kwa waandishi wa habari sio....

Nilishangaa kwanini ananiambia vile, maana sikuwa na malengo mabaya yoyote, nikawa naondoka zangu, nikashangaa amenivuta kisha vifua vyetu vikagusana, alikuwa kana kwamba hajakutana na mwanamke muda mrefu maana mnara ulisoma dakika hio hio, na akaanza kushusha pumzi, kisha nikashangaa anaelekeza lips zake kwenye lips zangu....

Nikaona huyu vipi, yaan nimekuja kumsaidia. alafu anataka kunikiss, amechanganyikiwa nini, kiukweli sikuwa tayari na hilo hata kidogo, maana niliona kama ananidhalilisha na mimi sio Malaya, kusema labda najiuza hivyo anaweza kunifanyia jambo lolote lile analolitaka.........

Nikawa najiondoa kwake, nikashangaa ananiuliza unaitwa nani?...

"naomba uniachie nikaanza kulalamika baada ya kuona sekunde sio nyingi busu la bila kutaka linaninyemelea.. " siwez kukuachia kama haujaniambia unaitwa nani, haya niambie unaitwa nani?.. ikabidi nikubali kumuambia jina langu maana

sikutaka kuendeleza ligi "naitwa shimena.

nikajibu nikiwa nimeangalia chini...

*SEHEMU YA PILI*

"Najua unasiri yangu ambao watu wengi hawaifahamu, naomba nisaidie na nina kuhakidi nitakulipa kiasi chochote kile unachokitaka, akanambia,. Sikumuelewa kabisa yaan, maana kama anataka nimsaidie, sasa anataka nimsaidie nini, na wakati mimi najua kabisa siwez kulala nae, nikamuangalia na kumuambia kuwa msaada niliokupa ndio msaada pekee ambao naweza kukupa mimi, sina msaada mwingine wowote ule ambao mimi naweza kukupa wewe, naomba uniache niondoke zangu, nikaw anaondoka, nikashangaa ananivuta kisha akaanza kunipapasa, kana kwamba mtu mwenye hisia nyingi sana dhidi yangu, alikuwa na nguvu sana, maana hata nilipokjaribu kufurukuta napo sikufua dafu kabisa yaan, nikajikuta natulia, na akanipapasa na kiss za hapa na pale, mwisho tukajikuta tunazama kule....

Haikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na mwanaume kimwili, ila nilishawah kuingiliwa nikiwa mdogo na mmoja wa wajomba zangu, ila kuanzia kipindi kile sikuwah kushiriki tena tendo na mwanaume mwingine yoyote Yule, hivyo ni kama alikuwa ndio mwanaume wangu kwa kwanza kuanzia nilipokuwa....

Sikuwa bikra ila nilikuwa nahisi maumivu makali sana, sijui ni kwa sababu sikuwa nimefanya muda mrefu au nivipi, nikaanza kumsukuma ili aniachie ila badala yake hata hakuwa ananielewa akawa anaendelea kupump huki akisema shimena mamaaa ahhh shimena, babyyyyy huwezi kunisukuma ahhhh vumilia, vumilia mamaaa, nitakupa unachotaka nitakupa mama angu, akawa analalamika ila mwamba hamalizi, yaan kana kwamba alikuwa amenipania kupita kiasi, akawa anapambana sana kuniachia ila sijui ndio alishindwa kuachia utamu...

Kiukweli sikuwa najua alipiga pasi ngapi, maana sikuwa najua kama anamaliza au laa, maana sikuwa naelewa kitu chochote kile, alifanya mpaka nikazima, sijui hata nilizima saa ngapi, nimekuja kushtuka akiwa amenikumbatia kwa nguvu kisha akanambia kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimelala bila kumeza dawa, nahisi kama wewe ndio tiba yangu....

