πΉ USHAURI WANGU KWAKOπΉ
β₯οΈMaisha ni safari isiyo na likizo, mapenzi ni sayari isiyofungamana na sayari zingine duniani.πΉ
πΉ Imebeba machache mazuri na Ina mengi mabaya.πΉ
πΉNakwambia mpenzi wangu,πΉ "unaposafiri ktk sayari hii lazima ukubaliane na sarakasi zote za mapenzi ziijazayo maumivu sayari hii!πΉ
πΉMpenzi wangu sipo hapa kukutisha Wala kukukatisha tamaa.... Niko hapa kukujuza baadhi ya pages za mapenzi zilizomo ktk sayari hii!π
πΉ Mapenzi yanaua, yanaumiza, yanakera, yanapotosha, yanalemaza, yanatesa na hata kuvunja moyo!πΉπΉ
πΉUshauri wangu kwako dear; "tafakari sana kabla hujaingia ktk sayari ya mapenzi kuepuka majuto!."πΉ
πΉMwisho; "makinika sana pindi uwapo ktk mahusiano vinginevyo, utajuta kupenda!"πΉ
Good luck ππ.