Aliposema neno dawa kiukweli sikuwa nimemuelewa kabisa, maana sikuelewa ni dawa gani, na kwanini hakunywa dawa kwa sababu yangu, nilikuwa nina hasira zangu za kuingiliwa bila ridhaa yangu, nilikuwa nataman kumkata kata vipande vipande ila ndio hivyo sikuwa na cha kufanya zaidi ya kuongea tu, nikaanza kulalamika na kulaani...

"yaan nahisi matajiri mali zao ni za madawa, haiwezekani nimekuja kukusaidia badala yake ukaniingilia kabisa, nimekukosea nini mimi mpaka unifanyie ukatili kama huu, embu nambie kosa langu kubwa kwako ni lipi mpaka unilipe malipo uliyonipa, kama kufanya field kwenye kampuni yako ndio kosa, basi bora niache kabisa kufanya field acha nifeli, ila siwez kukaa na mwanaume baradhuli na mshenzi kama

Wakati wote alikuwa kimya ananiangalia tu, mara simu yake ikaanza kuita, akaipokea na kuweka loudspeaker, nikasikia mmoja wa wafanya kazi wake anasema " mkufunzi anakuja kumsaili kesho huyo mwanachuo ambae amekuja kufanya field kwenye kampuni yetu, utataka kukutana na yoyote kati yao, au niende mimi....

" nitakutana nao mwenyewe, na hakikisha binti anakuwepo kwenye zoezi atakalo fanya na mkufunzi wake, akasema kisha akakata simu... Akanigeukia na kuniangalia kisha akasema wewe ndio kiumbe wa kwanza niliekuzingatia, sasa sifanyagi kitu bure, nakuacha uende, na kesho nitakuwepo pamoja na wewe, kama hautataka nitampa sifa mbaya mkufunzi wako kuhusu wewe, na najua unajua mimi ni nani vizuri sana, nawez kuharibu maisha yako kwa dakika chache tu, sasa kama unataka amani, unatakiwa kunikiss kabla haujaondoka...

Nilijikuta nanywea bila kutegemea, nikaona isiwe kesi, nikamsogelea na kumpa lile busu la mbali mbali, nikashangaa ananivuta na kuanza kujinywea glass ya juice ya bure ambayo nimepewa na mungu....
JE NINI KITAENDELEAAA!! "
OFAAAA KUPATA YOTE NI 1000 TU

WhatsApp
0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*UDHAIFU WA MR CEO (dawa ya nini wakati kwako napona)* 1 na 2


____________________________________

*SEHEMU YA KWANZA*

Maisha ni fumbo kubwa sana, kuna watu tunaweza kuhisi kama wapo sawa kabisa kumbe wanamatatizo meng sana ambayo yanawakabili, kuwa na pesa, muonekano mzuri na jina kubwa hakumfanyi mtu kuwa na furaha, kuna muda tunatamani kuwa matajiri ila kuna wakati ukijua namna ambavyo utajiri na umaarufu unavyotesa basi utataman kuishi maisha ambayo unaishi leo....

Naitwa Shimena. nimesomea business administration katika chuo kikuu cha sauti mkoani mwanza, ila nikapangiwa nikafanye field kwenye moja ya kampuni maarufu sana jijini dar es salam, ilikuwa ni ndoto zangu kumuona ceo wa hio kampuni maana sifa zake zilikuwa zinaenea kila mahali, kutokana na uchapakazi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/udhaifu-wa-mr-ceo-dawa-ya-nini-wakati-kwako-napona-1-na-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi udhaifu-wa-mr-ceo-dawa-ya-nini-wakati-kwako-napona
UDHAIFU WA MR CEO (dawa ya nini wakati kwako napona)*_____________________________________*  *SSEHEMUYA  3  na   4
UDHAIFU WA MR CEO (dawa ya nini wakati kwako napona)*_____________________________________* *SSEHEMUYA 3 na 4
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

791
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

780
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

493
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*

405
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

365
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

362
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6

157
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

98
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

54
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.52K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.23K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.71K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.55K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest